Payoneer ni mbadala halisi wa PayPal!

Payoneer ni mbadala halisi wa PayPal!

Mkuu chilubi , nimepitia website ya Worldremit.com... wapo vizuri. Na kwenye reviews ipo rated poa sana!
Kwa kweli kupokea pesa, worldremit ipo mzuka.

Alafu nieleweshe... SENDER ndiye anayepaswa ku-sign up ili aweze kutuma pesa eeh? RECEIVER yeye does NOT sign-up kwenye site. Nipo sahihi?

-Kaveli-
Nimeshatumia World remit Mara kadhaa pia, nachoipendea World remit wapo fasta mbaya, ndani ya masaa 2 pesa inakua tayari imefika....

Ila ni kwamba kile Payoneer inafanya World remit hawezi kufanya...

Payoneer ni jamii ya Paypal....
World remit ni tofauti, japo utumaji wake wa pesa ni wa online pia! Wako tofauti na Money gram au Western Union.
 
Mkuu kwa Dunia ya leo Sio salama Sana kufanya manunuzi mtandaoni Kutoka kwenye direct account yako yenye let's say ya $200 Hafu account yako ina 20 millions.

Ndo maana Wazungu kwa kuepusha Wizi wa mtandaoni wameanzisha huduma nyingi rafiki Kama Payoneer, Mfano unataka kununua kitu cha $200 Una transfer 450,000 kwa Payoneer account yako then unafanya manunuzi.

Kuliko ungelipa direct 450,000 Toka kwenye account yako ambayo ina salio la 20 millions.

Na mbaya zaidi watanzania hatujajua namna ya kuficha information zetu Kama Wazungu.

$25 ni offer Payoneer wanalipa kwa wateja wapya.
Ila mkuu pia si unaweza ukawa na account/card mbili za local na uka serve the same purpose?
 
Nimeshatumia World remit Mara kadhaa pia, nachoipendea World remit wapo fasta mbaya, ndani ya masaa 2 pesa inakua tayari imefika....

Ila ni kwamba kile Payoneer inafanya World remit hawezi kufanya...

Payoneer ni jamii ya Paypal....
World remit ni tofauti, japo utumaji wake wa pesa ni wa online pia! Wako tofauti na Money gram au Western Union.

Uko sahihi kabisa mkuu Powder. Kama mtu anahitaji kufanya online transactions kwa njia salama, PAYPAL must be a forefront mechanism, paypal ndo mbabe wao kwa ubora wa huduma na security. Inafanya money transfer, na purchase pia.

Ila sasa, PayPal bado ina 'limited service' kwa Tanzania, i.e inaruhusu purchase pekee lakini bado hairuhusu kupokea Payment wala ku-withdraw. Then PAYONEER ndiyo inaonekana kuwa mbadala kwa sasa coz hii yenyewe ipo 'fully enabled' kwa Tanzania and worldwide, i.e mtu anaweza kufanya purchase, pia anaweza kupokea Payment na ku-withdraw bila zengwe yoyote.

Worldremit yenyewe ni kwa ajili ya money transfer tu pekee, i.e kutuma pesa online. Haifanyi purchase.

Nimezipitia hizi sites na sasa naanza kuzielewa vyema. Huko mbeleni endapo nitakuja kuwa mtu wa 'online transactions', nitaweza kufanya chaguo sahihi.

-Kaveli-
 
Mkuu, kwakweli watu wawe makini na hiyo Payoneer. Yes, 90% ya reviews ni NEGATIVE!

Mkuu chilubi ameshare kuhusu Worldremit.com ... nimepitia website yao, naona wako vizuri. Tena wana-link mpaka kwenye Mobile Money (TigoPesa, Mpesa, na EazyPesa) to receive money. Yani unapokea pesa from anywhere in the world directly to your mobile money account bila zengwe, au kwenda kuchukulia Bank (wana-link na Diamond Trust Bank kwa Tanzania) if you opt so. Hawa jamaa nimewakubali. Money Transfer - Send Money Online | WorldRemit

Halafu kwenye Reviews, rating ni superB... WorldRemit is rated "Excellent" with 9.4 / 10 on Trustpilot

-Kaveli-
Kwa iyo nikiwa na acc Equity siwezi link?
 
Kwa iyo nikiwa na acc Equity siwezi link?

Unaulizia PAYONEER ? ama WorldRemit ?

Payoneer... unaweza kulink with any local bank acount. Cha msingi tu ni kwamba hiyo local account yako iwe ina-support Visa/Master Card.

Ku-link inamaanisha ni wakati wa kujisajili (sign up)... lazima uweke hiyo local acount yako inayo-support Master/Visa card. Payoneer inafanya both Money Transfer na Purchase.

Kuhusu WorldRemit, yenyewe ina link na Bank moja tu kwa hapa Tanzania for bank transfer (uwe na account at People's Bank of Zanzibar). Ama kwa ajili ya kuchukua pesa - Cash pickup (kwa agent/wakala wao ambaye ni Diamond Trust Bank).

N.B: Worldremit ni online mechanism kwaajili ya Money Transfer pekee, yaani kutuma pesa tu. Haifanyi purchase.

-Kaveli-
 
Uko sahihi kabisa mkuu Powder. Kama mtu anahitaji kufanya online transactions kwa njia salama, PAYPAL must be a forefront mechanism, paypal ndo mbabe wao kwa ubora wa huduma na security. Inafanya money transfer, na purchase pia.

Ila sasa, PayPal bado ina 'limited service' kwa Tanzania, i.e inaruhusu purchase pekee lakini bado hairuhusu kupokea Payment wala ku-withdraw. Then PAYONEER ndiyo inaonekana kuwa mbadala kwa sasa coz hii yenyewe ipo 'fully enabled' kwa Tanzania and worldwide, i.e mtu anaweza kufanya purchase, pia anaweza kupokea Payment na ku-withdraw bila zengwe yoyote.

Worldremit yenyewe ni kwa ajili ya money transfer tu pekee, i.e kutuma pesa online. Haifanyi purchase.

Nimezipitia hizi sites na sasa naanza kuzielewa vyema. Huko mbeleni endapo nitakuja kuwa mtu wa 'online transactions', nitaweza kufanya chaguo sahihi.

-Kaveli-
Umeeleza vizuri kabisa Mkuu! Upo sahihi kabisa!
 
Kwa iyo nikiwa na acc Equity siwezi link?
Unataka Ku link kwa focus ipi? World remit hawafanyi Purchases
Unaulizia PAYONEER ? ama WorldRemit ?

Payoneer... unaweza kulink with any local bank acount. Cha msingi tu ni kwamba hiyo local account yako iwe ina-support Visa/Master Card.

Ku-link inamaanisha ni wakati wa kujisajili (sign up)... lazima uweke hiyo local acount yako inayo-support Master/Visa card. Payoneer inafanya both Money Transfer na Purchase.

Kuhusu WorldRemit, yenyewe ina link na Bank moja tu kwa hapa Tanzania for bank transfer (uwe na account at People's Bank of Zanzibar). Ama kwa ajili ya kuchukua pesa - Cash pickup (kwa agent/wakala wao ambaye ni Diamond Trust Bank).

N.B: Worldremit ni online mechanism kwaajili ya Money Transfer pekee, yaani kutuma pesa tu. Haifanyi purchase.

-Kaveli-
You are right 200%

Nadhani watu wanatakiwa kujua focus yao ni nini kwanza kabla ya kuchagua Njia ya kufata...watu wengi hawajajua hasa wanataka nini.....
 
Natumai unaulizia kuhusu Worldremit. Not Payoneer.

1. Kama mtakubaliana akutumie kwenye Bank Transfer yaani pesa iingie kwenye local bank account yako (at People's Bank of Zanzibar), ama akutumie kwenye Cash Pickup (yaani ukachukue pesa kwa worldremit agent/wakala ambaye ni Diamond Trust Bank), basi the maximum amount to send ni Tsh 7,000,000 (Million saba) per transfer/transaction.

2. Kama mtakubaliana akutumie kwenye Mobile Money Transfer (yaani pesa iingie kwenye TigoPesa ama M-Pesa ama EazyPesa), basi the maximum amount to send ni Tsh 3,000,000 (Million tatu) per transaction.

Hiyo ndiyo MAXIMUM AMOUNT ya kutuma kwa kila transaction , it means kwamba kwa siku anaweza akatuma transactions nyingi awezavyo.

Kujibu swali lako... ''what is the Maximum Amount to Withdraw kwa siku?'' :

Sasa hapa it depends ni njia gani uliyochagua upokelee pesa, kati ya hizo njia mbili hapo juu. Mfano kama unapokea pesa kwenye Bank, nadhani utaweza ku-withdraw hata Million Saba yote at once kwenye bank teller. Kama unapokea pesa kwenye Mobile Money (TigoPesa, M-Pesa, EazyPesa) pia utaweza ku-withdraw pesa nyingi as you want coz ni kwenda tu kwenye banda la tigopesa unavuta mpunga.

N.B: For the case of TigoPesa, there is a monthly limit of TZS 90,000,000 (Million Tisini).
TigoPesa also has a maximum balance of TZS 5,000,000 (Million Tano) that one of their customers can have at any one time.

Nadhania maelezo yangu yametosheleza swali lako. Otherwise mkuu chilubi anaweza kupolish zaidi kutokana na uzoefu wake kwenye worldremit money transfer.

-Kaveli-
Ahsante Sana mkuu, ubarikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka Ku link kwa focus ipi? World remit hawafanyi Purchases

You are right 200%

Nadhani watu wanatakiwa kujua focus yao ni nini kwanza kabla ya kuchagua Njia ya kufata...watu wengi hawajajua hasa wanataka nini.....
Nataka kulink ili hela ikatwe nitakapokua na purchase vitu.
 
Kama unataka Ku link basi unaweza kufanya Purchase kupitia Payoneer.

Ila World remit hawafanyi Purchase!
Ndio nataka kutumia pioneer, je na link baada ya kupata kadi au wakati wa ku-register pioneer?
 
Nina CRDB master card, kujiunga payoneer natakiwa na hii ya CRDB ifanyiwe online activation.!?
 
Mkuu Powder nisaidie hapa
upload_2017-9-8_12-6-31.png
 
Mkuu hiyo unaipata katika hatua ipi hasa?
Ingekua vizuri kama ungesema ulikua unafanya moja mbili then ukakutana na moja mbili..

By the way operating system ya Payoneer ni ya Ki Bank ya US, na US wanatumia Routing number na sio Swift Code!

Ulikua una link Payoneer na Local account? Kama ndiyo basi inabidi uende kwa local Bank yako na uwaombe wakupe Swift Code number!
 
Back
Top Bottom