PCCB na vyeti vya darasa la saba

PCCB na vyeti vya darasa la saba

mie niliwauliza hivi wadau: shule niliosoma imegeuzwa imekua girls tupu, nifanyeje?
wakajibu: nenda shule ya jirani.

mayb na wew una case kama yangu. vipi pale Forodhani hapakua na majirani wa kufanya nao "ujirani mwema tests"??

Forodhani jirani zetu walikua mtendeni..kisutu primary na bunge basi
 
Haya

1.Taja zao la biashara la Marekani.

2. Andika kanuni ya kutafuta eneo la mche duara ulio wazi pande moja.
Reuters reported Dec. 18 that public-policy analyst Jon Gettman estimated the value of the U.S. marijuana crop at $35 billion annually, with California, Tennessee, Kentucky, Hawaii and Washington each producing more than $1 billion worth of the illegal drug each year. Gettman estimated the annual California marijuana crop to be worth $13.8 billion - See more at: Biggest U.S. Cash Crop: Marijuana | The Partnership at Drugfree.org

3. Nyenzo daraja la 2 ina egemeo wapi?

4. Kitendawili: Debe tupu_______________.

5. Chief Mkwawa, alikufa mwaka gani?

6. ________________________.

Majibu
1. yapo mazao mengi ya bishara kwa Marekani,ila zao kuu la biashara ni Marijuana (Bangi) hii ni kwa mjibu wa Reuters kuwa Marijuana ina thamani ya $35Billion kwa mwaka.

2. Majanga
3. mwisho na mzigo hukaa katikati

hahahaha! Loh watu mnavisa!!! Nna moja ya 6 nshakosa kazi!!
 
darasa la saba unaweka reference? hahhhaaaa
 
dont panic on dat cha msingi wewe try to be aggressive kwa hili hakuna cheti cha darasa la saba wala nini tuma ulivyonavyo tuuu mdau.
 
Forodhani jirani zetu walikua mtendeni..kisutu primary na bunge basi

Usinikumbushe Teacher Mwalongo, Kimath na Chuma.
Ila hata mie najiuliza, Vyeti tavipataje sie wa Forodhani?
 
mkuu vipo na mimi ninacho ila kuanzia miaka ya 2000 mtapata wale nyuma ya hapo sijui
 
Habari zenu Mabibi na Mabwana, Samahani naombwa kujuzwa ivi vyeti vya darasa la saba huwa vinatolewa? kwa sababu mie binafsi sina. Kwa anayejua pls naomba kujuzwa coz pccb wametaja cheti hicho kiambatanishwe ktk maombi ya kazi. Sifa zote nnazo ila kimbembee nasema kimbembee ni hicho cheti cha darasa la saba sina. Mm darasa la saba nmemaliza mwaka 2000 je kuna aliyemaliza miaka hiyo ambae anacho? Msaada plzzzzzzzzzzzzzzz...:help::A S-confused1::A S 2152::noidea::cell:

vinatolewa shuleni mi nimeenda kuchukua Buzuruga shule ya msingi Mwanza wiki iliyoisha, wadai hela ya kidogo sababu serikali imehamia digitali
 
Asanteni wadau, nshakipata chakwangu.......:yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield:
 
mi nilimaza 2001, nilichukua 2008. ni kidogo hivi kina rangi kaki
 
kwanza kaa unataka apply PCCB huwezi. mkubwa mno.

pili, uo mwaka tulikua tunamsiba wa hayati baba wa taifa, mwalimu julius kambarage nyerere. hivyo sidhani kama vitakuwepo.

ila kajaribu.

Mi nimemaliza `99 na sasa nina miaka 28...ukubwa upi?....watoto wa Mulugo mna tabu sana
 
Teh !

Msigombane subirini mkipate nafasi ya
kuitwa kwenye usaili ndy hapo sasa sasa.
 
Habari zenu Mabibi na Mabwana, Samahani naombwa kujuzwa ivi vyeti vya darasa la saba huwa vinatolewa? kwa sababu mie binafsi sina. Kwa anayejua pls naomba kujuzwa coz pccb wametaja cheti hicho kiambatanishwe ktk maombi ya kazi. Sifa zote nnazo ila kimbembee nasema kimbembee ni hicho cheti cha darasa la saba sina. Mm darasa la saba nmemaliza mwaka 2000 je kuna aliyemaliza miaka hiyo ambae anacho? Msaada plzzzzzzzzzzzzzzz...:help::A S-confused1::A S 2152::noidea::cell:

Mkuu kama unafahamu hizo sifa za pccb naomba unifahamishe mwenzio cjui hata moja.
 
Back
Top Bottom