UGOKO MKAVU
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 202
- 79
Mi nshasahau hata hiyo Std-7 nlisomea shule gani.
Nimecheka sana mpaka nimeghairi ku_apply. Umetisha mbaya
Mi nshasahau hata hiyo Std-7 nlisomea shule gani.
Binafsi sina cha kunishangaza zaidi meenda shule niliyosoma cheti hakionekani na nimemsaidia kutafuta hiko cheti hakipo ila vingine vipo sielewi nafanyaje sasa zaid zaid wananambia ntoe ef5 wantengenezee living waeke na picha sasa je na hii sura yakiutuuzima inakuaje??na ni vipi cheti kinapotea celew pia
Mi nilirukishwa darasa itakuaje sasa
Mi nilimaliza la 7 mwaka 1985 nimeenda wanasema vyeti miaka hiyo vilikuwa havitolewi.
Duuh....so uwernt employed till then o u wana change your career?...maisha bora kwa kila mtanzania ican c...
Mi nilimaliza la 7 mwaka 1985 nimeenda wanasema vyeti miaka hiyo vilikuwa havitolewi.