Payoneer ni mbadala halisi wa PayPal!

Payoneer ni mbadala halisi wa PayPal!

Hilo ndo lengo haswa pale walipoanzisha hii huduma.

Mkuu bila shaka ushawahi kuona kwenye website mbalimbali kuwa unaweza kulipia kwa Master card, Visa Card n.k, hivyo ukiwa Na Payoneer account utakua na Master card ya Payoneer, so utaweza kununua chochote mtandaoni Ni sawa na Kama ungekua na Master card ya Local bank.

Pia Seller wengi sasa nao wana Payoneer account, so unaweza kulipa/kununua direct toka kwa Payoneer account yako, kwenda kwa Payoneer account ya Seller.
Ok yangu ipo njiani nomeambiwa ntaipata march sasa dada vua vizuri kama ulivofanya hapo juu siku nikiipata naanze ili niiwekee pesa na itagharimu? Io moja

Mbili nimeona kama wana ada ya mwaka dola 29 kama sikosei, inalipwa lini?
 
Mkuu unajaza nini sehemu ya zip code nimekwama hapo na je kadi yangu watantumia ktk sanduku LA posta ntakalojza au naipokelea WAP?
Tanzania haitumii Zip code Mkuu, so utaacha wazi.

Card inakuja kwa njia ya Posta Mkuu, so lazima ujaze Sanduku lako la barua!
 
Ok yangu ipo njiani nomeambiwa ntaipata march sasa dada vua vizuri kama ulivofanya hapo juu siku nikiipata naanze ili niiwekee pesa na itagharimu? Io moja

Mbili nimeona kama wana ada ya mwaka dola 29 kama sikosei, inalipwa lini?
Hongera! Mkuu mbona maelezo yote yapo hapo juu! Labda kama una swali jipya!
 
Tanzania haitumii Zip code Mkuu, so utaacha wazi.

Card inakuja kwa njia ya Posta Mkuu, so lazima ujaze Sanduku lako la barua!
Zip code Tanzania kwa sasa zipo mkuu jamaa a Google tu atapata hizo code za location yake
 
Sija experience hiyo mkuu, nafahamu Tu kwenye registration form nyingine ukiweka Tanzania Tu, Ile zip code automatically inaondoka Na kubaki Posta Box.

Nafahamu Kuna baadhi ya inchi zinatumia mfumo wa Zip code Kama US, kwa Tanzania nadhani kila mtu angekua anajua Zip Code yake Na wala Si kwenda Google kutafuta zip code yake!
 
Mfumo ni mpya mkuu ila humeshakuwa introduced na kila eneo lina Zip au postal code zake
 
Kitu ambacho hakijafafanuliwa sawa sawa ni namna ya ku deposity pesa

1. Bank yenyewe ni online utabadilishaje fedha zetu za kibongo kuingia kwenye hiyo account?

2. Mimi baada ya ku activate niliishia hapo hapo maana niliona aibu kwenda kwenya benki za kibongo na hiyo card eti nimekuja ku deposity
 
Nami nimepata kadi. Jinsi ya kuingiza pesa ni rahs, unakuwa kama unaomba ulipwe na mtu. Waweza kuwa na kadi yako nyingine hapa tanzania ya mastercard au visa inayokubali malipo online basi unaingiza namba zake ili kulipa kadi mpya.

Pili kuna zile details za akaunti yako, bank 21century nk unaenda bank unajitumia pesa
 
Kuna yeyote amewahi kuilink payoneer akaunti yake na akaunti ya paypal?
 
Asante kwa taarifa nzuri, mimi nimeishaomba tayari swali langu kwako ni je kama nina hela katika paypal naweza kuzihamishia payoneer kwa ajili ya kuzitumia?
 
Mkuu, hii ni online Bank ya Ki Marekani, ina operate kwa mujibu wa sheria za Kibank za US.

Kwenye account yako pesa ikiingia itasoma kwa $, uta deposit kwa T'shillings itasoma kwa $, Kama unataka ku withdraw pesa kwa ATM, Utatoa Shillingi.

Utatoa pesa inayotumika kwenye nchi Uliyopo.
Mfano Upo Bongo leo, ukienda kwa ATM Utatoa Shilling, Kesho ukaenda South Africa utatoa Rand, ni the same Utatoa Pound ukiwa UK na Utatoa $ ukiwa US.

Tena mkuu Kama Una local bank account inayo support Master au Visa uhitaji kwenda Bank, Una transfer pesa tu online, Toka Local bank kwenda Payoneer then unafanya yako.
 
Mkuu! Upo sahihi kabisa.
 
Kuna yeyote amewahi kuilink payoneer akaunti yake na akaunti ya paypal?
Mimi Ndo Nipo katika Michakato huo, ila kwa wateja wengine nchi nyingine, wame link Payoneer na PayPal na zinafanya kazi.
 
Asante kwa taarifa nzuri, mimi nimeishaomba tayari swali langu kwako ni je kama nina hela katika paypal naweza kuzihamishia payoneer kwa ajili ya kuzitumia?
Inabidi ulink account yako ya Payoneer na PayPal, Sasa Coz kulikua na changamoto hapo nyuma kuhusu PayPal ikafanya wengine tusahau kuhusu PayPal na kujiunga na Payoneer.
 
Mkuu! Lengo la Jamaa walioanzisha Payoneer ni kurahisisha malipo kwa Biashara za mtandaoni, kwa maana ya lets say uko Bongo na umeuza Asali Canada, sasa Client anapotaka kukulipa huwa wanachagua njia salama za malipo Ili wasije kupigwa, na hata wakipigwa ni rahisi Wao pesa Yao kurudi coz huduma hizi za kipesa za mtandaoni nyingi zina bima hivyo Wao huwa comfortable kutumia huduma Kama Payoneer au PayPal kufanya malipo!

Kwa lengo tajwa hapo juu, huduma hii inakupa options 2, punde unapolipwa pesa yako unaweza kui withdraw kwenye ATM yoyote inayo support Master card hii ni Worldwide! Means hata ukawa safarini lets say South Africa, unaweza kutoa pesa huko huko Si lazima uwe Bongo!

Nyingine unaweza kutoa pesa kutoka kwenye Payoneer account yako uka transfer kwenda kwa local bank ambapo Una account huko!

Kwa Maelezo hayo Ili kukujibu swala lako, ni rahisi Kama Una local bank account so utaweza Ku transfer pesa kwenda Payoneer then kupitia Payoneer ukafanya manunuzi!
Local banks, karibu zote zinawezesha manunuzi ya mtandaoni. Hivyo ni kuongeza "transaction costs" kupitia bank kwa bank tena kufanya hayo manunuzi.

Kwa mtu anayeuza nje vitu account hiyo itamsaidia kupata malipo haraka.

Swali la msingi sijajibiwa, hiyo $25 kwa kila anayefungua account inarudishwaje? Aliye na account atujulishe usalama wa fedha yake.

Local Banks nao wawezesha kupokea malipo 'online' kwa wateja wao na siyo kulipa tu, ziimarike
 
Yangu haijaja mpaka leo tafadhali mwenye kujua jinsi yaku claim niweze kuipta nili apply tokea mwaka jana mwez wa 12 ila mpaka sasa hivi sijaipata bado
 
Mkuu, hii ni online Bank ya Ki Marekani, ina operate kwa mujibu wa sheria za Kibank za US.

Kwenye account yako pesa ikiingia itasoma kwa $, uta deposit kwa T'shillings itasoma kwa $, Kama unataka ku withdraw pesa kwa ATM, Utatoa Shillingi.

Utatoa pesa inayotumika kwenye nchi Uliyopo.
Mfano Upo Bongo leo, ukienda kwa ATM Utatoa Shilling, Kesho ukaenda South Africa utatoa Rand, ni the same Utatoa Pound ukiwa UK na Utatoa $ ukiwa US.

Tena mkuu Kama Una local bank account inayo support Master au Visa uhitaji kwenda Bank, Una transfer pesa tu online, Toka Local bank kwenda Payoneer then unafanya yako.
Mimi hata namba ya hiyo account ndio nimeshindwa kuielewa mkuu.
 
Yangu haijaja mpaka leo tafadhali mwenye kujua jinsi yaku claim niweze kuipta nili apply tokea mwaka jana mwez wa 12 ila mpaka sasa hivi sijaipata bado
Itakuja matatizo yako upande wako, labda ulikosea kuweka adress yako, ni mara chache Sana wao kukosea, na mara nyingi ukikosea kuwapa address yako, huwa wanakwambia.

Unaweza kuomba upya mkuu Card yako.
 
Local banks, karibu zote zinawezesha manunuzi ya mtandaoni. Hivyo ni kuongeza "transaction costs" kupitia bank kwa bank tena kufanya hayo manunuzi.

Kwa mtu anayeuza nje vitu account hiyo itamsaidia kupata malipo haraka.

Swali la msingi sijajibiwa, hiyo $25 kwa kila anayefungua account inarudishwaje? Aliye na account atujulishe usalama wa fedha yake.

Local Banks nao wawezesha kupokea malipo 'online' kwa wateja wao na siyo kulipa tu, ziimarike
Mkuu kwa Dunia ya leo Sio salama Sana kufanya manunuzi mtandaoni Kutoka kwenye direct account yako yenye let's say ya $200 Hafu account yako ina 20 millions.

Ndo maana Wazungu kwa kuepusha Wizi wa mtandaoni wameanzisha huduma nyingi rafiki Kama Payoneer, Mfano unataka kununua kitu cha $200 Una transfer 450,000 kwa Payoneer account yako then unafanya manunuzi.

Kuliko ungelipa direct 450,000 Toka kwenye account yako ambayo ina salio la 20 millions.

Na mbaya zaidi watanzania hatujajua namna ya kuficha information zetu Kama Wazungu.

$25 ni offer Payoneer wanalipa kwa wateja wapya.
 
Back
Top Bottom