Thomas Sankra Jr
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 418
- 128
mie shule niliosoma sasa hv imekua girls tupu...
nenda kachukue cheti std 7 shule ya jirani.
mie shule niliosoma sasa hv imekua girls tupu...
We unaogopa nini kuonekana jina lako watu wakitaka kukujua wanakujua vizuri
Habari zenu Mabibi na Mabwana, Samahani naombwa kujuzwa ivi vyeti vya darasa la saba huwa vinatolewa? kwa sababu mie binafsi sina. Kwa anayejua pls naomba kujuzwa coz pccb wametaja cheti hicho kiambatanishwe ktk maombi ya kazi. Sifa zote nnazo ila kimbembee nasema kimbembee ni hicho cheti cha darasa la saba sina. Mm darasa la saba nmemaliza mwaka 2000 je kuna aliyemaliza miaka hiyo ambae anacho? Msaada plzzzzzzzzzzzzzzz...:help::A S-confused1::A S 2152::noidea::cell:
Ni shule ndo iliyositisha au ni wizara.? coz mimi nimemaliza 1996 wilaya ya moshi vijijini na niko na cheti changumi nilikwenda kwenye shule niliyosoma wakaniambia 1991 - 2003, walisitisha kutoa na wakaanza tena 2004.
na ili kukipata nitoe 10000 na kuleta picha 2 ili wapeleke maombi yakijibiwa nitakipata, au ndiyo desh.
hivi icho cheti lazima kifanane na alichoweka mdau?... kuna ndugu yangu alisoma english medium akapewa leaving certificate...ndio chenywe au kuna kingine?
Kina rangi nyeupe na nyeusi kidogo!Miye hata cjui kwanza kinarangi gani hicho kijicheti!!
Mkuu mbona unampotosha mwenzio,ushauri wako ni kama nguvu za giza!nenda kachukue cheti std 7 shule ya jirani.
Mkuuacha kutuchekesha kwani chakwako ni cha shule yako au ni cha wizara?Ni shule ndo iliyositisha au ni wizara.? coz mimi nimemaliza 1996 wilaya ya moshi vijijini na niko na cheti changu
Vyetu hua vinakuepo sema ile dharau na utoto nadhni watu wengi huwa hawavijali ..nakushauri nenda shule ulomalizia watakupa..mi binafsi nnacho cha kwangu ni memaliza 2003....
Mimi1996 nimepata habari kwa mwl. Mkuu....so j3 nakifata anarau niwenacho tu.
Vyetu hua vinakuepo sema ile dharau na utoto nadhni watu wengi huwa hawavijali ..nakushauri nenda shule ulomalizia watakupa..mi binafsi nnacho cha kwangu ni memaliza 2003....
Kujaribu ndo mpango mzima
Umeanika Jina kaka
Miaka ya 2000 na 2001 vyeti vya darasa la 7 havikutolewa kwa nchi nzima. Waziri wa elimu mwaka huo alivisimamisha.