Pengo amtolea uvivu Kikwete

Pengo amtolea uvivu Kikwete

<br />

Wewe nae unazungukuaaaaa,,nadhani nawe una mabias yako. Tangu lini kutafuta compromise kwa uovu ? Dawa ni moja tu,sheria ifanye kazi. Haihitaji kwenda kupiga debe kwenye majukwaa ya dini. Hapo ndo wengi wanaona ubwege wa jamaa yako jakaya.
Finito.

Asante mkuu,lakini hiyo ndo pointi niliyosisitiza!Kwanini kutumia majukwaa badala ya mahakama kwa uhalifu ulio dhahiri kabisa? Au kuna ajenda iliyofichika ndani yake? TAFAKARI!
 
[h=2]Mdogo wake na rostam aziz amepelekwa mahakamani kwa dawa za kulevya[/h]
Nimesituka baada ya kusikia kwamba Mdogo wake na Rostam Aziz aitwaye ASSAD ABDULSUL AZIZI amepelekwa mahakamani jana kwa kosa la kukutwa na 92.2kg. Hapa naogopa kumupongeza Rais Kikwete lakini namumpongeza Kamanda Nzowa.Taarifa nilizo sikia ni kwamba ,Assad alikamatwa mapema baada ya Rais Kikwete kutuhumu Wachungaji na Maskofu kushiriki katika biashara haramu za dawa za kulevya!!!

Pia muda mufupi alikamatwa Askofu wa pale biafra akiwa na kilo nyingi na akatngazwa kwa nguvu kubwa mpaka BUNGENI WAMEONYESHA PICHA YAKE Mpaka Salva RWEYMAN AKAANDAA kashifa ya kuyafilisi makanisa .
Sasa swali langu ni kwa nini ASSAD alikamatwa siku nyingi lakini mkanda wake haukuonyeshwa Bungeni??
Kwa nini ASSAD alikamatwa siku nyingi na wamechelewesha kumupeleka Mahakamani???

ZIPO tetesi kuwa Rostam AZIZ amekataa kuwa huyo si mdogo wake , je hapa kuna mahusiano ya suala la kijivua gamba??? ASSAD na Fred Lowasa wanaonekana kundi moja baada ya mtandao wa Nzowa kunasa $1bils kweny account zao je, hii ni hatua ya vusasi??

Wauza madawa ya kulevya ndani ya CCM na serikali walikuwa hawakamatwi , kwa sababu walikuwa pamoja , je serikali inafanya kazi kwa visasi??

Tunajua hata nyaraka za kagoda zilifichwa sana lakini baada ya kuanza kugombania mali nyaraka zimesambazwa!!!

[h=1]Rais Kikwete: Viongozi wa dini acheni biashara dawa za kulevya[/h] Written by mwidady // 14/10/2011 // Habari // 5 Comments

Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Mhashamu John Ndimbo, askofu mpya wa Jimbo katoliki Mbinga wakati wa ibada ya kumsimika askofu huyo iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Kilian mjini Mbinga leo.
Rais Jakaya Kikwete amepasua jipu mbele ya viongozi wa dini kwamba kuna baadhi yao wanashiriki biashara haramu ya dawa za kulevya.
Akihutubia waumini wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbinga jana katika ibada maalum ya kusimikwa Mhashamu Askofu John Ndimbo wa jimbo hilo, iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Killian, Rais Kikwete aliwataka viongozi hao kuacha biashara hiyo na badala yake washirikiane na viongozi wa serikali katika kuidhibiti.
Katika ibada hiyo ambayo pia ilihudhuriwa na Rais mstaafu, Benjamin Mkapa, Kikwete, alisema baadhi ya viongozi wa dini wamekuwa wakishiriki kufanya biashara hiyo kwa kuwafanyia mipango vijana ya kuwatafutia hati za kusafiria kwenda nchi za nje kwa shughuli hiyo.
Rais Kikwete aliwataka viongozi hao kukemea biashara hiyo na kujenga uhusiano mzuri na vyombo vya dola ili kuikomesha kwa kuwafichua wahusika ili wachukuliwe hatua za kisheria.
" Inasikitisha sana na kutisha; biashara hii haramu sasa inawavutia hata watumishi wa Mungu, Taifa letu litaharibika tusipokuwa makini katika hili, baadhi yenu tumewakamata," alisema Kikwete na kuongeza kuwa:
" Kauli zenu kemeeni jambo hili kwa kuelimisha jamii hususani vijana waweze kuepukana na matumizi ya dawa za kulevya."
Aliyaomba madhehebu ya dini katika mipango yao ya maendeleo yaweke kipaumbele kujenga vyuo vya ufundi stadi ili kuisaidia jamii katika ushindani wa soko la ajira.
Alifafanua kuwa kutokana na wananchi wengi kukabiliwa na tatizo la ajira, ni vyema sasa serikali kwa kushirikiana na madhehebu ya dini kujikita zaidi katika kujenga vyuo hivyo ambavyo vitasaidia kupunguza kero hiyo.
" Kufanikiwa kwa viongozi wa dini katika shughuli za kimaendeleo ni faraja kwa serikali iliyopo madarakani na Watanzania wote kwa ujumla, " alisema.
Kwa upande wake, Rais wa Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki Tanzania, Askofu Yuda Thadei Rwaichi, aliiomba serikali kuwa makini wakati wa kuandaa bajeti ya nchi.
Askofu Rwaichi, alisema bajeti hiyo ni vyema izingatie maendeleo ya Watanzania ambao wengi ni maskini.
Pia aliitaka serikali kudumisha amani na utulivu, kwa kuhakikisha vitendo vya vurugu havipewi nafasi na kwamba kanisa Katoliki litaendelea kushirikiana na serikali na Watanzania wote bila ubaguzi wa rangi, dini au kabila.
Pamoja na mambo mengine, Askofu mpya wa Jimbo la Mbinga, Ndimbo, baada ya kusimikwa alitoa shukurani zake kwa Rais Kikwete na waumini wa jimbo hilo kuwa katika uongozi wake atakuwa bega kwa bega kuhakikisha anashirikiana na serikali katika shughuli mbalimbali za maendeleo.
Hata hivyo, Askofu Ndimbo, alisema kazi yake kubwa ni ya kuwachunga kondoo wa Mungu (Waumini) na kuwahamasisha waumini wa jimbo hilo kujikita katika kilimo cha kisasa ambacho kitawasaidia kupunguza ukali wa maisha.
CHANZO: NIPASHE
 
[h=2]Mdogo wake na rostam aziz amepelekwa mahakamani kwa dawa za kulevya[/h]
Nimesituka baada ya kusikia kwamba Mdogo wake na Rostam Aziz aitwaye ASSAD ABDULSUL AZIZI amepelekwa mahakamani jana kwa kosa la kukutwa na 92.2kg. Hapa naogopa kumupongeza Rais Kikwete lakini namumpongeza Kamanda Nzowa.Taarifa nilizo sikia ni kwamba ,Assad alikamatwa mapema baada ya Rais Kikwete kutuhumu Wachungaji na Maskofu kushiriki katika biashara haramu za dawa za kulevya!!!

Pia muda mufupi alikamatwa Askofu wa pale biafra akiwa na kilo nyingi na akatngazwa kwa nguvu kubwa mpaka BUNGENI WAMEONYESHA PICHA YAKE Mpaka Salva RWEYMAN AKAANDAA kashifa ya kuyafilisi makanisa .
Sasa swali langu ni kwa nini ASSAD alikamatwa siku nyingi lakini mkanda wake haukuonyeshwa Bungeni??
Kwa nini ASSAD alikamatwa siku nyingi na wamechelewesha kumupeleka Mahakamani???

ZIPO tetesi kuwa Rostam AZIZ amekataa kuwa huyo si mdogo wake , je hapa kuna mahusiano ya suala la kijivua gamba??? ASSAD na Fred Lowasa wanaonekana kundi moja baada ya mtandao wa Nzowa kunasa $1bils kweny account zao je, hii ni hatua ya vusasi??

Wauza madawa ya kulevya ndani ya CCM na serikali walikuwa hawakamatwi , kwa sababu walikuwa pamoja , je serikali inafanya kazi kwa visasi??

Tunajua hata nyaraka za kagoda zilifichwa sana lakini baada ya kuanza kugombania mali nyaraka zimesambazwa!!!

pamoja na yote uliyoandika. sasa ni ipindi muafaka pengo na wenzake kama wapo wajisafishe kabla mkono wa sheria kuwafikia. habari ndio hiyo.

Mtu huwa ananawa anapojua ni mchafu sasa uchafu wa pengo ni upi?
 
yaani huyu baba mi nahisi alishachanganyikiwa siku nyingi kwa mtu kamili hawezi kua anaropoka vitu ambavyo havimsaidii yeye wala jamii yake zaidi vinampa wakati mgumu....tukubari tu kwamba hatuna rais
 
Jinsi pengo amelalamika, nadhani pia Mungu wetu si kiziwi, ameyasikia haya! Haya malalamiko ya watanzania wenzetu wanaotumaliza watanzania sisi kwa kuitafuna nchi kama vile ni kampuni yao binafsi. Yamefika malalamiko yake kwa Mungu.
 
Kanisa katoliki linaogopa kivuli chake.

Wajirekebishe.
Mbumbumbu na mhuni hawezi kuongea vitu straight kama kanisa katoliki. Umbumbumbu wako ndo unaokufanya uone ni sawa kwa JK atoe matamko kama vile anaimba taarabu.
 
Hawakosi neno la kijinga la kuongea,tumeshawazoea mkuu!

Mjinga ni ww na huyu kadinali mapengo mutamsumbua huyohuyo jk sio waislamu jitu likishakuwa kafiri na likishafumbua macho linaona hakuna kingine zaidi ya dunia bakini na dini yenu ya urembo na kama suala la unga mbona inamuuma sana huyu mapengo kama nayeye ni pusha siaseme?
 
Mtu huwa ananawa anapojua ni mchafu sasa uchafu wa pengo ni upi?

pengo hajui kama mapadri wake wanachukua wake zetu ? Mbona awataiji mapadri waliozaa pia hawataji ?hau ajapewa majina pengo wachakulalama watoe hao wazungu wa unga
 
pengo hajui kama mapadri wake wanachukua wake zetu ? Mbona awataiji mapadri waliozaa pia hawataji ?hau ajapewa majina pengo wachakulalama watoe hao wazungu wa unga

........naona unakunja ngumi wakati ugomvi umeisha....
 
Tena anamwita Rais Msaliti wakati wao ndo walimsaliti Yesu. PILATO si ndo hao warumi...Kayafa...Agustus etc. Isitoshe sasa wanawasaliti watu kwa kuwasalisha bikira maria aliyewaambia MSINILILIE MIMI JILILIENI NAFSI ZENU NA WATOTO WENU. Wagonga pombe tu hawa hawana lolote...

Wana mfano wa utawa lkn wakikana nguvu zake. Ameshindwa kuokoa roho za watu anaanza siasa. Si achukue fomu akagombee urais. Au si akachague jimbo kwao Rukwa? Huyu mzee ni mzushi sana hana lolote huyu bora hata marehemu Rugambwa. Yeye ndo msaliti wa nchi...

NCHI YETU NI TANZANIA NA SERIKALI YETU HAINA DINI...Baba wa Taifa alimgomea Askofu Makarius alipoleta ujumbe wa kumwomba amwachie mgiriki aliyesema serikali ya Tanzania ameiweka mfukoni mwake.

Mbona una hasira sana? una chuki binafsi na pengo sio?
 
Kardnali Pengo alitahadharisha akisema: "Lakini sasa Taifa lina makundi ya watu wasaliti, wenye ubinafsi na ambao wako tayari kujitafutia utukufu hata ikibidi kuwakandamiza na kuwaua wenzao".
 
Back
Top Bottom