Pendekezo: Dkt. Hassan Abassi afukuzwe kazi kwa kiburi cha kukataa amri halali ya Rais wa Nchi

Tunaona mitandaoni wale wafaidika wa awamu dhuluma iliyopita.
Hawataki kukubali kuwa Mama Samia ndio Commander in Chief.
Wengi wana pinga wazi wazi mabadiliko chanya ambayo mheshimiwa Rais anayafanya.

Hapa pasiwe na muhali.
Tujue kuwa Mheshimiwa Mama Samia anaungwa mkono na wengi na mabadiliko anayofanya ni muhimu kwa uchumi wetu.
Wengi wanaopinga ni wale walifaidika kuwatisha wananchi na kuwaibia wafanyabiashara.

Mama Samia inabidi awapige chini before its too late.
Wengine kama Abbas aliyekuwa msemaji wa Serikali, wanadiriki kupinga matamko ya Rais na kueleza wanayoyayafahamu wao.

Mh Rais piga chini hao Kabla hawajafikia critical mass.
 
Bila shaka haya mahusiano siyo ya kutuhubiria Tanzania ni masikini na kwamba bila wafadhiri hamna tunachoweza.
Akiyasema haya hatutamwelewa

KPI tuliyoachiwa inasema Tanzania ni tajiri tunachotakiwa ni kujitambua tu
 
Well yetu macho..ila ajue tu hadi dk hii yeye sio chairperson wa chama chetu pendwa, hakuna aliye mkuu kuliko chama chetu!
 
Tunaona mitangaoni wale wafaidika wa awamu dhuluma iliyopita.
Hawataki kukubali kuwa Mama Samia ndio Commander in Chief.
Wengi wana pinga wazi wazi mabadiliko chanya ambayo mheshimiwa Rais anayafanya.

Hapa pasiwe na muhali.
Tujue kuwa Mheshimiwa Mama Samia anaungwa mkono na wengi na mabadiliko anayofanya ni muhimu kwa uchumi wetu.
Wengi wanaopinga ni wale walifaidika kuwatisha wananchi na kuwaibia wafanyabiashara.

Mama Samia inabidi awapige chini before its too late.
Wengine kama Abbas aliyekuwa msemaji wa Serikali, wanadiriki kupinga matamko ya Rais na kueleza wanayoyayafahamu wao.

Mh Rais piga chini hao Kabla hawajafikia critical mass.
Dr. Abass kaamua kumjaribu mama waziwazi... Ngoja tuone!!
 
Ngoja tuone.

PhD inaposhindwa kutafsiri maana ya vyombo vya habari.

PhD inasema gazeti siyo chombo cha habari.

PhD inambishia Rais ambaye ni taasisi.

PhD inachanganya itikadi na maswala ya kiserikali.

Ngoja tuone.

Ukinizingua Nakuzingua!
Dr Abasi bado anatumia template ya zamani, mtu mmoja mstue huko adowlod template mpya lasivyo atazinguliwa maana mama anawalia timing, kuwaondoa wote kwa wakati mmoja kungeleta shida kidogo lakin kumuondoa mmoja mmoja baada ya kumzingua mama hakuna shida
 
Tunaona mitangaoni wale wafaidika wa awamu dhuluma iliyopita.
Hawataki kukubali kuwa Mama Samia ndio Commander in Chief.
Wengi wana pinga wazi wazi mabadiliko chanya ambayo mheshimiwa Rais anayafanya.

Hapa pasiwe na muhali.
Tujue kuwa Mheshimiwa Mama Samia anaungwa mkono na wengi na mabadiliko anayofanya ni muhimu kwa uchumi wetu.
Wengi wanaopinga ni wale walifaidika kuwatisha wananchi na kuwaibia wafanyabiashara.

Mama Samia inabidi awapige chini before its too late.
Wengine kama Abbas aliyekuwa msemaji wa Serikali, wanadiriki kupinga matamko ya Rais na kueleza wanayoyayafahamu wao.

Mh Rais piga chini hao Kabla hawajafikia critical mass.
Nakubaliana nawe...kama agizo pekee ni kutoka kwenye hotuba
 
Back
Top Bottom