Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,204
- 37,555
Hivi Dr W Kaburu alikuwa mchagga,vipi Marehemu Bob Makani alikuwa mchagga pengine Dr Slaa naye kabadili kabila siku hizi kawa mchagga ha ha ha ha ha ha ha ha ukabila hautupeleki popote.
Chadema wanasema katibu ajae lazima awe mchaga la sivyo kutachimbika aisee mangiii.