paypal tanzania

  1. mtoto wa kibopa

    JamiiForums Tanzania Paypal na Mpesa tanzania

    Wakuu katika pita zangu kwenye application ya Vodacom(Mpesa)nimeona kuna ku link account ya PayPal..Sasa naomba kujua kama inapokea..je mpesa wameingia partnership na PayPal???
  2. The introvert

    JamiiForums Tanzania PayPal Tanzania

    Wakuu habari za muda huu. Ni mwaka 2025, dunia inakimbia kwa kasi kwenye suala la teknolojia, lakini sisi bado tumekwama kwenye jambo dogo la huduma ya kifedha ya mtandaoni kama PayPal. Watanzania — hasa vijana wa kidigitali, wabunifu, wasanii, freelancers, na wafanyabiashara mtandaoni —...
  3. Mhaya

    JamiiForums Tanzania WISE Account imekuja kama mbadala baada ya PAYPAL kufungiwa hapa Tanzania

    Baada ya PayPal kufungiwa kutumika Tanzania kumekuwa na changamoto kubwa ya kupokea pesa za kimataifa kwa sababu wengi wetu tumekuwa tukizoea kupokea pesa kwa PayPal. Lakini kuna Online money transfer moja nayo inafanya kazi vizuri tu. Hii inaitwa WISE, hii platform inaruhusu kutuma na kupokea...
  4. NguoYaSikuKuu

    JamiiForums Tanzania Paypal Tanzania kuna shida gani?

    Wakuu salamu, Nimejaribu kununua bidhaa Ebay kwa kutumia Paypal nashindwa kabisa kulipia. Inaleta kitu kama hiki chini. Lakini siwezi kuproceed na Payment. Any idea kwa mtu aliyefanya manunuzi recently na Paypal?
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Makato ya PayPal Tanzania yakoje?

    Habarini!. Anayefahamu makato ya kuhamisha pesa kutoka paypal kwenda benk iliopo Tanzania anifahamishe please,
  6. Baraka21

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndugulile, tunaomba uruhusu akaunti ya PayPal Tanzania

    Mh. Waziri Ndugulile pamoja na Benki Kuu ya Tanzania sisi vijana tusio na ajira tunaomba mruhusu account za paypal ziweze kuruhusu kupokea pesa ili tujiajiri na kazi za mitandaoni. Tunakuomba sana mheshimiwa Waziri utusaidie. Huku mtaani hali ni mbaya sana. Natanguliza shukrani.
  7. talentbrain

    JamiiForums Tanzania Naweza kufungua account ya kupokea kwa Paypal Tanzania kwa sasa?

    Habari wadau wa biashara na ujasiliamali. Labda nitangaze interest. Nimefungua biashara yangu ambayo inahitaji sana kupokea malipo ya awali kabla ya kutoa huduma na nikaifikiria PayPal. Katika mapitio yangu inaonekana Tanzania haijaanza kutumia huduma hii rasmi. Kwa kutambua hilo naomba kujua...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu naomba anayejua app ya survey inayolipa anisaidie

    Hello, habari zenu? Mwenzenu naomba anayejua app ya survey inayolipa for real kama Premise app nchini Tanzania anijuze. Nimetafuta nyingi Sana km Afrisight, Geopoll n.k sijapata jamani!! Napenda kujishughulisha Sana hasa online survey through apps, website lakini sijapata zaid ya Premise...
  9. trojan

    JamiiForums Tanzania Paypal to Tigo Pesa Exchange

    Nahitaji cash paypal , mwenye balance na anahitaji kuexchange anicheck PM.
Back
Top Bottom