Payoneer ni mbadala halisi wa PayPal!

Powder

JF-Expert Member
Jan 6, 2016
4,417
5,440
Habari Wakuu!

Binafsi ni mtu ambaye niliathiliwa na kutokubaliwa kwa PayPal Tanzania, kwa wale wenzangu na Mimi ambao tumekua tukiuza kazi zetu online, watakubaliana nami kuwa Clients wengi wanajisikia salama wakilipa kwa PayPal, Clients wengi hawataki kusikia Western Union, Moneygrams na hata Bank Transfer.

Ilipelekea wengi kupata shida namna kupokea malipo Yao, hapa jf Kuna thread kadhaa za members wakitoa malalamiko Yao.

Kwa wale wote waliokua wanakwazwa na kutokuwepo PayPal, sasa wanaweza kutumia Payoneer Master Card, uta apply Card yako toka America na ndani ya week 2 au 3 utatumiwa Master card ya Payoneer ambayo itakuwezesha Ku withdraw pesa yako kwenye ATM yoyote inayo support Master card Worldwide, pia unaweza Kuhamisha pesa yako toka Payoneer kwenda kwenye account yako ya bank!

Binafsi Mimi ndo naitumia, mpaka sasa nimesha withdraw pesa zaidi ya Mara 3.

Nakuwekea link hapo chini, huduma zote ikiwemo Card ni bure.

Una swali au chochote Karibu.

https://share.payoneer.com/nav/1IYl...XyTobBfQIlfYwJKEZGoAAd7S9xVGy2c5HvirbrcC8syA2
 
Asante kwa kutuelimisha. Mimi nilijaribu PayPal lakini sikuweza
Ni kweli, PayPal haijaruhusiwa Tanzania, fungua hiyo link ufanye registration, ukishafungua account then u apply Card yako Mkuu! Kwa usaidizi wowote anytime njoo hapa uulize, ntajitahidi kusaidia kadri ntavyojaaliwa!
 
Nataka kuweka pesa kama card za bank zingine ili niweze kufanya malipo
Mkuu! Payoneer ilianzishwa kwa minajiri ya aina nyingi.
kubwa kwa ajiri ya kuwasaidia watu ambao hufanya biashara Mtandaoni, hivyo kurahisisha malipo mbalimbali kwa njia za mtandao!

Unapo miliki Payoneer account, automatically unakua na online Bank account yako America, toka kwa Bank ya Kimarekani inayoitwa 1st Century Bank, ambao ndo hujulikana Kama Payoneer!

Ukienda account setting kwenye Payoneer Account yako, utaona Bank Account yako, Ni Bank account Kama account yoyote unayoweza kuwa nayo kwenye local bank, so unaweza kuingiza pesa kutokea kwenye account yako Payoneer Kama vile unaweza Ku transfer pesa toka Account moja ya bank kwenda nyingine, ukishaingiza pesa utatumiwa email kukujulisha pesa iloingia!

So unaweza kuendelea Na process za manunuzi!
 
Hivo mkuu naweza kwenda crdb bank na kuweka pesa katika a/c yangu ya payoneer,??
Hapana mkuu!

Payoneer Ina mfumo wa Ki bank wa online unaojitegemea!

Ni sawa na kusema naweza kwenda CRDB na kuweka pesa kwa account yangu ya NMB?

Uzuri wa Payoneer ni online banking, huitaji kwenda na government documents kufungua account.

Ukifungua hiyo link itaku direct kwenye official website Yao, utaji register hapo Kama ulivyofanya jf, then uta apply card yako, ukishapokea Card yako, unai activate then unaendelea kutumia Account yako na Card yako Kama uko na account kwa local bank! Kikubwa Payoneer Iko trusted na Clients duniani kote pia na website kubwa ambazo huuza bidhaa online!
Ni free Mkuu!
 
wp_ss_20170209_0001.png
wp_ss_20170209_0001.png
Payoneer Master card yako itakuwa Kama hivyo, itakua Na jina lako kamili Kama hii inavyoonekana!

Mods naomba mnisaidie Ku edit Na kupachika hii Picha mwisho wa Thread hapo juu!
 
Nilikua nayo card kwa muda mrefu sikuwa nimeitumia,nimekuta iko deactivated,najaribu kufuata maelekezo ya kurestore all functionalities inagoma mkuu
Mbona ni rahisi mkuu! Nenda kwa Payoneer account yako Kui activate tena Card yako!

Inapogoma wanakuletea message gani?
 
Then nime scan bar code na QR code kutoka kwenye card na imenidirect kwenda kwenye link ya myacount.payoneer.com na kurudi kama kawaida bila kuonyesha status ya kuwa activated
 
wp_ss_20170210_0002.png
wp_ss_20170210_0002.png
Mkuu! Hii ni screen shot ambayo inakuelekeza hatua kwa hatua namna ya ku activate card yako!

Kama ikiwa haionekani vizuri, nakuwekea link hapo chini ambayo itaku direct kwenye hiyo page Na utafata maelekezo Na Ku activate card yako bila tatizo.

How Do I Activate My Card?

5d84f95ca27a4542a4021a24dfb23faf.jpg

Inadirect kwenda inbox then ukienda kufungua inbox inaleta hivi

wp_ss_20170210_0001.png

Card yako ikiwa activated watakuletea message inbox ambayo itakua Kama hivyo!

Ukifanikiwa lete mrejesho, pia ukikwama lete mrejesho Ili nikuelekeze uwasiliane na live chat Yao kwa usaidizi wa papo kwa papo!
 
Back
Top Bottom