vyeti vya std 7 vinapatikana, we nenda shule uliyomalizia utakikuta mi' changu ninacho, ukienda wakisema havipo ujue wameshakiuza wabane utakipata!
Naomba kwa aliyehitimu drs la 7 mwaka 1995 anisaidie kama yeye alipata cheti coz nimefuatilia mara kadhaa cheti changu bila mafanikio! Jibu nalopata ni kuwa mwaka huo vyeti havikutoka! So plz.