Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,941
- 12,503
Nahisi huyu ni madelu amekuja kwa id nyingine kutupima. Huwa wanaanza hvhvResources are scarcity. Wants and needs are unlimited.
Wewe umeshawahi kutosheka na nini rafiki?
Nahisi huyu ni madelu amekuja kwa id nyingine kutupima. Huwa wanaanza hvhvResources are scarcity. Wants and needs are unlimited.
Wewe umeshawahi kutosheka na nini rafiki?
Naona bado unaaendelea kutetea upumbavu.Punguza jaziba. Yaani wewe kutokulipa kodi unaona ndio ushujaa au ujanja?
Kulipa kodi kila mtu analipa kutokana na huduma anayonufaika nayo kwa mazingira yake. Mfano asilia; Wewe huna Hotel au Hospital na hulipi kodi. Kaa kwa kutulia. Wenye Gari au chombo chochote cha moto atakayependa kwenye Mkoa mwingine atalipa sababu ni kupata hii huduma.
Asante.
Nimekupa kona moja tu ya namna Vyombo vya moto ni mnufaikaji wa huduma, nikataja habari za Barabara. Ujenzi wa Barabara gharama zake ni aghali sana na rejesho lake huchukua miaka isiyopungua 10 kwa 1 KM kurejesha faida halisia. Sasa ukiwa wewe unania ya kuzidi kuboresha huduma za barabara nchi nzima nje na njia ya kukusanya mapato kwa vyanzo vingine unahisi hii hoja yangu ni mbaya kiasi upate hamu ya kuona haifai?Sasa nani kwambia hizo maintenance and service in general shoulde be served from tax revenues?!
Soma tena ulichoandika.Wewe umeshawahi lini kusoma Bajeti ya Serikali yako?; nje na kupata habari kwa ufupi sana kuhusu Bajeti kupitia Vyombo vya habari na kidogo sana kwenye mitandao ya kijamii.
Hizo hoja za CAG unajua namna zinavyoundwa na kuandikwa. Hapa utagundua unahitaji elimu bora na nzuri. Sasa unahisi itapatikana vipi kama sio kwenye kodi rafiki.
Nahisi huyu ni madelu amekuja kwa id nyingine kutupima. Huwa wanaanza
Watanzania wenzangu nawajua sana. Wengi ni wasomi wa ufupisho tu. Uzuri mawazo yao sio mabaya.Soma tena ulichoandika.
Kwahiyo kupata habari kwa ufupi inaondoa maana ama ukwel.
CAG ameleta ripoti BILIONI 200 zimepotea, ama zilitumika nje ya utaratibu, ama watu wamejilipa posho zaidi ya posho elekezi, hapo nahitaji maelezo gani mkuu?
Hili hoja yako ieleweke vizuri ungesema tu serikali itafute vyanzo vingine vya mapato ili ku service huduma flani. Kutafuta mapato ya serikali kwenye kodi asa kodi itakayohusisha magari ni kufanya watu washindwe kuyanunua hayo magari coz gari zimekuwa imposed na kodi nyingi sana kama nilivyo zianisha alaf bado urudi ku introduce kodi mpya kwenye magari hayo hayo camoon watu watayakimbia hayo magari alaf serikali itakosa kabisaMimi nimekupa uhalisia wa kodi jinsi ulivyo. Ukiona unatozwa kodi jua ni aidha ni kipimo cha uaminifu wako (Faida/ Manufaa) au kuzuiliwa/ kikwazo/ katazo kwenye hiyo aidha huduma au bidhaa.
Wewe ni msomi rafiki. Mimi sijakupinga hata kidogo.
Uliza wataalamu wa Auditing wakuambie uhalisia na namna ukaguzi unavyofanywa kutokana na hoja yako.Soma tena ulichoandika.
Kwahiyo kupata habari kwa ufupi inaondoa maana ama ukwel.
CAG ameleta ripoti BILIONI 200 zimepotea, ama zilitumika nje ya utaratibu, ama watu wamejilipa posho zaidi ya posho elekezi, hapo nahitaji maelezo gani mkuu?
Jiulize kwanini kodi inaelekezwa huko sana?Hili hoja yako ieleweke vizuri ungesema tu serikali itafute vyanzo vingine vya mapato ili ku service huduma flani. Kutafuta mapato ya serikali kwenye kodi asa kodi itakayohusisha magari ni kufanya watu washindwe kuyanunua hayo magari coz gari zimekuwa imposed na kodi nyingi sana kama nilivyo zianisha alaf bado urudi ku introduce kodi mpya kwenye magari hayo hayo camoon watu watayakimbia hayo magari alaf serikali itakosa kabisa
Itafanyika namna yoyote hio kodi alipe consumerKivipi?
Mfano; Jizungumzie wewe mwenye gari binafsi hiyo nauli kuongezeka inatoka wapi?
Mbona matumizi ya fedha za Umma yapo wazi na utaratibu wake ni mzuri.Shida siyo kulipa Kodi shida ni matumizi ya hizo Kodi.
Kwahyo zile report za CAG ni batili siyoMbona matumizi ya fedha za Umma yapo wazi na utaratibu wake ni mzuri.
Hayo ni maneno na mawazo yako. Kuhusu Utaratibu unakuwaje; sheria za Kodi, Fedha na Manunuzi ya Umma zipo na zinajulikana kwa usahihi.Kwahyo zile report za CAG ni batili siyo
Mzee nijibu swali report za CAG ni za uongo?Hayo ni maneno na mawazo yako. Kuhusu Utaratibu unakuwaje; sheria za Kodi, Fedha na Manunuzi ya Umma zipo na zinajulikana kwa usahihi.
Sijajua nia yako umejiwekeza kwenye nini?Mzee nijibu swali report za CAG ni za uongo?
Acheni mawazo ya kiwaki namna hii, waambie hao viongozi wako walipe kodi mara tatu kila wanapoagiza hayo mashangingi yap uone watakavyokujibu.Yaani ni aina ya kodi ambayo kila Chombo chochote cha Moto kinapotaka kuingia Mkoa mwingine usio wa asilia kitozwe tozo. Lengo hapa ni kuchochea tu maboresho ya huduma hasa hasa kwenye Vyombo vyenyewe.
Utajuaje asilia ya chombo, ( chombo kama chombo) manake sikuhizi usajili upo kitaifa.Yaani ni aina ya kodi ambayo kila Chombo chochote cha Moto kinapotaka kuingia Mkoa mwingine usio wa asilia kitozwe tozo. Lengo hapa ni kuchochea tu maboresho ya huduma hasa hasa kwenye Vyombo vyenyewe.