Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

Bakhresa ni zao lile lile la minyoo..... hujui yaliyopo nyuma ya pazia ya watu aina ya Bakhresa! Narudi kwako wewe ni mnyoo tuuu hujui na huwezi elewa msoto wa kutafuta! Shiba kisha vimbiwa usubiri kuliwa na mmeo. Mko watu wa hovyo sana.
Mkuu, ungefunguka tu historia ya ukweli wote mpaka ya nyuma ya pazia juu ya Utajiri wa Bakhresa. Maana akina fulani wanamsifia kuwa yeye ni msafi mno na mali alizonazo zote kazipata kwa njia safi mno.
 
Hzo gari Ni za wafanyakazi wa mataasis makubwa kakak angu alinunua namba e million 110m Sasa uliza Kaz anafanya kwenye taasisi gani acha kbsa

Ila ss wafanya bishara hatuna kitu kbsa ndio maan mm nimeanza kutafuta ajira inayo elewekaa
Ukikipata kitengo mzee kwa nilivyokusoma kwenye hizo line mbili ktk bold sisi kama taifa na wafanyabiashara wenzio uliotuacha uraiani utatupiga na kitu kizito sana!
 
Mifereji ya pesa imeelekea kwenye mifuko ya watu wa chache. Huku majority tukibaki hoehae. Kiufupi hali ni mbaya hakuna kitu kibaya kwenye biashara kama mzunguko kushuku unaweza tamani ukimbie Biashara

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Inabidi ukomae hivyo hivyo hakuna namna unaweza fanya maana hata mikopo nayo siku hizi ni ngumu kupata.
 
Naomba unifungue macho.
Nina wazo la kununua Gold na kui weka, wapi salama BOT au ma bank kawaida?
Asia mauzo ya gold kuanzia mwaka juzi yamezidi kuwa makubwa sana , nahisi kuna kitu kibaya sana kinakuja ,maana huu mfumuko wa bei na collapse ya revenues na income si WA kawaida

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo maana Chadema ni mazwazwa mnapinga hadi ujenzi wa bwawa la umeme ambao ni kwa ajili yenu wenyewe.

Kucha kuombaomba tu walichofanyia kazi wanaume wenzenu,
. Lema na Lisu Familia zao wanalishwa na wazungu.
Duh
Itabidi tukupime mkojo ww
 
Back
Top Bottom