Pendekezo la hii kodi linawafaa TRA?

Pendekezo la hii kodi linawafaa TRA?

Wewe umeshawahi lini kusoma Bajeti ya Serikali yako?; nje na kupata habari kwa ufupi sana kuhusu Bajeti kupitia Vyombo vya habari na kidogo sana kwenye mitandao ya kijamii.

Hizo hoja za CAG unajua namna zinavyoundwa na kuandikwa. Hapa utagundua unahitaji elimu bora na nzuri. Sasa unahisi itapatikana vipi kama sio kwenye kodi rafiki.
Hahahah!!!! kwani hoja za CAG zinaundwaje?.... Anyway kwani mapato ya serikali lazima yote yatokane na kodi...ndio mana kuna tax revenue and non tax revenue. Serikali bado inauwezo wa kutafuta vyanzo vingine vya mapato visivyotokana na kodi. Sifa mojawapo ya kodi yani tax trait kodi haipaswi kuwa mzigo
 
Ukiwa mkwepa kodi lazima kodi uhisi ni mzigo. Ila ukijua umuhimu wa kodi kuwa inalipa JWT, Walimu, Wahudumu wa Afya, Polisi, Barabara, Hospital nk hutakaa uwaze ubaya.
 
Kuna watu huwa mnawaza upumbavu sana. Wewe unamiliki gari? Ulishawahi kulipa kodi yoyote?
Punguza jaziba. Yaani wewe kutokulipa kodi unaona ndio ushujaa au ujanja?

Kulipa kodi kila mtu analipa kutokana na huduma anayonufaika nayo kwa mazingira yake. Mfano asilia; Wewe huna Hotel au Hospital na hulipi kodi. Kaa kwa kutulia. Wenye Gari au chombo chochote cha moto atakayependa kwenye Mkoa mwingine atalipa sababu ni kupata hii huduma.

Asante.
 
Stand sio Mkoa rafiki. Hapa nazungumzia kutoka Mkoa mmoja kwenda mwingine.
Shida siyo kuongeza kodi.

Kuongeza kodi juu ya kodi kwa watu wale wale, ni upuuzi.

Wazo zuri jipya ni namna ya kuongeza walipa kodi hasa directly, siyo kuwaongezea kodi walipa kodi waliopo.
 
Pole kwa hasira. Mimi ni raia kama wewe na hoja niliyoileta hapa jukwaani sio kwa faida yangu binafsi bali Taifa kwa ujumla.

Hoja hapa ni kuboresha huduma. Najua bado hujapata uzoefu wa uwepo wa ongezeko la joto, makelele, miundombinu mibovu na pengine hata ajari mbaya zinazotokea kwenye hivi vyombo ila nakuhakikishia hii nchi inahitaji hii huduma zaidi ya unavyojiwazia wewe binafsi.
Sina hasira ila muandiko wako unaonesha kodi haujui bado...tax discipline ni pana sana. Ata hoja uliyoleta inatokana na uelewa wako mdogo wa kodi..ipo hivi huwezi kujadili kodi juu ya kodi by default hiyo hoja itakuwa haijadiliki. Hoja za kisomi zinatokana na tafiti na sio kukurupuka tu Boss.
 
Kodi inatozwa kwa sura mbili;

1. kuchochea faida/ manufaa.

2. Kuzuia/ Kukinga madhara.

Mimi hoja yangu imesimama kwenye namba 2. Hutakaa unielewe sababu umechagua kutokunielewa.

Asante.
 
Ukiwa mkwepa kodi lazima kodi uhisi ni mzigo. Ila ukijua umuhimu wa kodi kuwa inalipa JWT, Walimu, Wahudumu wa Afya, Polisi, Barabara, Hospital nk hutakaa uwaze ubaya.
Rudi shule Boss...nenda kasome kodi atleast miaka mitatu hivi alaf ndio urudi kujadili kodi. Tax management inataka kichwa kizuri
 
Kodi inatozwa kwa sura mbili;

1. kuchochea faida/ manufaa.

2. Kuzuia/ Kukinga madhara.

Mimi hoja yangu imesimama kwenye namba 2. Hutakaa unielewe sababu umechagua kutokunielewa.

Asante.
Spectrum of government revenue should be set down from tax revenue?? Ndio mana nasema huna unachojua kuhusu kodi..
 
Rudi shule Boss...nenda kasome kodi atleast miaka mitatu hivi alaf ndio urudi kujadili kodi. Tax management inataka kichwa kizuri
Unajua nini kuhusu; Road Service Maintenance wewe mtaalamu wa Tax Management ya GPA? Unajua namna ya kulinda, kuhifadhi na kuhudumia barabara baada ya ujenzi kufanyika?

Elimu ni ufunguo. Fungua ujinga kqa Elimu upate maarifa; funga upumbavu kwa Elimu usaidie Taifa.
 
Haaaaahaaaaa hilo litakiwa ni jambo jema.

Vyombo hivi vya moto tuvitengenezee mazingira mazuri ya utunzaji, utumiaji na hudumiaji kwa ufanisi wa pande zote mbili (Serikali na Mmiliki).
Nikilipa hiyo kodi inatengenezaje mazingira mazuri ya utunzaji, utumiaji na hudumiaji kwa ufanisi?
Hii ni nchi moja na wala sio states so sioni mantiki ya kuweka kodi kwa vyombo vya moto kulipishwa kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine.
 
Spectrum of government revenue should be set down from tax revenue?
Mimi nimekupa uhalisia wa kodi jinsi ulivyo. Ukiona unatozwa kodi jua ni aidha ni kipimo cha uaminifu wako (Faida/ Manufaa) au kuzuiliwa/ kikwazo/ katazo kwenye hiyo aidha huduma au bidhaa.

Wewe ni msomi rafiki. Mimi sijakupinga hata kidogo.
 
Yaani ni aina ya kodi ambayo kila Chombo chochote cha Moto kinapotaka kuingia Mkoa mwingine usio wa asilia kitozwe tozo. Lengo hapa ni kuchochea tu maboresho ya huduma hasa hasa kwenye Vyombo vyenyewe.
Mwanzo nikajua huu uzi una nia mbaya. Baada ya comment hii nimegundua una nia ovu
 
Unajua nini kuhusu; Road Service Maintenance wewe mtaalamu wa Tax Management ya GPA? Unajua namna ya kulinda, kuhifadhi na kuhudumia barabara baada ya ujenzi kufanyika?

Elimu ni ufunguo. Fungua ujinga kqa Elimu upate maarifa; funga upumbavu kwa Elimu usaidie Taifa.
Sasa nani kwambia hizo maintenance and service in general shoulde be served from tax revenues?!
 
Hutaki kulipia hii kodi si unaliacha Gari au Chombo chako nyumbani unakwenda kupanda kwa wale wenye utayari wa kulipia hiyo Kodi. Sasa hapa shida iko wapi rafiki?
Hivi mkuu unaweza kuniambia kodi zetu huwa zinaenda wapi na kama hilo ndojibu kwann deni la taifa nikubwa hivyo? msitufanye wajinga matombo yao na ya vizazi vyao yatalipia gharama
 
Back
Top Bottom