Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,339
- 1,493
- Thread starter
- #121
Eeeewa. Asante sana.Kuna magari mabovu barabarani yasiyostahili kupewa leseni hata ya kupita barabarani kuelekea sehemu ya vyuma chakavu.
Magari kama yake yanayobeba wanafunzi, magari ya mkaa na majitaka mabasi madogo yanayotoa huduma pembezoni mwa miji na vijijini, haya yote kwa wingi wake na madhara yanayotokana nayo, yanapaswa kutozwa kodi zaidi ya asilimia 50.
Hiki ni chanzo kizuri cha mapato ya Serikali hasa kule kwenye halmashauri za wilaya na miji midogo.