Pendekezo: Dkt Kitila Mkumbo awe mrithi wa Dkt Slaa

Pendekezo: Dkt Kitila Mkumbo awe mrithi wa Dkt Slaa

Status
Not open for further replies.
Kwa mujibu wa katiba ya chadema,katibu mkuu hupendekezwa na mwenyekiti.Hivyo nafikiri issue hii ni utashi wa mwenyekiti zaidi.

nimekupata mkuu ila m/kiti anatakiwa kuangalia maoni wanachama pia kabla ya kupendekeza jina
 
Sifa zote anazo lakini hii sifa ya kuungwa mkono na MICCM inafuta sifa zote hizo, hivyo hafai.
 
Hivi Kitila mnamjua au? Mtu asiye na nyumba nyumbani kwake Migela....

QUOTE=Kimboka;7689439]Katika pitapita zangu mikoani na kuzungumza na makamanda wanaonesha wazi kuwa ni muda mwafaka kwa Dr Kitila kushika nafasi ya Dkt Slaa ktk nafasi ya Katibu Mkuu,

Sifa za Kitila Mkumbo hazina pingamizi kwa yeyote anaetaka mabadiliko;Kitila ni msomi anaetambua umuhimu wa mabadiliko,Hana makundi ndani ya chama,Kasaidia kutatua mizozo mingi ndani ya chama,Ni msema kweli daima,

Tukumbuke kuwa kitila amelimaliza kisiasa li Gaidi Mwigulu Nchemba uko iramba mpaka sasa halijafika iramba kwa hofu ya kuzomewa baada ya ziara nzito ya kitila mkumbo,Jesca kishoa na David Djumbe.

Tunatambua mchango mkubwa wa Dr Slaa ila kwa sasa tunahitaji mtu atakaepanga mipingo mikakati itakayotekelezeka bila kukigawa chama ktk makundi ili tuweze kuifikia salama nchi ya maziwa na asali.
VIVA MAKAMANDA,VIVA MABADILIKO.[/QUOTE]
 
Katika pitapita zangu mikoani na kuzungumza na makamanda wanaonesha wazi kuwa ni muda mwafaka kwa Dr Kitila kushika nafasi ya Dkt Slaa ktk nafasi ya Katibu Mkuu,

Sifa za Kitila Mkumbo hazina pingamizi kwa yeyote anaetaka mabadiliko;Kitila ni msomi anaetambua umuhimu wa mabadiliko,Hana makundi ndani ya chama,Kasaidia kutatua mizozo mingi ndani ya chama,Ni msema kweli daima,

Tukumbuke kuwa kitila amelimaliza kisiasa li Gaidi Mwigulu Nchemba uko iramba mpaka sasa halijafika iramba kwa hofu ya kuzomewa baada ya ziara nzito ya kitila mkumbo,Jesca kishoa na David Djumbe.

Tunatambua mchango mkubwa wa Dr Slaa ila kwa sasa tunahitaji mtu atakaepanga mipingo mikakati itakayotekelezeka bila kukigawa chama ktk makundi ili tuweze kuifikia salama nchi ya maziwa na asali.
VIVA MAKAMANDA,VIVA MABADILIKO.

Kabla ya kuanza kumfikiria Kitila, Uliza ajira yakepale UDSM ilianzaje. Mkumbo akiwa Rais wa Daruso mwaka 1998/9 aliwarubuni wanafunzi wa UDSM waliokuwa wafuasi wa CUF, NCCR na TLP akawapeleka viwanja vya barafu kukabidhiwa kadi za CCM na rais wa wakati huo mh. Benjamin Mkapa. Kitila alikuwa mmoja wapo wa waliokabidhiwa kadi za CCM. Pia alivuruga mipango ya wanafunzi kudai haki zao. Kwa hayo mawili alipewa zawadi ya ajira katika ofisi ya mshauri wa wanafunzi kabla ya kuhamia kitivo cha Elimu kama mwalimu. Sidhani kama Kitila ataweza nafasi ya ukatibu mkuu maana akiahidiwa nafasi ya ukatibu mkuu, ukuu wa mkoa, uwaziri na hata ukuu wa wilaya unaweza kusikia kakihama chama.

Mimi napendekeza mtu atakayechaguliwa kushika nafasi za juu za uongozi katika chama asiwe tu ameshika nafasi za uongozi wa kuteuliwa. Lazima awe ameshawahi kushika cheo cha kuchaguliwa na wananchi ambao wanamfahamu na wakamwamini. Kwa nafasi ya mwenyekiti, katibu mkuu, makamu mwenyekiti na naibu katibu mkuu, vyeo hivyo ni muhimu vikashikwa na ama mbunge au mtu aliyewahi kuwa mbunge wa kuchaguliwa kupitia CHADEMA.
 
Katika pitapita zangu
mikoani na kuzungumza na makamanda wanaonesha wazi kuwa ni muda mwafaka
kwa Dr Kitila kushika nafasi ya Dkt Slaa ktk nafasi ya Katibu Mkuu,

Sifa za Kitila Mkumbo hazina pingamizi kwa yeyote anaetaka
mabadiliko;Kitila ni msomi anaetambua umuhimu wa mabadiliko,Hana makundi
ndani ya chama,Kasaidia kutatua mizozo mingi ndani ya chama,Ni msema
kweli daima,

Tukumbuke kuwa kitila amelimaliza kisiasa li Gaidi Mwigulu Nchemba uko
iramba mpaka sasa halijafika iramba kwa hofu ya kuzomewa baada ya ziara
nzito ya kitila mkumbo,Jesca kishoa na David Djumbe.

Tunatambua mchango mkubwa wa Dr Slaa ila kwa sasa tunahitaji mtu
atakaepanga mipingo mikakati itakayotekelezeka bila kukigawa chama ktk
makundi ili tuweze kuifikia salama nchi ya maziwa na asali.
VIVA MAKAMANDA,VIVA MABADILIKO.

Hapana! Dr kitila tunamwitaji sana Iramba kulikomboa hili jimbo.
 
Naunga hoja, slaa tayali tumeuona uwezo wako na inavyoonesha amefika upeo wake wa mwisho. Sasa ni muda wakufanya mabadiliko ili kukisongesha chama mbele. Kitila mkumbo anafaa nafasi ya katibu mkuu na mwenyekiti awe profesa baregu au zito, na naibu katibu mkuu awe mnyika na masuala ya propaganda na sera aachiwe tundu lissu. Ila uongozi wa sasa hauna budi kupumzika ili tuweze kusonga mbele

Kuhusu Kitila nami naunga mkono hoja tena 100%. Kitila hayuko Bias ni mtu mwenye mawazo ya sasa mwenye kuweza kuendelea kukipeleka chama cha CHADEMA mbele.

Mnyika kuwa naibu wake ni jambo lenye mashiko pia zaidi kwani hakuna asiyejua uwezo wake.

Ila ifike mahala CHADEMA ianze kuwatumia vijana wake na wasomi katika nafasi mbalimbali ili kuwaandaa katika mazingira ya kiuongozi ndani ya chama na kwa nchi pia. Waache ulimbukeni wa kusimikana madaraka wenyewe kwa wenyewe na kutumika kwa watu wachache kwenye nafasi zote.kuna vijana wengi wazuri lakini hawatumiki ipasavyo na chadema.

Yampasa aje kiongozi mwenye mawazo mbadala na sio mawazo mgando ya kuamini kwamba watu wanaotoka ccm na cuf ndio wanajua siasa na wanastahili kupewa nafasi. Wabadilike
 
Utaratibu wa kumpata Katibu Mkuu wa CDM unajulikana na hii ya kupigiana kampeni kwenye mitandao sio mojawapo.

Mnaleta mijadala ambayo haipaswi kuwepo na kusababisha mitafaruku isiyo na maana na kupoteza muda wa kuidhoofisha CCM.

Nina kazi kubwa ya kuelimisha vijana wetu katika vyuo vikuu na ninaifurahia kazi hii. Mchango mdogo ninaotoa kwa CDM kwa nafasi niliyo nayo sasa unatosha na ninaridhika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom