Paypal na Mpesa tanzania

Paypal na Mpesa tanzania

Kuna mtu anaweza elekeza jinsi ya kuumganisha .nilelewe Vizuri
 
Kuna mtu anaweza elekeza jinsi ya kuumganisha .nilelewe Vizuri
1. Tengeneza email account
2. Google PayPal kisha utatengeneza account yako mpya ya PayPal
3. Hakikisha unajaza exact details kama zilizopo ktk kitambulisho chako cha Nida.
4. Hakikisha copy ya kitambulisho chako cha Nida maana wakati mwingine wanaweza kukutaka uwatumie nakala ya kitambulisho chako ili wafanye verification.
5. Katika sehemu ya kujaza namba ya simu utajaza namba ya Voda.
6. Download app ya Voda then bofya PayPal fuata maelekezo
7. You are done
 
Asante 🙏
 
Nilifanya ukanjanja account yangu ikaishia kupigwa pini hadi leo.
Baada ya miezi 6 (Siku 180) si huwa wanaruhusu kutoa hela yako... Vp au hii washaiondoa?

Kingine ulkua unafanya transactions za hilibi nini? (Bitcoin)
 
Hakikisha tu namba unayotumia M-Pesa App umeiweka/link pia PayPal na iwe primary namba ili usije feli ku link account yako hapo baadae..
 
Baada ya miezi 6 (Siku 180) si huwa wanaruhusu kutoa hela yako... Vp au hii washaiondoa?

Sasa kilichomkuta mimi... Nilitumia pesa yangu fresh. Wakaiblock kutaka uthibitisho. Nikatuma uthibitisho fresh. Baada ya miezi 6 wakanitumia a very polite sms kuwa sasa unaweza kuchukua pesa yk. Kilichotokea sasa, si nilipitiwa kutop up safaricom number yangu. Nikakuta line imeshaexpire. Aisee niliumia sn sn
 
Badili no Yako ya Siri ya mpesa...kwangu inafanya kazi nimebadili no ya Siri na nimerudia rudia kuingia PayPal Hadi umekubali ...naona mpesa
Namba mpya za Voda zinazoanza na 0725… hazitambuliwi na PayPal. Nililazimika kusajili namba yenye tarakimu za zamani 0762 … ikakubali. Sahivi napokea dolari 😊😊
IMG_3030.png
 
Link PayPal account yako na bank account yako. Ukifanya hivyo PayPal itakata kile kiasi unacholipa kutoka kwenye account yako ya benki. Ninafanya malipo kibao kwa PayPal tangu 2018. Niliunganisha PayPal yangu na CRDB account yangu. Ni rahisi na salama.
Hapo kwenye account ndo penyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom