Pendekezo la hii kodi linawafaa TRA?

Pendekezo la hii kodi linawafaa TRA?

Mleta mada acha UNGESE.

marundo ya kodi, mnamkamua mDANGANYIKA na pesa zenyewe zinaishia mifukoni mwa watu na kuitia hasara serikali
Rejea kusitishwa mradi wa DEGE ECO VILLAGE.

Sisi hatuna shida kulipa kodi, hata kuchangia bajeti ya taifa letu tunaweza, ila kikubwa uwazi, CAG analeta ripoti za ubadhirifu wa pesa mijitu inachekeana tu mamaaee...
 
Wapo TRA wenye mamlaka ya usimamizi wa kodi na hawajawahi kushindwa kusimamia mapato ya Taifa hili.

Pia hakuna hata cha mrundikano wa kodi zaidi kuna faida kubwa tofauti na hofu au wasiwasi unaoupata.
Acha kukurupuka tafiti zinaonesha TRA wanakusanya only 30% capacity yao bado ipo chini sana kuna factors nyingi sana zinazopelekea hilo ikiwemo man power na bado kuna sectors nyingi bado hazijarasimishwa. Tukija kwenye kodi za magari..kumiliki tu gari lazima utalipa kodi either direct on indirect, gari inapoingia tu nchini lazima italipishwa import duty, vat, road license, excise duty, registration fee, railway dev levy na kama ikisajiliwa kama commercial italipia income tax. Ukinunua vipuri utakunata na 25% ya excise duty. Sasa uje uongeze na kodi nyingine?!!! Jitahidi kuacha kukurupuka itakusaidia kodi ni siyansi
 
Mleta mada acha UNGESE.

marundo ya kodi, mnamkamua mDANGANYIKA na pesa zenyewe zinaishia mifukoni mwa watu na kuitia hasara serikali
Rejea kusitishwa mradi wa DEGE ECO VILLAGE.

Sisi hatuna shida kulipa kodi, hata kuchangia bajeti ya taifa letu tunaweza, ila kikubwa uwazi, CAG analeta ripoti za ubadhirifu wa pesa mijitu inachekeana tu mamaaee...
Wewe umeshawahi lini kusoma Bajeti ya Serikali yako?; nje na kupata habari kwa ufupi sana kuhusu Bajeti kupitia Vyombo vya habari na kidogo sana kwenye mitandao ya kijamii.

Hizo hoja za CAG unajua namna zinavyoundwa na kuandikwa. Hapa utagundua unahitaji elimu bora na nzuri. Sasa unahisi itapatikana vipi kama sio kwenye kodi rafiki.
 
Acha kukurupuka tafiti zinaonesha TRA wanakusanya only 30% capacity yao bado ipo chini sana kuna factors nyingi sana zinazopelekea hilo ikiwemo man power na bado kuna sectors nyingi bado hazijarasimishwa. Tukija kwenye kodi za magari..kumiliki tu gari lazima utalipa kodi either direct on indirect, gari inapoingia tu nchini lazima italipishwa import duty, vat, road license, excise duty, registration fee, railway dev levy na kama ikisajiliwa kama commercial italipia income tax. Ukinunua vipuri utakunata na 25% ya excise duty. Sasa uje uongeze na kodi nyingine?!!! Jitahidi kuacha kukurupuka itakusaidia kodi ni siyansi
Pole kwa hasira. Mimi ni raia kama wewe na hoja niliyoileta hapa jukwaani sio kwa faida yangu binafsi bali Taifa kwa ujumla.

Hoja hapa ni kuboresha huduma. Najua bado hujapata uzoefu wa uwepo wa ongezeko la joto, makelele, miundombinu mibovu na pengine hata ajari mbaya zinazotokea kwenye hivi vyombo ila nakuhakikishia hii nchi inahitaji hii huduma zaidi ya unavyojiwazia wewe binafsi.
 
Nchi ni moja kwnn aina hiyo ya kodi iwepo? Fain na pesa wanazo limwa road inatosha
Hutaki kulipia hii kodi si unaliacha Gari au Chombo chako nyumbani unakwenda kupanda kwa wale wenye utayari wa kulipia hiyo Kodi. Sasa hapa shida iko wapi rafiki?
 
Back
Top Bottom