Taaatibu, utawachanya walugaluga....Au kwanini msitumie binance?
Taaatibu, utawachanya walugaluga....Au kwanini msitumie binance?
Jamani😃 nimeuliza tu, kuna kipindi nilimkodisha mzungu acc yangu ya linkedin akawa ananilipa kila mwezi kupitia binance! Sikuona ubaya nikawa naziuza kule wafanya biashara wako wengi si mchezo! Na ninatumiwa kwenye M-Pesa yangu!Taaatibu, utawachanya walugaluga....
Huyo wa kupuuzwa tu. Hana anachokijua.Kuku mgeni hakosi kamba mguuni...
Sema walugaluga hawajakushtukia, wanatiririka......
Mkuu issue sio kutumia hizo kina binance,au kina skrill.the main pont ni hayo macompany ya ulaya ukiwafanyia kazi malipo yao mara nyingi ni PayPal..na hawana option nyingine..ni sawa na ww mkuu uwe mfanyakazi wa nmb unadhani mshahara wako watarecomend bank Gani kukulipa?Au kwanini msitumie binance?
August 5 natua JNIA hapo. Kitaeleweka tu kubabeki🤨Hahahaha uzuri huamishi yaani wewe ni kuwithdraw tu kwa mpesa yako.ikingia tu kwenye account ya PayPal hapo hapo ukifungua application Yako ya mpesa unaokuta pesa yako
Una bahati account Yako ya LinkedIn imerudi salama next time usifanye hivo Tena.Jamani😃 nimeuliza tu, kuna kipindi nilimkodisha mzungu acc yangu ya linkedin akawa ananilipa kila mwezi kupitia binance! Sikuona ubaya nikawa naziuza kule wafanya biashara wako wengi si mchezo! Na ninatumiwa kwenye M-Pesa yangu!
Kumbe unamjua mpaka CZ...Jamani😃 nimeuliza tu, kuna kipindi nilimkodisha mzungu acc yangu ya linkedin akawa ananilipa kila mwezi kupitia binance! Sikuona ubaya nikawa naziuza kule wafanya biashara wako wengi si mchezo! Na ninatumiwa kwenye M-Pesa yangu!
Kabisa wa kupuuzwaHuyo wa kupuuzwa tu. Hana anachokijua.
We unachojua share na wenzio!Huyo wa kupuuzwa tu. Hana anachokijua.
Ohoo! Hapo sawa mkuu..Mkuu issue sio kutumia hizo kina binance,au kina skrill.the main pont ni hayo macompany ya ulaya ukiwafanyia kazi malipo yao mara nyingi ni PayPal..na hawana option nyingine..ni sawa na ww mkuu uwe mfanyakazi wa nmb unadhani mshahara wako watarecomend bank Gani kukulipa?
Sikuihitaji tena nilikuwa naitumia na ilikuwa kwenye simu yangu, so nilitoa details zangu nikaachana nayo tu! Kwanini mkuu?Una bahati account Yako ya LinkedIn imerudi salama next time usifanye hivo Tena.
Kaa kwa kutuliaHuyo wa kupuuzwa tu. Hana anachokijua.
Cz ndio nani mkuu? Halafu kule kila mtu anaingia inategemea tu unataka kufanya nini sio lazima uwe corporate bana!Kumbe unamjua mpaka CZ...
Na huko linkedin sisi bodaboda tukafanye nini...
Uko mbele ya muda....
huku kwetu ni saa 7 usiku, kwenu itakuwa kumesha kuchwa
Humu Jf kila mtu anajikuta mjuaji, badala tukae hapa kujifunza uhaya unataka kutake over! Unachokijua ww mwingine hakijui and vice versa! Watu sijui huwa wana shida gani aisee!😂Kaa kwa kutulia
Wakati wewe ndio unashtukia paypal leo , yeye anacheza na Binance na Worldremit, ungezijua hizo wala usingeshangilia paypal
Yeah wametisha mpesaNimetumia zaidi ya mara moja ni chap na instant
Wakuu katika pita zangu kwenye application ya Vodacom(Mpesa)nimeona kuna ku link account ya PayPal..Sasa naomba kujua kama inapokea..je mpesa wameingia partnership na PayPal???