Pendekezo: Dkt Kitila Mkumbo awe mrithi wa Dkt Slaa

Pendekezo: Dkt Kitila Mkumbo awe mrithi wa Dkt Slaa

Status
Not open for further replies.
You and the likes are displaying the diagnotic symptoms of neurotic disorder (insecurity/fear over a threat that doesn't exist)...You need to see a doctor!!!

Hapo kwenye red: Is it to see a doctor or to consult the doctor? Is it diagnotic or diagnostic? Kwa nini JF imejaa wajingawajinga halafu ndo wanashinda jamvini kuchangia kila mada kwa pumba walizonazo vichwani mwao. Hakika wewe ni brain wash. No doubt about it! JF inahitaji chekecheke ili kuchuja pumba na ngano.
 
Tatizo la vijana wengi tunaoshabikia Chadema tuna uelewa finyu wa dhana nzima inayoitwa Demokrasia.Karibu Vyama vyote vya Siasa Ulimwenguni ukitoa vile vilivyoko katika baadhi ya Nchi za kijamaa,vinajumuisha wanachama wenye mitizamo ya kisiasa na kiuchumi pamoja na itikadi zinazotofautiana.Kwa mfano Marekani Republican Party or GOP kimezoeleka kama ni Chama cha Ma-conservative lakini pia kina Ma-liberal na Ma-maverick/Independents na wote hawa husimama katika imani zao iwe ndani ya Chama cha Republican au katika Senate/Congress.Na Democrat Party nao ni hivyo hivyo,Ni Chama cha Ma-liberal lakini pia Ma-conservative na Ma-centrist wapo.Hapa Tanzania suala la watu kuwa na mawazo na mitizamo inayotofautiana ni jambo geni sana.Hakuna Organization au Institution yeyote kubwa yenye watu ambao wanafanana kifikra.Kwa Taasisi yoyote ili iweze kuwa imara mgongano wa kimawazo miongoni mwa watu wake na uwanja huru wa kupokea hizo fikra ni jambo muhimu sana kwani inasaidia kuibua njia bora zaidi itakayoleta matokeo bora.
 
ni maajabu sana, mijitu ipo CCM inapanga majukumu CHADEMA,
Mkuu Zumbemkuu, huo ndio mkakati wanao upanga wakiwa kwenye vikao vyao vya uvccm! hutawasikia wakijadiri tuhuma za rushwa zilizotolewa na mwenyekiti wao wa taifa au ujangangili wa wenyeviti wao wa mikoa!
 
Hapo kwenye red: Is it to see a doctor or to consult the doctor? Is it diagnotic or diagnostic? Kwa nini JF imejaa wajingawajinga halafu ndo wanashinda jamvini kuchangia kila mada kwa pumba walizonazo vichwani mwao. Hakika wewe ni brain wash. No doubt about it! JF inahitaji chekecheke ili kuchuja pumba na ngano.

Umenielewa!Hivi hapo ndio umechangia nini sasa?
 
Tatizo la vijana wengi tunaoshabikia Chadema tuna uelewa finyu wa dhana nzima inayoitwa Demokrasia.Karibu Vyama vyote vya Siasa Ulimwenguni ukitoa vile vilivyoko katika baadhi ya Nchi za kijamaa,vinajumuisha wanachama wenye mitizamo ya kisiasa na kiuchumi pamoja na itikadi zinazotofautiana.Kwa mfano Marekani Republican Party or GOP kimezoeleka kama ni Chama cha Ma-conservative lakini pia kina Ma-liberal na Ma-maverick/Independents na wote hawa husimama katika imani zao iwe ndani ya Chama cha Republican au katika Senate/Congress.Na Democrat Party nao ni hivyo hivyo,Ni Chama cha Ma-liberal lakini pia Ma-conservative na Ma-centrist wapo.Hapa Tanzania suala la watu kuwa na mawazo na mitizamo inayotofautiana ni jambo geni sana.Hakuna Organization au Institution yeyote kubwa yenye watu ambao wanafanana kifikra.Kwa Taasisi yoyote ili iweze kuwa imara mgongano wa kimawazo miongoni mwa watu wake na uwanja huru wa kupokea hizo fikra ni jambo muhimu sana kwani inasaidia kuibua njia bora zaidi itakayoleta matokeo bora.
Lakini inachekesha sana pale wanaCCM wanapotaka kuviongoza vyama vingine kwa mfumo wanaoutaka wao kwa kisingizio cha Demokrasia na kuwatukana watu wasiokubaliana na njama hizo kuwa ni wafinyu wa dhana ya demokrasia!
 
Kwanza andikeni katiba inayotokana na wanachama, sio katiba ya kukidhi mahitaji ya Mtei.

Mtei alimuandaa binti yake Lilian kuwa Mwenyekiti wa Chadema baada ya Mbowe. Binti huyo alipokataa ikabidi Mtei aagize kipengele cha kuweka ukomo wa mihula ya uongozi kiondolewe ili Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.

Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.
Naona hii ndio kauli mbiu yako ya leo maana kila thread unai copy na ku paste.
 
Mkuu huyo kijana aliyeanzisha thread kazi yake ni kutukana watu hasa baadhi ya viongozi huko Singida.Ana kazi maalumu.Anafahamika jina lake kamili.Ila pia ni mhanga wa matokeo ya kidato cha 4 mwaka jana ila badala ya kusaidiwa kitaaluma wanamtumia kwa kazi hii.Hayuko vizuri kisaikolojia ndiyo maana post na thread zake huwa sipendi kuziendekeza ila nilitaka kukutahadharisha tu usitumie muda wako vibaya kumjibu

Hivi shekh yahya bado yuko hai?

Bananga ndie m/kiti wa bavicha,we utaendelea kupiga chabo tu
 
Mkuu Zumbemkuu, huo ndio mkakati wanao upanga wakiwa kwenye vikao vyao vya uvccm! hutawasikia wakijadiri tuhuma za rushwa zilizotolewa na mwenyekiti wao wa taifa au ujangangili wa wenyeviti wao wa mikoa!
hao Buku 7FC wakiongozwa na yule jamaa muumini wa Mohamed said wameanzisha thread zisizopungua 30 kumtetea Mwigamba na kutoa ushauri kwa chadema, si maajabu hayo????
 
Kwanini maccm yanampendekeza Kitila yamesha mnunua?
 
Hapo kwenye red: Is it to see a doctor or to consult the doctor? Is it diagnotic or diagnostic? Kwa nini JF imejaa wajingawajinga halafu ndo wanashinda jamvini kuchangia kila mada kwa pumba walizonazo vichwani mwao. Hakika wewe ni brain wash. No doubt about it! JF inahitaji chekecheke ili kuchuja pumba na ngano.
halafu mkuu huyo ni mwanaCCM anaishauri CHADEMA kuunda safu yake mpya ya uongozi, hii mi'CCM sijui imechanganaikiwa, hata aibu haina, wanakimbilia hoja mfu za kumuona dr. wakati wanaweweseka kifo kinawaita.
 
Katika Pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii, umejibishana na mtu kwenye facebook, unakiri kuwa umeajiriwa na Dk Kitila Mkumbo ili umsaidie siasa za kwenye Mitandao, na kujaribu kuchafua watu wengine. Simu moja umetuwekea humu kuwa Viongozi wa kanda ya Kati wote mazuzu isipokuwa Dk Kitila, David Jumbe na Jesca Kishoa. Tunafahamu Mengi, tutasema wakati ukifika, we endelea kupokea pesa na Jesca aendelee kutoa huduma kwa Kitla kama ile inayotolewa na Shnza kwa Mwiglu

Mzee wa sumu una ID nyingi humu jamvini mpaka hii
 
nafasi ya Mbowe apewe zitto, na nafasi ya mnyika apewe yule mwenyekiti wa Arusha alovuliwa uongozi Mwigamba a.k.a maskini mkulima, na kamati kuu wateuliwe wale masalia waliofukuzwa uanachama, warudishwe wote kwa jina la mwenyekiti mpya zitto, nawataja kwa majina, Juliana Shonza, mtela mwapambo, david kafulila, habibu mchange mwizi wa simu, deogratius kisandu........ hii timu ikiwepo lazima ilete ushindi wa kimbunga 2015.
Mkuu kwa jinsi wale jamaa walivyo,mpaka kufika jioni watakuwa wamekupa likes za kumwaga wakidhani zumbemkuu kesha ingia king. Yaani JK kesha wastua kuhusu rushwa na 2015 lakini wao badala ya kujipanga wao wakilala wakiamka na mapendekezo ya uongozi Chadema.
 
Last edited by a moderator:
Kwanini maccm yanampendekeza Kitila yamesha mnunua?

Chadema tuna safari ndefu sana kama Chama endapo watu wenyewe tuna upeo wa kufikiri na kuchanganua mambo wa kiwango hiki!Sasa sijui katika Chama mnamuamini nani zaidi ya Mbowe na Slaa,Usikute hata nyinyi wenyewe humu JF hamuaminiani,Wakati wowote mnaweza kutuhumiana kuwa mmenunuliwa na CCM.Hizi fikra zenu ni hatari,Duuuuuuh!
 
MIMI NAONA NI HERI AWE NAIBU KATIBU WA CHADEMA ILI APATE EXPOSURE KWANZA KWANI ZITO YUKO KI MASLAI ZAID, PIA ANAUKARIBU NA MAccm JAPO KWA SIRI

Acha Majungu, hayakisaidii chama hayo. Mchango wa Zitto kwa chama ni mkubwa sana. Huwezi kuubeza kirahisi hivo na kumuweka nje ya uongozi kwa hoja dhaifu kiasi hicho,vinginevyo unatumika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom