Pendekezo: Dkt Kitila Mkumbo awe mrithi wa Dkt Slaa

Pendekezo: Dkt Kitila Mkumbo awe mrithi wa Dkt Slaa

Status
Not open for further replies.
Hata kama ndio ukuaji wa Demokrasia, tutamwekaje Lissu na Kitila kuwa Viongozi wakuu wa Vyama wakati wanatoka mkoa wa Singida wote? Mwenyekiti wa Chama, na Katibu Mkuu watoke Mkoa mmoja, hayo yaliwezekana CCM ndio maana uwajibikaji haupo, DPP, DCI, na Mkurugenzi wa TAKUKURU WANATOKA Mkoa MMOJA, NAHISI NA WILAYA NI MOJA alikuwepo na Mwanasheria Mkuu toka wilaya hiyo hiyo wakati huo Chenge, na sasa Mkurugenzi wa Tiss na Jaji Kiongozi ni Family Members, Yawezekana walikuwa na vigezo lakini kwa utaratibu huu mimi kifalsafa hakutokei kwa bahati mbaya

Unaleta ubaguzi au sio?
 
MIMI NAONA NI HERI AWE NAIBU KATIBU WA CHADEMA ILI APATE EXPOSURE KWANZA KWANI ZITO YUKO KI MASLAI ZAID, PIA ANAUKARIBU NA MAccm JAPO KWA SIRI

Zitto na Kitila wako fungu moja. Prof Safari na Baregu ndo wakufikiria
 
Mleta hoja amechukua maoni yangu sehemu flani. ila sawa narudia hapa kuunga mkono hoja kwa %100. dr. mkumbo kuwa katibu mkuu na mwenyekiti ni lissu. jamaa yuko radical kiasi cha kuaminika. naibu katibu mkuu mnyika na makamu mwenyekiti zito.

Safi sana mkuu,lazima tupate watu imara watakaomalizia vema kazi ya kamanda mbowe na slaa
 
Katika pitapita zangu mikoani na kuzungumza na makamanda wanaonesha wazi kuwa ni muda mwafaka kwa Dr Kitila kushika nafasi ya Dkt Slaa ktk nafasi ya Katibu Mkuu,

Sifa za Kitila Mkumbo hazina pingamizi kwa yeyote anaetaka mabadiliko;Kitila ni msomi anaetambua umuhimu wa mabadiliko,Hana makundi ndani ya chama,Kasaidia kutatua mizozo mingi ndani ya chama,Ni msema kweli daima,

Tukumbuke kuwa kitila amelimaliza kisiasa li Gaidi Mwigulu Nchemba uko iramba mpaka sasa halijafika iramba kwa hofu ya kuzomewa baada ya ziara nzito ya kitila mkumbo,Jesca kishoa na David Djumbe.

Tunatambua mchango mkubwa wa Dr Slaa ila kwa sasa tunahitaji mtu atakaepanga mipingo mikakati itakayotekelezeka bila kukigawa chama ktk makundi ili tuweze kuifikia salama nchi ya maziwa na asali.
VIVA MAKAMANDA,VIVA MABADILIKO.
Kitila Mkumbo
===>Naamini alipita hapa.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza andikeni katiba inayotokana na wanachama, sio katiba ya kukidhi mahitaji ya Mtei.

Mtei alimuandaa binti yake Lilian kuwa Mwenyekiti wa Chadema baada ya Mbowe. Binti huyo alipokataa ikabidi Mtei aagize kipengele cha kuweka ukomo wa mihula ya uongozi kiondolewe ili Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.

Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.
Mkuu hii kuna pahala unaiokopi na kuja kuipesti hapa ama huwa unaitype over and over again?kweli lazima utakuwa uko kazini,haiwezekani iwe bure,otherwise unanufaika moja kwa moja.
 
Mkuu hii kuna pahala unaiokopi na kuja kuipesti hapa ama huwa unaitype over and over again?kweli lazima utakuwa uko kazini,haiwezekani iwe bure,otherwise unanufaika moja kwa moja.
halafu mods hawaoni kuwa hilo ni tatizo.
 
sina shaka na uwezo wake ila nahofia majukumu yake chuoni pale anaweza kujitoa kujenga chama kama Dr Slaa?
 
Kwanini maccm yanampendekeza Kitila yamesha mnunua?

Zitto Kabwe na Dr Kitila Mkumbo ni marafiki wa muda mrefu.Mwaka 2009 Zitto alitaka kumvaa Mbowe kabla wazee hawajamshauri ajitoe kwa (HIARI?) Katika mchakato huo Dr Kitila alimuunga mkono Zitto waziwazi dhidi ya Mbowe. Dr Kitila alisema yeye ni mshauri wa kisiasa wa Zitto. Wote walichemsha.

Baada ya kifo cha Shelembi.... Zitto alishirikiana na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Shinyanga kumteua Shibuda chap chap ndani ya wiki kurithi nafasi ya marehemu (uenyekiti wa Chadema mkoa wa Shinyanga) Hoja ikapelekwa kamati kuu. Zitto, Mama Zitto, Dr kitila na Shilungushela wa shinyanga wakawa ndo watu pekee waliomtetea Shibuda abaki ktk nafasi hiyo. Wajumbe wengi wote wa kamati kuu walimpinga Shibuda. shibuda akagonga mwamba..

Tafakari........
 
Daaah mkuu naona unapendekeza co TISS worker! cdm is smatter than you can imagine jombaaa! waambie waliokutuma kwamba mpango huo ni mufilisi!
 
Kitila Mkumbo
===>Naamini alipita hapa.

lazima apite kukagua,,moja ya makala zake kwenye raia mwema hii hapa chini

Hata hivyo, sioni kwamba kitendo cha Zitto Kabwe kutangaza kuutaka urais kama ni kosa kwa sababu CHADEMA haijaweka rasmi utaratibu wa kuukataa utamaduni huu. Kwa kuwa utamaduni huu haujakataliwa rasmi kimfumo, haiwezi ikawa kosa mtu moja moja kuchagua kuutumia. Ndio maana Mzee Mtei kawataja watu wengine kadhaa, akiwamo yeye, kwamba nao wanaoutaka urais lakini hawajatangaza nia bado kwa hoja eti muda wa kufanya hivyo bado, kama vile ndani ya CHADEMA kuna muda rasmi uliowekwa wa kutangaza nia ya kugombea.Ni wazi basi kwamba hata wale wanaompinga na kumzomea Zitto Kabwe kuutaka urais wanaonyesha unafsi. Hawafanyi vile kwa sababu wana misingi fulani wanayoiamini juu ya namna ya kupata uongozi, la hasha. Hawa wanafanya hivyo kwa sababu ya aina ya pili ya unafsi, ambayo ni fitina.
Hawa wanajaribu kuonyesha kwamba Zitto Kabwe kafanya kosa kubwa kutangaza kugombea urais, lakini hawasemi ni kosa gani na amevunja kanuni gani ndani ya chama. Wengine wameenda mbali zaidi na kumuona Zitto kama ni msaliti ambaye amenunuliwa ili kukidhoofisha CHADEMA.
Hii ni fitina na ni aina mbaya kabisa ya unafsi na tabia inayojitokeza vile vile katika uliberali uchwara. Nina wasiwasi kwamba watu wanaompinga Zitto kwamba nao labda wana watu wanaodhani wanafaa kuwa marais na wanajaribu kumchonganisha Zitto na jamii, ili hatimaye njia yao ya kuusaka urais iwe nyeupe huko mbele.
Katika mfumo wa kidemokrasia za kiliberali kutangaza kugombea urais hakupaswi kuleta mzozo wala vurugu katika chama. Wakati mwingine kitendo cha Zitto ni jibu kwa wapinzani wa CHADEMA aina ya Samuel Sitta wanaojaribu kujenga taswira ya hovyo kwamba ndani ya CHADEMA hakuna wenye uwezo wa urais zaidi ya Dk. Slaa aliyegombea kwa mafanikio mwaka 2010.
Kwa hiyo, wakati huu ambapo CHADEMA haina mwongozo elekezi juu ya namna ya ‘kuutaka’ urais, kutangaza kuutaka urais mapema ndio demokrasia yenyewe . Kwa hiyo tunapaswa kuwatia moyo wanachama wengine wenye matamanio ya urais watangaze wakati wowote na mahala popote wanapojisikia, wakati tukiweka misingi murua ya namna ya kupata mgombea mwafaka kwa wakati husika kutoka kwenye kundi la hao wanaojitangaza au wengine.
Kwa hiyo, wosia wangu wa leo ni kwamba kutangaza kugombea urais mapema hakupaswi kuleta mzozo au vurugu katika chama cha kidemokrasia kama CHADEMA. Ndiyo kusema hakuna sababu ya kupachika watu majina ya kifitina wanaotangaza kuutaka urais sasa na baadaye.
Muhimu ni kuweka mfumo utakaohakikisha kwamba CHADEMA hakizidiwi na nguvu za mfumo wa uliberali uchwara ambao umetamalaki nchini, ili hatimaye chama ndicho kiamue nani anakuwa mgombea.

umeona mipasho iyo mkuu???
 
Zitto Kabwe na Dr Kitila Mkumbo ni marafiki wa muda mrefu.Mwaka 2009 Zitto alitaka kumvaa Mbowe kabla wazee hawajamshauri ajitoe kwa (HIARI?) Katika mchakato huo Dr Kitila alimuunga mkono Zitto waziwazi dhidi ya Mbowe. Dr Kitila alisema yeye ni mshauri wa kisiasa wa Zitto. Wote walichemsha.

Baada ya kifo cha Shelembi.... Zitto alishirikiana na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Shinyanga kumteua Shibuda chap chap ndani ya wiki kurithi nafasi ya marehemu (uenyekiti wa Chadema mkoa wa Shinyanga) Hoja ikapelekwa kamati kuu. Zitto, Mama Zitto, Dr kitila na Shilungushela wa shinyanga wakawa ndo watu pekee waliomtetea Shibuda abaki ktk nafasi hiyo. Wajumbe wengi wote wa kamati kuu walimpinga Shibuda. shibuda akagonga mwamba..

Tafakari........

Mbona nyinyi mnamuunga mkono Mwenyekiti?Jifunzeni siasa za kuvumiliana sio lazima wote muwe na mawazo ya kufanana!Siasa haziko hivyo Mkuu!!!??
 
Duh........ .... !
 
- Wanafiki na mapandikizi kuliko wanalia kwamba CUF ni mashoga ahalafu mnajiunga nao kuna unafiki unaozidi huo? Mnawatuma wahuni kumpiga Mwenyekiti wenu wa Mkoa tena mbele ya Viongozi wenu wa Taifa ni chama gani hicho kama sio cha mburulazzz? Mbona hamjawahi kumpiga kiongozi wa kaskazini kazi yenu kuwaonea makabila mengine tu humo ndani ya lichama la ajabu sana, yaani ni lichama la kihuni huni tu, wanachama wasio na mawazo sawa na Viongozi wenu wanapigwa je mkishika dola itakuwaje?

- Yaaani nalichukia sana hilo lichama na siku mksihika dola nahamia Malawi, afadhali kwenda kuongozwa na babes wa ukwheeeeh!!, kuliko hilo lichama la kihuni huni na kupiga watu bila makosa!!

LE Mutuz

Grow up Brother....Huwezi kujadili issues bila trivialization?Ni lini tutabadili siasa zetu?
 
- Saidia lichama lako la kujiunga na chama cha mashoga ndio unirukie mimi unajua kwamba huniwezi na lichama lako hamniwezi na sina mpango wa kujiunga na lichama ambalo siku moja mnamgomea Rais kesho yake mnaenda Ikulu kunywa juici zake, talking about useless unafikiri kuna mwananchi mjinga wa kuwapa dola? labda atoke ahera sio hapa duniani akili yenu inaishia hapo hapo mlipo sasa kujiunga na mashoga na kupigana kwenye vikao, na kufukuzwa bungeni na polisi basii!!

- THAT IS USELESS!!

LE Mutuz

Naona Zeutamu Blog imefufukia JF!
 
Mbona nyinyi mnamuunga mkono Mwenyekiti?Jifunzeni siasa za kuvumiliana sio lazima wote muwe na mawazo ya kufanana!Siasa haziko hivyo Mkuu!!!??

Kitila anachukulia advantage ya kutofika ishu zake kwenye media....mkuu usikimbilie tu kusema unamkubali mtu kwa 100% jipe ata asilimia 60,,alafu uache 40 za kumfahamu zaidi..ni hayo tu kwa leo.
 
Katika pitapita zangu mikoani na kuzungumza na makamanda wanaonesha wazi kuwa ni muda mwafaka kwa Dr Kitila kushika nafasi ya Dkt Slaa ktk nafasi ya Katibu Mkuu,

Sifa za Kitila Mkumbo hazina pingamizi kwa yeyote anaetaka mabadiliko;Kitila ni msomi anaetambua umuhimu wa mabadiliko,Hana makundi ndani ya chama,Kasaidia kutatua mizozo mingi ndani ya chama,Ni msema kweli daima,

Tukumbuke kuwa kitila amelimaliza kisiasa li Gaidi Mwigulu Nchemba uko iramba mpaka sasa halijafika iramba kwa hofu ya kuzomewa baada ya ziara nzito ya kitila mkumbo,Jesca kishoa na David Djumbe.

Tunatambua mchango mkubwa wa Dr Slaa ila kwa sasa tunahitaji mtu atakaepanga mipingo mikakati itakayotekelezeka bila kukigawa chama ktk makundi ili tuweze kuifikia salama nchi ya maziwa na asali.
VIVA MAKAMANDA,VIVA MABADILIKO.

Kimboka nani alikwambia cheo alicho nacho dr slaa ni cha maisha?

Chadema hina hazina kubwa akiwemo @dr kitila mkumbo.

Natunategemea Dr slaa kama haitajiki ataachia nafasi kwa taratibu za kichama na si kupitia vijiwe.

Kwa taarifa tuu @dr kitila mkumbo na Dr slaa wote tuna wahitaji chadema na wanachama ndio watahamua nani anafaa kwenye hiyo nafasi kupitia vikao maalum.
 
Last edited by a moderator:
Mabadiliko ni lazima kila siku mnahimiza ni muda wa ccm kukaa pembeni imechokwa ok hayo mabadiliko yaanzie kwenye chama wanachama wenu wanataka mabadiliko kwenye ngazi ya chama kwanza ili wawaamini na msipowasikiliza msiwalaumu 2015

Kuna tofauti kati ya mabadiliko na mabadiliko ya ovyo ovyo!
 
kwanza huyu kitila nina?,xxxxxxxxx mimi nashangaa sn mambo haya yote yanatoka wapi?, timu za mpila zinapopoteza mchezo maneno yamekuwa haya . ooooo timu imefugwa kwa sababu walikuwa hawajazoeana, sasa basi sisi timu yetu , wamekaa pamoja kwa muda muda mrefu wakazoeana na hii ndiyo timu ya ushindi. hakuna zaidi ya dr slaa aendeleeeeeeeee anafaa mno. nani kama slaa?,
 
Katika pitapita zangu mikoani na kuzungumza na makamanda wanaonesha wazi kuwa ni muda mwafaka kwa Dr Kitila kushika nafasi ya Dkt Slaa ktk nafasi ya Katibu Mkuu,

Sifa za Kitila Mkumbo hazina pingamizi kwa yeyote anaetaka mabadiliko;Kitila ni msomi anaetambua umuhimu wa mabadiliko,Hana makundi ndani ya chama,Kasaidia kutatua mizozo mingi ndani ya chama,Ni msema kweli daima,

Tukumbuke kuwa kitila amelimaliza kisiasa li Gaidi Mwigulu Nchemba uko iramba mpaka sasa halijafika iramba kwa hofu ya kuzomewa baada ya ziara nzito ya kitila mkumbo,Jesca kishoa na David Djumbe.

Tunatambua mchango mkubwa wa Dr Slaa ila kwa sasa tunahitaji mtu atakaepanga mipingo mikakati itakayotekelezeka bila kukigawa chama ktk makundi ili tuweze kuifikia salama nchi ya maziwa na asali.
VIVA MAKAMANDA,VIVA MABADILIKO.

Mpeni ukatibu Mkuu DR.Mkumbo, ATAFAA.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom