Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,261
- 28,421
Yaani unakaa Kibaha kazi Dar es Salaam ulazimike kulipa kodi kila uingiapo na kutoka Dar! Na daladala za Kibaha kwenda Magufuli kila tripu zilipe kodi ya kuingia na kutoka! Bora nitembee kwa miguu.Habari TRA !
Naomba kuuliza hii kodi eti inafaa hapa nchini?
"MOTOR VEHICLE CROSS REGION TAX"
Karibu.