Tuliowahi kuoa wa darasa la saba na kufanikiwa hali ya kuwa siye ni graduates njooni tupeane uzoefu

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,275
21,448
Kuoa mke wa darasa la saba drop-out kunahitaji uwe na high emotional intelligence, hao ma bint ni wataamu ukimpata kama sio singo maza na hajakaa sanaa mtaani ni watiifu sana wasafi wanajituma, na ni wakweli kwenye mapenzi hawadanganyi hawako polluted sanaa kama hao wasomi wetu, kikubwa zaidi wanashirikiana na jamii ilio tuzunguka katika misiba wagonjwa shughuri vikao vya serikali za mitaa anakuakilisha ipasavyo na anakupa tarifa zote za mtaani, mimi sijuitii kuoa darasa la saba drop-out

Ila pia wana mapungufu katika kufanya maamuzi, kutoa ushauri na katika ugomvi ukitokea mimi ni mwaka wa 10, sijajutia navuna watoto walio lelewa na mama na baba mapishi ya bei ya chini na mazuri hawana makuu, kwasasa sms zake ni nzuri zina kiingereza na kiswahili kama swaga, anajua utani ni mkarimu kwa wageni wetu nikikasirika ana nielewa.

Wewe kama ni mtu wa kupenda maisha ya ndoa think twice hao ma graduate ni vichomi wanao taka haki sawa na mchango wao katika familia haonekani ni kukupa stress tupu kufikilia lini unakufa aongoze familia yako, wanapenda showoff za kijinga expensive life wakati hawana pesa.
 
Hongera sana!! Unachosema ni kweli! Kuna jamaa yangu ni Wakili mbobezi mkewe ni darasa la saba!! Kamfungulia stationary ili kumfanya awe busy na wanaishi vizuri sana.

Ingawa nako kuna vichomi vile vile hivyo ni jambo la kumshukuru Mungu kama umebahatisha mke!
 
Hongera sana!! Unachosema ni kweli! Kuna jamaa yangu ni Wakili mbobezi mkewe ni darasa la saba!! Kamfungulia stationary ili kumfanya awe busy na wanaishi vizuri sana.

Ingawa nako kuna vichomi vile vile hivyo ni jambo la kumshukuru Mungu kama umebahatisha mke!
Vichomi kwote kwote vipo lakini vya hao wasomi wetu wapenda haki sawa ni hatari kuliko innocent wetu hao.
 
Sema kizazi Cha Sasa hivi kupata mke ni bahati Pana mke na Pana Dustin la ngono,wengi ni dustini wazuri kwa ngono na sio Kwa familia.
Wanawake wa sasa hivi wanapenda fake life maisha ya show off za kwenye mitandao sababu ya kiwango cha ujinga kuongezeka hasa kwa waafrika sababu ya vyakula vya kisasa GMO food.
 
Pana wanawake Wana PhD,Wana pesa kuliko waume zao na wao ndio usimamia familiar lakini wanawaheshimu na kujua nafasi ya mume ni ipi kwa faida ya watoto.
Ukubwa wao wanauacha nje ya geti
Hizo ni nadharia hao wanawake sio wa nchi hi, anapata tu cheo serikalini anaanza kukunyanyasa sembuse phd, wanawake wasomi na pesa ni vichomi labda kama hujipendi
Pana wanawake Wana PhD,Wana pesa kuliko waume zao na wao ndio usimamia familiar lakini wanawaheshimu na kujua nafasi ya mume ni ipi kwa faida ya watoto.
Ukubwa wao wanauacha nje ya geti
 
Back
Top Bottom