kwanza huyu kitila nina?,xxxxxxxxx mimi nashangaa sn mambo haya yote yanatoka wapi?, timu za mpila zinapopoteza mchezo maneno yamekuwa haya . ooooo timu imefugwa kwa sababu walikuwa hawajazoeana, sasa basi sisi timu yetu , wamekaa pamoja kwa muda muda mrefu wakazoeana na hii ndiyo timu ya ushindi. hakuna zaidi ya dr slaa aendeleeeeeeeee anafaa mno. nani kama slaa?,
Acha upimbi wewe,Naona wengine siasa mmezivamia tu mnataka kuleta ushabiki wa simba na yanga.Siasa sio emotions kama mpira,Siasa ni facts na hoja,Siasa ni maisha.