mojoki
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 1,313
- 291
Mwaka wa 2000 na 2001 vyeti havikutolewa. Ndio maana mnalipishwa rushwa huku mnaomba kupambana na rushwa.
Unavojishembendua utadhan hujawai kutoa rushwa, Labda nikufahamishe baada ya kulipa 5000 na kukipata cheti hicho Mwalimu wangu nikamtoa 30,000 ya kumshukuru Mama yule na roho yake njema vile zoezi halikua na urasimu wowote
Wewe endelea kujifanya mtu wa haki sana kumbe ndo wezi wenyewe