Maximum amount unayoweza withdraw kwa siku ni kias gan mkuu?
Sent using
Jamii Forums mobile app
Natumai unaulizia kuhusu
Worldremit. Not Payoneer.
1. Kama mtakubaliana akutumie kwenye Bank Transfer yaani pesa iingie kwenye local bank account yako (at People's Bank of Zanzibar), ama akutumie kwenye Cash Pickup (yaani ukachukue pesa kwa worldremit agent/wakala ambaye ni Diamond Trust Bank), basi the
maximum amount to send ni
Tsh 7,000,000 (Million saba) per transfer/transaction.
2. Kama mtakubaliana akutumie kwenye Mobile Money Transfer (yaani pesa iingie kwenye TigoPesa ama M-Pesa ama EazyPesa), basi the
maximum amount to send ni
Tsh 3,000,000 (Million tatu) per transaction.
Hiyo ndiyo MAXIMUM AMOUNT ya kutuma
kwa kila transaction , it means kwamba kwa siku anaweza akatuma transactions nyingi awezavyo.
Kujibu swali lako... ''what is the Maximum Amount to Withdraw kwa siku?'' :
Sasa hapa it depends ni njia gani uliyochagua upokelee pesa, kati ya hizo njia mbili hapo juu. Mfano kama unapokea pesa kwenye Bank, nadhani utaweza ku-withdraw hata Million Saba yote at once kwenye bank teller. Kama unapokea pesa kwenye Mobile Money (TigoPesa, M-Pesa, EazyPesa) pia utaweza ku-withdraw pesa nyingi as you want coz ni kwenda tu kwenye banda la tigopesa unavuta mpunga.
N.B: For the case of
TigoPesa, there is a
monthly limit of TZS 90,000,000 (Million Tisini).
TigoPesa also has a
maximum balance of TZS 5,000,000 (Million Tano) that one of their
customers can have at any one time.
Nadhania maelezo yangu yametosheleza swali lako. Otherwise mkuu
chilubi anaweza kupolish zaidi kutokana na uzoefu wake kwenye worldremit money transfer.
-Kaveli-