Pendekezo: Dkt Kitila Mkumbo awe mrithi wa Dkt Slaa

Pendekezo: Dkt Kitila Mkumbo awe mrithi wa Dkt Slaa

Status
Not open for further replies.
- And then Mwanakijiji amrithi Mwenyekiti wa Chadema Taifa, he has done a great job ya kuipa meno Chadema lakini for the last one year toka kushindwa kuishikilia hoja ya ufisadi, Chadema imekuwa ikipigana yenyewe kwa yenyewe kwa kukosa hoja progressive kwa Taifa. Recently, amejizatiti sana kwenye violence ambayo it is even worse kwa sababu inaua public image ya Chadema kila siku ya Mungu,

- Kwanza walipomtukana Spika wa kwanza Mwanamke nchini, Walipompiga masikini wa Mungu Mkuu wa Wilaya ya Igunga, walipokosa ukweli wa bomu lililolipuliwa Arusha, walipowaita CUF ni mashoga na kujiunga nao tena, walipogoma bungeni kwa ajili ya muswaada ambao ulisainiwa na Rais anyways as opposed na walivyogomea huku wakienda Ikulu kukutana na Rais, walipopigana bungeni na kutolewa na polisi, sasa ya kupigana wenyewe kwa wenyewe tena mbele ya viongozi wao wakuu wa Taifa,

- I mean haya yote wanangojea nini kujiuzulu na kuwaachia wengine? Maana sasa kinachoendelea ni Self Destruction kunusuruni chama chenu waondoeni viongozi wote wa juu wekeni wapya wenye uwezo mkubwa wa kufikiri na kutengeneza mikakati, mlionao sasa wamechoka wapo wkenye political stress za kutisha,

Le Mutuz

You are sick in your head and you are a burden to CCM .Na naambiwa wanakujua .Wenzio makini wenye akili timamu hawana hamu na spee ya Chadema wewe mchuma tumbo unaleta ulaghai wa kijinga you are useless better a toilet paper can save a puropose than you .
 
nyie mapandikizi na wanafiki wakubwa

- Wanafiki na mapandikizi kuliko wanalia kwamba CUF ni mashoga ahalafu mnajiunga nao kuna unafiki unaozidi huo? Mnawatuma wahuni kumpiga Mwenyekiti wenu wa Mkoa tena mbele ya Viongozi wenu wa Taifa ni chama gani hicho kama sio cha mburulazzz? Mbona hamjawahi kumpiga kiongozi wa kaskazini kazi yenu kuwaonea makabila mengine tu humo ndani ya lichama la ajabu sana, yaani ni lichama la kihuni huni tu, wanachama wasio na mawazo sawa na Viongozi wenu wanapigwa je mkishika dola itakuwaje?

- Yaaani nalichukia sana hilo lichama na siku mksihika dola nahamia Malawi, afadhali kwenda kuongozwa na babes wa ukwheeeeh!!, kuliko hilo lichama la kihuni huni na kupiga watu bila makosa!!

LE Mutuz
 
You are sick in your head and you are a burden to CCM .Na naambiwa wanakujua .Wenzio makini wenye akili timamu hawana hamu na spee ya Chadema wewe mchuma tumbo unaleta ulaghai wa kijinga you are useless better a toilet paper can save a puropose than you .

- Saidia lichama lako la kujiunga na chama cha mashoga ndio unirukie mimi unajua kwamba huniwezi na lichama lako hamniwezi na sina mpango wa kujiunga na lichama ambalo siku moja mnamgomea Rais kesho yake mnaenda Ikulu kunywa juici zake, talking about useless unafikiri kuna mwananchi mjinga wa kuwapa dola? labda atoke ahera sio hapa duniani akili yenu inaishia hapo hapo mlipo sasa kujiunga na mashoga na kupigana kwenye vikao, na kufukuzwa bungeni na polisi basii!!

- THAT IS USELESS!!

LE Mutuz
 
- Mtajibeba CCM tuna Viongozi wengi sana hatuna uhaba kama kwenu ndio maana kila baada ya miaka 10 tunabadilishana na ni chama cha wote huku,

- nyie huko ni mtu na aliyeoa dada yake na aliyeoa mtoto wake, kwanza Mwenyekiti alikuwa Mtei, and then akawa Bob Makani aliyeoa dada wa Mtei na sasa Mbowe aliyeoa mtoto wa Mtei, chama cha wenyewe hicho nyie mtaedelea kujidanganya tu!!

Le Mutuz

Huu msongo wa akili sasa .Kama Chadema ni Chama cha aina hiyo mbona mnatumia nguvu nyingi sana kuki attack ? Kwa nini CCM msiachane nao mkawatumikia wananchi au mkaongeza kasi ya kuwanyonya kama mlivyo sasa badala ya kuhangaika na Chama cha Ukoo ? Eti kama sisi .Huna akili kumbe bro .CCM unasemaje imekaaje ? Mbona baba yako katoka nawe waingia kwa nini usiendelee kuendesha lory ule NY umerudi kwenye siasa na hutakiwi ?
 
mzee John Malecela vile vile anafaa kugombea 2015 urais ndipo ataukwaa uenyekiti wa Taifa, hivi inawezekana akaanzia ngazi ya uenyekiti wa Kijiji cha Mtera?
 
- And then Mwanakijiji amrithi Mwenyekiti wa Chadema Taifa, he has done a great job ya kuipa meno Chadema lakini for the last one year toka kushindwa kuishikilia hoja ya ufisadi, Chadema imekuwa ikipigana yenyewe kwa yenyewe kwa kukosa hoja progressive kwa Taifa. Recently, amejizatiti sana kwenye violence ambayo it is even worse kwa sababu inaua public image ya Chadema kila siku ya Mungu,

- Kwanza walipomtukana Spika wa kwanza Mwanamke nchini, Walipompiga masikini wa Mungu Mkuu wa Wilaya ya Igunga, walipokosa ukweli wa bomu lililolipuliwa Arusha, walipowaita CUF ni mashoga na kujiunga nao tena, walipogoma bungeni kwa ajili ya muswaada ambao ulisainiwa na Rais anyways as opposed na walivyogomea huku wakienda Ikulu kukutana na Rais, walipopigana bungeni na kutolewa na polisi, sasa ya kupigana wenyewe kwa wenyewe tena mbele ya viongozi wao wakuu wa Taifa,

KUBWA JINGA LE TOTOZ KALALE UKUE
 
Huu msongo wa akili sasa .Kama Chadema ni Chama cha aina hiyo mbona mnatumia nguvu nyingi sana kuki attack ? Kwa nini CCM msiachane nao mkawatumikia wananchi au mkaongeza kasi ya kuwanyonya kama mlivyo sasa badala ya kuhangaika na Chama cha Ukoo ? Eti kama sisi .Huna akili kumbe bro .CCM unasemaje imekaaje ? Mbona baba yako katoka nawe waingia kwa nini usiendelee kuendesha lory ule NY umerudi kwenye siasa na hutakiwi ?

- Kuendesha Lori kumenisaidia kuwa na Degree mbili ambazo huna, so heshimu kazi za watu kuna wananchi wengi Tanzania wanaendesha malori sasa una maana Chadema hamtaki waendesha malori? Sasa ni lichama gani mnataka wale tu wanaoweza kuwapiga wenyeviti wenu wa mikoa right? ha! ha! ha! Nimerudi bongo sasa ni kiongozi wa Taifa wa Chama cha Mapinduzi wewe miaka nenda miaka rudi ni mpiga debe tu jf huna lolote maneno maneno mengi mwisho wenu kuungana na CUF tu! ha! ha! ha! ha!

- Eti tunatumia nguvu kuwashambulia au mnajishambulia wenyewe, kwani CCM ndio waliompiga Mwenyekiti wenu Arusha au nyie wenyewe kwa wenyewe kwa usongo wa akili? ha! ha! ha! lichama la ajabu sana wallahi mksihika dola mimi nahamaia Malawi ni afadhali kwenda kuongozwa na babes wa ukweli kuliko chama cha kuungana na mashoga!! ha1 ha1 ha1

Le Mutuz
 
Wale wale masalia na hoja zao...Hamna jipya..Chadema haichaguliwi kiongozi mitandaoni..
Ccm wanataka iwe hivyo wapate kupumua. Hii timu ya Chadema inayowasumbua na kuwanyima usingizi imesukwa taratibu hadi ikafikia hapo ilipo.. Migogoro kama hii midogodogo ni mapito tu na baadaye hali itatulia na makamanda wataendelea na majukumu yao.
 
mzee John Malecela vile vile anafaa kugombea 2015 urais ndipo ataukwaa uenyekiti wa Taifa, hivi inawezekana akaanzia ngazi ya uenyekiti wa Kijiji cha Mtera?

- ha! ha! ha! Kaka mimi ni kiongozi mkubwa sana ndani ya Chama cha MApinduzi, je wewe ni nani huko Chadema? ha! ha1 ha! I mean sihitaji kuoa mtoto wa Mwenyekiti muasisi ili niwe Mwenyekiti. ha! ha! ha!

LE Mutuz
 
Tutakupa na ubalozi kabisa huko Malawi ili unenepe zaidi ya hapo usiwe mkimbizi

- ha! ha! ha! unaona kaka tupo gym tunakula zoezi sio kupiga ngumi Viongozi wetu wa Mkoa, ha! ha! ha! ha! ha! ha!, hiyo ni Live leo nakula chuma mtuwanguzzz!!1 ha! ha! ha!

Le Mutuz
 
Mleta hoja amechukua maoni yangu sehemu flani. ila sawa narudia hapa kuunga mkono hoja kwa %100. dr. mkumbo kuwa katibu mkuu na mwenyekiti ni lissu. jamaa yuko radical kiasi cha kuaminika. naibu katibu mkuu mnyika na makamu mwenyekiti zito.
 
Hata Uzee wa Kanisa hawapewi Vijana bali Wazee. Dr Xavery Lwaitama ndiye anayestahili wakati Dr. Kitila Mkumbo akifuatia ila Le Mtutuz waachie wapenda mabadiliko wajibu hoja siyo wewe mwenye chuki binafsi na Mr. Sugu kisa amejenga nyumba nzuri wakati wewe una fursa kibao kuliko Mr. Sugu. Mr. Sugu ni mlala hoi wewe ni Tajiri ambaye umeulalia huo Utajiri. Naomba umwone Mrisho Mpoto upate ushauri namna ya kutumia Fursa ulizozilalia
 
- ha! ha! ha! unaona kaka tupo gym tunakula zoezi sio kupiga ngumi Viongozi wetu wa Mkoa, ha! ha! ha! ha! ha! ha!, hiyo ni Live leo nakula chuma mtuwanguzzz!!1 ha! ha! ha!

Le Mutuz

Sasa hapo unapasha au unakuny.a? Maana hueleweki hapo.
CC. Nyani Ngabu, Teamo
 
Last edited by a moderator:
- ha! ha! ha! Kaka mimi ni kiongozi mkubwa sana ndani ya Chama cha MApinduzi, je wewe ni nani huko Chadema? ha! ha1 ha! I mean sihitaji kuoa mtoto wa Mwenyekiti muasisi ili niwe Mwenyekiti. ha! ha! ha!

LE Mutuz

Twendelee kumpigania mzee wetu John Malecela awe mgombea pekee wa chama cha Mapinduzi CCM Taifa ili aukwae uenyekiti wa Taifa.
 
- ha! ha! ha! unaona kaka tupo gym tunakula zoezi sio kupiga ngumi Viongozi wetu wa Mkoa, ha! ha! ha! ha! ha! ha!, hiyo ni Live leo nakula chuma mtuwanguzzz!!1 ha! ha! ha!

Le Mutuz

Worrap ma nigga!

Nilitegemea kuona plates nne kwenye hiyo incline....
 
Mleta hoja amechukua maoni yangu sehemu flani. ila sawa narudia hapa kuunga mkono hoja kwa %100. dr. mkumbo kuwa katibu mkuu na mwenyekiti ni lissu. jamaa yuko radical kiasi cha kuaminika. naibu katibu mkuu mnyika na makamu mwenyekiti zito.

Hata kama ndio ukuaji wa Demokrasia, tutamwekaje Lissu na Kitila kuwa Viongozi wakuu wa Vyama wakati wanatoka mkoa wa Singida wote? Mwenyekiti wa Chama, na Katibu Mkuu watoke Mkoa mmoja, hayo yaliwezekana CCM ndio maana uwajibikaji haupo, DPP, DCI, na Mkurugenzi wa TAKUKURU WANATOKA Mkoa MMOJA, NAHISI NA WILAYA NI MOJA alikuwepo na Mwanasheria Mkuu toka wilaya hiyo hiyo wakati huo Chenge, na sasa Mkurugenzi wa Tiss na Jaji Kiongozi ni Family Members, Yawezekana walikuwa na vigezo lakini kwa utaratibu huu mimi kifalsafa hakutokei kwa bahati mbaya
 
Mtoa mada katoa mawazo yake,hapa hatufanyi uchaguzi,ila ni mjadala wa kupanua fikra.Acha kuwaita watu masalia kwa kuwa na mawazo mbadala,mwehu wewe.

Hap[o kwenye red...Mkuu labda nukupe tahadhari kidogo,,,,,,,Ligi unayajaribu kuianzisha hutaimaliza salama....Naomba cheza salama na ubarikiwe usitafute makubwa maana siogopi BAn..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom