Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,458
- 8,961
Nina CRDB master card, kujiunga payoneer natakiwa na hii ya CRDB ifanyiwe online activation.!?
Yes, ndiyo hivyo. Local Bank Account ili iweze kufanya any online transaction, ni lazima kwanza ifanyiwe 'activation' yaani 'iwezeshwe'.
So kama una Master/Visa Card, nenda kwenye local bank yako waambie kuwa unataka uwe unafanya online transactions, then card yako watai-activate.
Ikishakuwa tayari activated, sasa hapo upo huru kui-link na PayPal ama Payoneer, n.k ili kufanya online transactions ambazo ni Money Transfer (kutuma/kupokea pesa), Purchase (manunuzi na kulipa).
-Kaveli-