Pendekezo: Dkt Kitila Mkumbo awe mrithi wa Dkt Slaa

Pendekezo: Dkt Kitila Mkumbo awe mrithi wa Dkt Slaa

Status
Not open for further replies.
Sio sasa. Utakapofika wakati muafaka kama akipenda atasimama agombee. Kwanini unampigia kampeni sasa? Sio wakati muafaka wa kubadilisha Katibu Mkuu.
 
Nakuunga mkono 100% ila tusiishie hapo tuende hadi kwenye nafasi ya Uenyekiti,Kitengo cha Habari na Kitengo cha Fedha pia.

kwa nini unafikiri wabadilishe ivyo vitengo tu na sio vingine?? na nani wawe mbadala wao??(kwa mtazamo wako)...
 
Wale wale masalia na hoja zao...Hamna jipya..Chadema haichaguliwi kiongozi mitandaoni..

Mtoa mada katoa mawazo yake,hapa hatufanyi uchaguzi,ila ni mjadala wa kupanua fikra.Acha kuwaita watu masalia kwa kuwa na mawazo mbadala,mwehu wewe.
 
kwani hicho sio kikosi kazi? kwanza tangu lini mi'CCM ikapanga kikosi kazi chama cha CHADEMA?

You and the likes are displaying the diagnotic symptoms of neurotic disorder (insecurity/fear over a threat that doesn't exist)...You need to see a doctor!!!
 
Naunga mkono hoja halafu tundu awe mwenyekiti. Halima mdee awe bawacha,mnyika makamu na brother zitto aendelee na unaibu katibu mkuu
 
ni maajabu sana, mijitu ipo CCM inapanga majukumu CHADEMA,
 
Katika pitapita zangu mikoani na kuzungumza na makamanda wanaonesha wazi kuwa ni muda mwafaka kwa Dr Kitila kushika nafasi ya Dkt Slaa ktk nafasi ya Katibu Mkuu,

Sifa za Kitila Mkumbo hazina pingamizi kwa yeyote anaetaka mabadiliko;Kitila ni msomi anaetambua umuhimu wa mabadiliko,Hana makundi ndani ya chama,Kasaidia kutatua mizozo mingi ndani ya chama,Ni msema kweli daima,

Tukumbuke kuwa kitila amelimaliza kisiasa li Gaidi Mwigulu Nchemba uko iramba mpaka sasa halijafika iramba kwa hofu ya kuzomewa baada ya ziara nzito ya kitila mkumbo,Jesca kishoa na David Djumbe.

Tunatambua mchango mkubwa wa Dr Slaa ila kwa sasa tunahitaji mtu atakaepanga mipingo mikakati itakayotekelezeka bila kukigawa chama ktk makundi ili tuweze kuifikia salama nchi ya maziwa na asali.
VIVA MAKAMANDA,VIVA MABADILIKO.

Katika Pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii, umejibishana na mtu kwenye facebook, unakiri kuwa umeajiriwa na Dk Kitila Mkumbo ili umsaidie siasa za kwenye Mitandao, na kujaribu kuchafua watu wengine. Simu moja umetuwekea humu kuwa Viongozi wa kanda ya Kati wote mazuzu isipokuwa Dk Kitila, David Jumbe na Jesca Kishoa. Tunafahamu Mengi, tutasema wakati ukifika, we endelea kupokea pesa na Jesca aendelee kutoa huduma kwa Kitla kama ile inayotolewa na Shnza kwa Mwiglu
 
ni maajabu sana, mijitu ipo CCM inapanga majukumu CHADEMA,

You have psychological disorder and you are showing every sign of insecurity over a threat that doesn't exist...You are suffering from illusion problem.
 
Kwanza andikeni katiba inayotokana na wanachama, sio katiba ya kukidhi mahitaji ya Mtei.

Mtei alimuandaa binti yake Lilian kuwa Mwenyekiti wa Chadema baada ya Mbowe. Binti huyo alipokataa ikabidi Mtei aagize kipengele cha kuweka ukomo wa mihula ya uongozi kiondolewe ili Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.

Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.
ki ukweli wewe nahisi umevurugwa misingi ya kilaghai mpaka tumechoka huna hoja ya maana cku zote ni ulaghai,, na dr salaa kila ckuu, una inproper disorder in your body.
 
Mtoa mada katoa mawazo yake,hapa hatufanyi uchaguzi,ila ni mjadala wa kupanua fikra.Acha kuwaita watu masalia kwa kuwa na mawazo mbadala,mwehu wewe.

wewe ndio mwehu kwa kuingilia mambo yasiyowahusu.tangu lini cdm ikawa na wehu kama wewe
 
Katika pitapita zangu mikoani na kuzungumza na makamanda wanaonesha wazi kuwa ni muda mwafaka kwa Dr Kitila kushika nafasi ya Dkt Slaa ktk nafasi ya Katibu Mkuu,

Sifa za Kitila Mkumbo hazina pingamizi kwa yeyote anaetaka mabadiliko;Kitila ni msomi anaetambua umuhimu wa mabadiliko,Hana makundi ndani ya chama,Kasaidia kutatua mizozo mingi ndani ya chama,Ni msema kweli daima,

Tukumbuke kuwa kitila amelimaliza kisiasa li Gaidi Mwigulu Nchemba uko iramba mpaka sasa halijafika iramba kwa hofu ya kuzomewa baada ya ziara nzito ya kitila mkumbo,Jesca kishoa na David Djumbe.

Tunatambua mchango mkubwa wa Dr Slaa ila kwa sasa tunahitaji mtu atakaepanga mipingo mikakati itakayotekelezeka bila kukigawa chama ktk makundi ili tuweze kuifikia salama nchi ya maziwa na asali.
VIVA MAKAMANDA,VIVA MABADILIKO.

Haya...............!
 
CCM hawalali hawakai muda wote wanaijadili CDMSasa kwa nini CCM hawa wanaoanzisha thread za Dr. Kitila hapa JF wasimchukue akasaidie?! Yenu yamewashinda wananchi wanapanga kuwapindua mnaleta chokochoko CDM!!!???

Kumbukeni kuwa CDM ni taasisi na wanataratibu zao! Hii hata haitaji akili ya mtoto wa chekechea kuelewa! Matamanio yako hayo peleka kwako nyumbani make huko ndiko una maamuzi ya kufanya unachokitaka muda wowote ukiaamua!

Zaidi ya hapo hapa JF unadhibitisha tu kuwa una akili ndogo sana! Badala ya kujadili hoja za kulikomboa taifa letu unakesha kujadili majina ya watu! Hovyo sana wewe!
 
Katika pitapita zangu mikoani na kuzungumza na makamanda wanaonesha wazi kuwa ni muda mwafaka kwa Dr Kitila kushika nafasi ya Dkt Slaa ktk nafasi ya Katibu Mkuu,

Sifa za Kitila Mkumbo hazina pingamizi kwa yeyote anaetaka mabadiliko;Kitila ni msomi anaetambua umuhimu wa mabadiliko,Hana makundi ndani ya chama,Kasaidia kutatua mizozo mingi ndani ya chama,Ni msema kweli daima,

Tukumbuke kuwa kitila amelimaliza kisiasa li Gaidi Mwigulu Nchemba uko iramba mpaka sasa halijafika iramba kwa hofu ya kuzomewa baada ya ziara nzito ya kitila mkumbo,Jesca kishoa na David Djumbe.

Tunatambua mchango mkubwa wa Dr Slaa ila kwa sasa tunahitaji mtu atakaepanga mipingo mikakati itakayotekelezeka bila kukigawa chama ktk makundi ili tuweze kuifikia salama nchi ya maziwa na asali.
VIVA MAKAMANDA,VIVA MABADILIKO.

MwanaChadema ukiona umetoa wazo halafu likaungwa mkono na CCM kwa wingi fahamu wazi kwamba WAZO HILO NI LA KIPUMBAVU.
 
nafasi ya Mbowe apewe zitto, na nafasi ya mnyika apewe yule mwenyekiti wa Arusha alovuliwa uongozi Mwigamba a.k.a maskini mkulima, na kamati kuu wateuliwe wale masalia waliofukuzwa uanachama, warudishwe wote kwa jina la mwenyekiti mpya zitto, nawataja kwa majina, Juliana Shonza, mtela mwapambo, david kafulila, habibu mchange mwizi wa simu, deogratius kisandu........ hii timu ikiwepo lazima ilete ushindi wa kimbunga 2015.

Nimependa mapendekezo yako.... hapo hata Mwigulu atanenepa
 
Hapana Dr.Slaa aendelee mpaka tuone mwisho wake wa kisiasa.
 
MwanaChadema ukiona umetoa wazo halafu likaungwa mkono na CCM kwa wingi fahamu wazi kwamba WAZO HILO NI LA KIPUMBAVU.

Mkuu huyo kijana aliyeanzisha thread kazi yake ni kutukana watu hasa baadhi ya viongozi huko Singida.Ana kazi maalumu.Anafahamika jina lake kamili.Ila pia ni mhanga wa matokeo ya kidato cha 4 mwaka jana ila badala ya kusaidiwa kitaaluma wanamtumia kwa kazi hii.Hayuko vizuri kisaikolojia ndiyo maana post na thread zake huwa sipendi kuziendekeza ila nilitaka kukutahadharisha tu usitumie muda wako vibaya kumjibu
 
Chadema majembe tunayo yakutosha,,,,,,lakini sio zito,,,kitila namkubali na ninaunga mkono hoja,,,ila uchaguzi ufanyike
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom