Mkuu! Payoneer ilianzishwa kwa minajiri ya aina nyingi.
kubwa kwa ajiri ya kuwasaidia watu ambao hufanya biashara Mtandaoni, hivyo kurahisisha malipo mbalimbali kwa njia za mtandao!
Unapo miliki Payoneer account, automatically unakua na online Bank account yako America, toka kwa Bank ya Kimarekani inayoitwa 1st Century Bank, ambao ndo hujulikana Kama Payoneer!
Ukienda account setting kwenye Payoneer Account yako, utaona Bank Account yako, Ni Bank account Kama account yoyote unayoweza kuwa nayo kwenye local bank, so unaweza kuingiza pesa kutokea kwenye account yako Payoneer Kama vile unaweza Ku transfer pesa toka Account moja ya bank kwenda nyingine, ukishaingiza pesa utatumiwa email kukujulisha pesa iloingia!
So unaweza kuendelea Na process za manunuzi!