Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,325
Ni lazima kuwaweka wazi hawa, ni wauza Madawa wakubwa na 40 ZAO ZIMEFIKA. sAFARI HII MAPAMBANO YATAANZIA Kanisani. Huwezi kurtumia Biblia kuuza madawa ya kulevya.
-----------------------
Exactly tunachokitaka sisi wakatoliki! Awaweke wazi...umesema mwenyewe kwa maneno yako..! Na sisi tunataka afanye hivyo ..siyo anakuja kwenye ibada yetu halafu anasema baadhi yenu tumewakamata mnajihusisha na madawa ya kulevya lakini mwisho wa siku inakuja kujulikana aliyekamatwa ni mchungaji wa kanisa la kijiweni waki Nigeria! Naona sasa tumefikia pazuri maana naona na baadhi ya waislam mnmtaka kikwete awaweke wazi hao watu! Tunamkaribisha sana aanzie kanisani kuwaweka wazi na kuwashughulikia hao watu akimaliza aendeleze zoezi lake sehemu nyingine....! Kikwete awe na ujasiri wa mwanamke mjamzito..period!
Mbona ameshaweka mambo wazi ndio maana Pengo anajikanyaga.
Sasa ni wajibu wa Pengo na wenzake kujisafisha kwa hilo kabla kuumbuliwa.
Kwani Rai ametumia njia ya kiungwana kufikisha ujumbe. Ni kama vile polisi wanapotoa hadhali kuwa wenye silaha wote zisizo halali wazisalimishe polisi na kutakuwa hakuna kesi lakini wakija na kukukamata nayo basi watakuchukulia kama mwalifu.
Hongera Kikwete