The Puncher
Member
- Mar 5, 2019
- 40
- 58
Ushindwe wewe tu. Just as simple as that!Hapo kwenye account ndo penyewe
Ushindwe wewe tu. Just as simple as that!Hapo kwenye account ndo penyewe
Hapana siwezi weka account yangu kwa scamUshindwe wewe tu. Just as simple as that!
Nani scammer sasa?Hapana siwezi weka account yangu kwa scam
Mwenye link ndo scammerNani scammer sasa?
Sasa kama unajua ni scammer kwa nini ulitaka kulipia hivyo vitabu vyake kwa PayPal?Mwenye link ndo scammer
Ukiwa na mteja anataka kulipia toka nchi ambayo hakuna mpesa utafanyeje?Hmm mimi huwa napikea directly kwenye mpesa yangu! Kwanini niunganishe paypal?
Mimi huwa napokea directly situmii paypalUkiwa na mteja anataka kulipia toka nchi ambayo hakuna mpesa utafanyeje?
PayPal ndiyo suluhisho.
Uzi unawahusu wana PayPal.Mimi huwa napokea directly situmii paypal
Kwahiyo?Uzi unawahusu wana PayPal.
Si lazima ucomment kama kitu hakikuhusu.Kwahiyo?
Kwani comment yangu inakuathiri nini we naye vipi?Si lazima ucomment kama kitu hakikuhusu.
Sometimes jishikilieKwani comment yangu inakuathiri nini we naye vipi?
KwaniniSometimes jishikilie