Mkuu wangu unajua mnachekesha sana.. Unaposema hakuna mtu anayepinga mahakama ya Kadhi una maana gani ikiwa unatoa masharti? Mbona chombo cha kikristu kama CSSC inaongoza shughuli za ELIMU na AFYA nchini kwa fedha za serikali na siwaoni mkilipinga hilo..Au kwa sababu ni chombo cha kikristu? Hivi kweli ingekuwa chombo hicho ni Bakwata mngekuwa na maamuzi hayo hayo..Swala la NECTA unasema hudhani kama lina Ukweli? halafu unakuja na mahesabu yako wewe. Je, umefanya uchunguzi (utafiti) au unasema tu kwa sababu wanaoweka madai haya hukubalinani nao. Na kwa nini mnaona taabu sana kubadilisha mfumo wa chombo hiki, Je, ktk utetezi huu huoni kama ndio mnazidisha mashaka?.Sidhani kama kuna mtu anapinga Mahakama ya Kadhi,ila tunachopinga ni nani aigharamie Mahakama hiyo?Je ni halali kwa serikali kuigharamia ilhali walipa kodi ni wakristu na waislamu? Je kama Mkristu Mahakama hiyo inamsaidiaje?Kama waislamu wenyewe wanauwezo wa kuigharamia mahakama hiyo wamepewa ruhusa ya kuifungua na kuitumia.
Swala la NECTA sidhani kama linaukweli kwani kuna watoto wakiislamu waliosoma shule za Wakatoliki au Wakristu na wamefaulu vizuri kuliko hata wakristu wenyewe,tatizo ni bidii za watoto wetu kujifunza na kutilia maanani masomo na shule.Makosa mdogomadogo yasifanye tatizo kuwa kubwa sana.Nina historia na kusoma na mabinti kutoka Handeni miaka ya themanini ,mabinti wale walikuwa shule hawaithamini kabisa na wengi walifeli karibu asilimia tisini na tano ya wasichana toka Handeni walifeli,je utawalaumu walimu au NECTA?
Tuwafundishe watoto wetu kujali masomo bila kuangalia udini wao,kwani taifa letu limejengwa na watu waimani tofauti (wakristu,waislamu,wapagani wahindu N.k)
Hata huyo mtoto mkristu leo kesho anaweza akabadili kuwa muislamu na muislamu kuwa Mkiristu,tusiwabague watoto wetu.
Habari wakuu!
Katika tafakuri zangu nimeona ni vyema Prof. Abdallah Safari agombee kiti cha uenyekiti CHADEMA ktk kuelekea 2015, kupitia fursa hii itawezesha chama ku-overcome propaganda chafu za udini ambazo zimekuwa zikienezwa na mpinzani wa CHADEMA (CCM), kwani hoja nyingi za CCM kuhusu udini zimekuwa ziki-base ktk kunyoshea kidole structure ya uongozi wa juu wa chama kwamba upo kiparokia zaidi.
Pia tukubali tukatae ni kwamba CCM bado inanufaika sana na hii cheap propaganda ya udini na kama CHADEMA haitokubali kuneutralize structure ya uongozi CDM basi tujue kuwa out appearance ni 1 ya fact muhimu sana ktk siasa za nchi yetu.
Kwa CHADEMA: Tusibakie tu na utetezi wa kila siku bali tunatakiwa pia tusiwe conservative kama CUF bali tuendane na hali halisi ya siasa za Tz japokuwa somehow itatucost but ni vyema kwa mustakabali wa chama na ukombozi wa taifa letu.
CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA
Peoples power!
Ni uenda wazimu kuendelea kusema kuwa chadema ni chama cha wakristo au wakaskaziniNi wazo zuri,
Hata hivyo kwamba CHADEMA ni chama cha kidini, ni propaganda tu za CCM. Angalia viongozi wakuu wa kitaifa wa chadema wako 6, Wanne ni waislam na wawili tu ndio wakristo.
Angalia TOVUTI ya CHADEMA
Viongozi wa Kitaifa
Mwenyekiti
Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe (51)
Kutoka Hai, Kilimanjaro
freeman@chadema.or.tz
Makamu Mwenyekiti Bara
Mhe. Said Amour Arfi (57)
Kutoka Mpanda, Rukwa
saidarfi@chadema.or.tz
Makamu Mwenyekiti Zanzibar
Mhe. Said Issa Mohammed (37)
Kutoka Pemba
Katibu Mkuu
Mhe. Willibrod Peter Slaa (63)
Kutoka Karatu, Arusha
slaa@chadema.or.tz
Naibu Katibu Mkuu - Bara
Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (36)
Kutoka Mwandiga, Kigoma Kaskazini
zitto@chadema.or.tz
Naibu Katibu Mkuu - Zanzibar
Mhe. Hamad Mussa Yussuf (34)
Kutoka Kaskazini Pemba
hamad@chadema.or.tz
............hivi profesa safari ni mchaga?........
Habari wakuu!
Katika tafakuri zangu nimeona ni vyema Prof. Abdallah Safari agombee kiti cha uenyekiti CHADEMA ktk kuelekea 2015, kupitia fursa hii itawezesha chama ku-overcome propaganda chafu za udini ambazo zimekuwa zikienezwa na mpinzani wa CHADEMA (CCM), kwani hoja nyingi za CCM kuhusu udini zimekuwa ziki-base ktk kunyoshea kidole structure ya uongozi wa juu wa chama kwamba upo kiparokia zaidi.
Pia tukubali tukatae ni kwamba CCM bado inanufaika sana na hii cheap propaganda ya udini na kama CHADEMA haitokubali kuneutralize structure ya uongozi CDM basi tujue kuwa out appearance ni 1 ya fact muhimu sana ktk siasa za nchi yetu.
Kwa CHADEMA: Tusibakie tu na utetezi wa kila siku bali tunatakiwa pia tusiwe conservative kama CUF bali tuendane na hali halisi ya siasa za Tz japokuwa somehow itatucost but ni vyema kwa mustakabali wa chama na ukombozi wa taifa letu.
CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA
Peoples power!
Habari wakuu!
Katika tafakuri zangu nimeona ni vyema Prof. Abdallah Safari agombee kiti cha uenyekiti CHADEMA ktk kuelekea 2015, kupitia fursa hii itawezesha chama ku-overcome propaganda chafu za udini ambazo zimekuwa zikienezwa na mpinzani wa CHADEMA (CCM), kwani hoja nyingi za CCM kuhusu udini zimekuwa ziki-base ktk kunyoshea kidole structure ya uongozi wa juu wa chama kwamba upo kiparokia zaidi.
Pia tukubali tukatae ni kwamba CCM bado inanufaika sana na hii cheap propaganda ya udini na kama CHADEMA haitokubali kuneutralize structure ya uongozi CDM basi tujue kuwa out appearance ni 1 ya fact muhimu sana ktk siasa za nchi yetu.
Kwa CHADEMA: Tusibakie tu na utetezi wa kila siku bali tunatakiwa pia tusiwe conservative kama CUF bali tuendane na hali halisi ya siasa za Tz japokuwa somehow itatucost but ni vyema kwa mustakabali wa chama na ukombozi wa taifa letu.
CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA
Peoples power!
maoni mazuri lakini yangelenga zaidi kumshauri mwenye chama mzee mtei kwani ndie mwenye maamuzi ya mwisho.msije mkamshika pabaya akaanza kuwaita watu majina ya ajabu kama wakuja n.k
Kamati Kuu ndio yenye maamuzi na hao wote kwa vyeo vyao ni wajumbe wa kamati Kuu. Ukiongeza Prof Safari na Shida Salum wanakuwa wangapi kamati Kuu?Hivyo vyeo ulivyovitaja ni kama Makamu wa Rais, Title kubwaaa lakini kazi ni kukata utepe tu kwenye ufunguzi wa miradi ya serikali!
Habari wakuu!
Katika tafakuri zangu nimeona ni vyema Prof. Abdallah Safari agombee kiti cha uenyekiti CHADEMA ktk kuelekea 2015, kupitia fursa hii itawezesha chama ku-overcome propaganda chafu za udini ambazo zimekuwa zikienezwa na mpinzani wa CHADEMA (CCM), kwani hoja nyingi za CCM kuhusu udini zimekuwa ziki-base ktk kunyoshea kidole structure ya uongozi wa juu wa chama kwamba upo kiparokia zaidi.
Pia tukubali tukatae ni kwamba CCM bado inanufaika sana na hii cheap propaganda ya udini na kama CHADEMA haitokubali kuneutralize structure ya uongozi CDM basi tujue kuwa out appearance ni 1 ya fact muhimu sana ktk siasa za nchi yetu.
Kwa CHADEMA: Tusibakie tu na utetezi wa kila siku bali tunatakiwa pia tusiwe conservative kama CUF bali tuendane na hali halisi ya siasa za Tz japokuwa somehow itatucost but ni vyema kwa mustakabali wa chama na ukombozi wa taifa letu.
CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA
Peoples power!
Sidhani kama kuna mtu anapinga Mahakama ya Kadhi,ila tunachopinga ni nani aigharamie Mahakama hiyo?Je ni halali kwa serikali kuigharamia ilhali walipa kodi ni wakristu na waislamu? Je kama Mkristu Mahakama hiyo inamsaidiaje?Kama waislamu wenyewe wanauwezo wa kuigharamia mahakama hiyo wamepewa ruhusa ya kuifungua na kuitumia.
Swala la NECTA sidhani kama linaukweli kwani kuna watoto wakiislamu waliosoma shule za Wakatoliki au Wakristu na wamefaulu vizuri kuliko hata wakristu wenyewe,tatizo ni bidii za watoto wetu kujifunza na kutilia maanani masomo na shule.Makosa mdogomadogo yasifanye tatizo kuwa kubwa sana.Nina historia na kusoma na mabinti kutoka Handeni miaka ya themanini ,mabinti wale walikuwa shule hawaithamini kabisa na wengi walifeli karibu asilimia tisini na tano ya wasichana toka Handeni walifeli,je utawalaumu walimu au NECTA?
Tuwafundishe watoto wetu kujali masomo bila kuangalia udini wao,kwani taifa letu limejengwa na watu waimani tofauti (wakristu,waislamu,wapagani wahindu N.k)
Hata huyo mtoto mkristu leo kesho anaweza akabadili kuwa muislamu na muislamu kuwa Mkiristu,tusiwabague watoto wetu.
nyote akili yenu ni sawa maana kinchowasumbua ni nikilekile "cosmetic and romantic politics"promidemana kwani amekutuma? Kama unamuona anafaa sana anzisha chama chako umpe uenyekiti na kama huna chama basi muite awe mwenyekiti wa familia yenu. Mawazo mwengi ni mfu ingawa wanaoyatoa wako hai. We umeona safari ndiyo muarobaini wa siasa? Mbona mwenyekiti wa chama anachaguliwa na wanachama na si kutokana na upuuzi kama huu wako. Shame on you!
haitawahi kutokea CDM kuja kuwa na mwenyekiti mwenye jina la kiislam ...
UDINI BADO UNAKISUMBUA HIKI CHAMA! NA WANAOGOPA MISAADA YA PESA WANAYOPATA TOKA CDU NDIO ITAKUWA MWISHO ...
LABDA CDM COPY YA MCHINA NDIO ITAFANYA HAYO ULIYO SUGGEST
Mkuu yaani unafikili Propaganda haziwezi kubadilisha misimamo ya RAIA kuhusu jambo fulani? Nakushauri ukipata wasaa pitia historia inayo husu Third Reich specifically one Dr. Joseph Goebbels a propaganda Minister wa Hitler.