Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,339
- 1,493
- Thread starter
- #21
Hii sio kero hata kidogo.Serikali nzuri huweka good welfare ya jamii, siyo kutengeneza kero kwa jamii.
Ujue serikali nazo hupenda kupendwa!
Ukiitazama kwa jicho la juu, utaona kuwa ni aina ya jambo ambalo litapunguza msongamano wa vyombo vya moto, huduma za vyombo zitaongezeka mfano parking, usalama wa vyombo pia utakuwa juu sana tofauti na ilivyo sasa.
Hii ni sahihi kwa jamii endapo Serikali wakiitaka lakini.