PCCB na vyeti vya darasa la saba

PCCB na vyeti vya darasa la saba

Tarehe 3/10/2013 haijafika au ujanja umefanyika kukupa hicho cheti.

ni PM jina lako nikupitishe kwenye usahili. ushapita PCCB wewe. tunahitaj vjana kam ww. hahahaaaa uko smart.
 
me kimetoka tunduru huko leo ndo nimekpata hapa.sasa nle wao waninyime kazi! usumbufu tu
 
Mimi nimemaliza mwaka 2000 na hapa nipo ofisini kwa mwalimu mkuu utaratibu wa kuandikiwa cheti umechukua just one hour gharama 5000 tu na ushahidi wa cheti huo hapo
Kumbe wewe ni Me na avatar ya ke
 
Mimi nimemaliza mwaka 2000 na hapa nipo ofisini kwa mwalimu mkuu utaratibu wa kuandikiwa cheti umechukua just one hour gharama 5000 tu na ushahidi wa cheti huo hapo

Haya MODESTA tunashukuru kwa ushahi huo.
 
Kwani wewe umesoma shule ya msingi ya Tanzania ya wapi?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kama sisi wa miaka ya 80 tunavyo inakuwaje wewe wa 2000 usiwenacho.

JITAFAKARISHE
 
Mna akili za kimaskini sana hamna ujanja wowote zaidi ya gharama ya 5000 ya cheti
 
Mimi nimemaliza mwaka 2000 na hapa nipo ofisini kwa mwalimu mkuu utaratibu wa kuandikiwa cheti umechukua just one hour gharama 5000 tu na ushahidi wa cheti huo hapo

Naona kimetolewa Oktoba 3, 2013 wakati leo ni Oktoba 2, 2013.
 
Mimi nimemaliza mwaka 2000 na hapa nipo ofisini kwa mwalimu mkuu utaratibu wa kuandikiwa cheti umechukua just one hour gharama 5000 tu na ushahidi wa cheti huo hapo

hizo rushwa elfu 5 yann vyeti vinatolewa bure me nimeagiza tu nikachukuliwa na mtu bure na bri wangu kamaliza 1996 la saba naye kapewa bure tu
 
Mimi nimemaliza mwaka 2000 na hapa nipo ofisini kwa mwalimu mkuu utaratibu wa kuandikiwa cheti umechukua just one hour gharama 5000 tu na ushahidi wa cheti huo hapo

Mkuu hizo tarehe vipi mbona hazieleweki? Nafikiri kesho ndo tarehe 3 sasa cjui imekuaje hapo kwenye tarehe?
 
Habari zenu Mabibi na Mabwana, Samahani naombwa kujuzwa ivi vyeti vya darasa la saba huwa vinatolewa? kwa sababu mie binafsi sina. Kwa anayejua pls naomba kujuzwa coz pccb wametaja cheti hicho kiambatanishwe ktk maombi ya kazi. Sifa zote nnazo ila kimbembee nasema kimbembee ni hicho cheti cha darasa la saba sina. Mm darasa la saba nmemaliza mwaka 2000 je kuna aliyemaliza miaka hiyo ambae anacho? Msaada plzzzzzzzzzzzzzzz...:help::A S-confused1::A S 2152::noidea::cell:

Mi nshasahau hata hiyo Std-7 nlisomea shule gani.
 
Umesahau shule uliyosoma, ndowalewale alishababu nn? haahaaa usalama wa taifa kuja hapa kunamkimbizi pande :hippie: (hizi) kimbiza kamata hiyo. :target::A S-cry::bathbaby:
 
hizo rushwa elfu 5 yann vyeti vinatolewa bure me nimeagiza tu nikachukuliwa na mtu bure na bri wangu kamaliza 1996 la saba naye kapewa bure tu

Elfu tano sio ela, after 13 years 5000 sio kitu cha kulalamika
 
Kama huthanini cheti cha kuhitimu elimu ya msingi, ulikuwa unafanya nini miaka 7 yote? Mimi ninacho cha chekechea 1992 pia.
 
Jamni mi shule yangu yamsing yenyewe pale ilipokuwaga imehamishwa! Sijui ntakipataje! Wamejenga bank na maduka! Poor me daaah!
 
Ighuka shule ya msingi nitaenda kukichukia cheti..lakin ?
 
Jamni mi shule yangu yamsing yenyewe pale ilipokuwaga imehamishwa! Sijui ntakipataje! Wamejenga bank na maduka! Poor me daaah!

hahahahahahaah da hio ni noma umenifurahisha sana uliza mwenyekiti wa kijiji
 
hahahahahahah wewe utakuwa umezidi miaka 35 ambapo napo hautakiwi kabisaaaaaa
Mi nilimaliza la 7 mwaka 1985 nimeenda wanasema vyeti miaka hiyo vilikuwa havitolewi.
 
Back
Top Bottom