Paypal na Mpesa tanzania

Paypal na Mpesa tanzania

Kutoka kwa mtu nje bila PayPal
Yes inawezekana but PayPal unatumika sana kwa watu wanaofanya kazi mtandaoni ambapo company nyingi zinalipa kwa PayPal,na bongo ilikuwa PayPal haifanyi kazi ya kureceive so wabongo wengi tukawa tunamtumia line za safaricom ili kulink na PayPal..bahati mbaya zaidi PayPal wakikushtukia walikuwa wanachoma account yako.pesa inapotea kwa v
 
Duhh poleni si mngetumia hata world remit?
 
Kutoka kwa mtu nje bila PayPal
Yes inawezekana but PayPal unatumika sana kwa watu wanaofanya kazi mtandaoni ambapo company nyingi zinalipa kwa PayPal,na bongo ilikuwa PayPal haifanyi kazi ya kureceive so wabongo wengi tukawa tunamtumia line za safaricom ili kulink na PayPal..bahati mbaya zaidi PayPal wakikushtukia walikuwa wanachoma account yako.pesa inapotea kwa vile
Kutoka kwa mtu nje bila PayPal
Sio kwelii
 
Kweli mkuu kwanini nikudanganye?
 
Kutoka kwa mtu nje bila PayPal
Iko hivi. Kuna baadhi ya kampuni Ulaya zinatumia njia za malipo kwa kutumia PayPal na Pioneer pekee. Sasa ili kupata malipo kutoka PayPal ilitulazima kumiliki line za safaricom kisha kucreate account ya PayPal kisha unailink na hiyo namba ya safaricom. Hapo tulikuwa tunapokea pesa kupitia namba ya safaricom kisha unaitransfer kwa namba yako ya bongo.
 
Ooh hapo nimekuelewa aisee!
 
Kuku mgeni hakosi kamba mguuni...
Sema walugaluga hawajakushtukia, wanatiririka......
Sio kweli! Karibu kwetu..
B45BA4C4-871B-4741-B936-F113213A19DD.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom