Payoneer ni mbadala halisi wa PayPal!

Payoneer ni mbadala halisi wa PayPal!

Kipi kinakupa shida Mkuu?
Ulisha apply card?
1. Kadi ninayo

2. Nilikwisha activate

3. Nimeshindwa kuijaza hela

4.Nimehindwa kujua account namba ya kadi yangu ili hata niweza ku transfer kupitia local account yangu

5. Katika kuitafuta account number nime log in kwenye account yangu nikafungua sehemu ya setting na kushoto kuna customer ID ikifuatiwa na pre paid card ina ma xxxx ikifuatiwa na namba digital 4 sasa ni ipi account number hapo?
 
Mkuu kwa Dunia ya leo Sio salama Sana kufanya manunuzi mtandaoni Kutoka kwenye direct account yako yenye let's say ya $200 Hafu account yako ina 20 millions.

Ndo maana Wazungu kwa kuepusha Wizi wa mtandaoni wameanzisha huduma nyingi rafiki Kama Payoneer, Mfano unataka kununua kitu cha $200 Una transfer 450,000 kwa Payoneer account yako then unafanya manunuzi.

Kuliko ungelipa direct 450,000 Toka kwenye account yako ambayo ina salio la 20 millions.

Na mbaya zaidi watanzania hatujajua namna ya kuficha information zetu Kama Wazungu.

$25 ni offer Payoneer wanalipa kwa wateja wapya.
Mkuu msaada kwenye kujaza form ili ni log in pale kwenye date of birth wamenambia niandike Latin character
Birth date yangu ni 9 June 1993
Msaada
 
1. Kadi ninayo

2. Nilikwisha activate

3. Nimeshindwa kuijaza hela

4.Nimehindwa kujua account namba ya kadi yangu ili hata niweza ku transfer kupitia local account yangu

5. Katika kuitafuta account number nime log in kwenye account yangu nikafungua sehemu ya setting na kushoto kuna customer ID ikifuatiwa na pre paid card ina ma xxxx ikifuatiwa na namba digital 4 sasa ni ipi account number hapo?
Mkuu! Nenda kwenye account yako ya Payoneer, ukisha log in, Nenda MY ACCOUNT, hapo utakuta BANK NAME, ACCOUNT NUMBER NA ROUTING NUMBER na information zozote unazohitaji.

Njia rahisi ya kuweka pesa kwenye Account yako ya Payoneer, nikujitumia Payment request kwenye email yako, kupitia Payoneer account yako Unaweza kufanya HIVYO, then Payoneer watakutumia Official email juu ya Payment request, na unaweza kufanya kazi hii online bila kwenda Bank, uka feed info zako na ukalipa, ukilipa Payoneer watakutumia official email kukujulisha kuna kiasi flani cha pesa kimeingia kwenye account, watakupa 24 hrs ili wa confirm, within 24 hrs watakutumia email kuwa ni rasmi sasa Una kiasi kadhaa kwa account yako, na ukienda kwa Payoneer account yako utakuta message yenye kiwango cha pesa na ilipotoka.

ANGALIZO.
kwenye ATM yako ya Payoneer Master Card ina Bank account yako, haina tofauti na ATM card zingine ambazo ni Local.

Hakikisha unahifadhi vizuri Master Card yako, Hakikisha email yako yenye taarifa zako inakua more secure, mtu akijua email yako, majina yako, account number yako, anaweza kufanya yake hata akiwa China.

Ukiwa free, log in Payoneer jifunze vitu tofauti nenda customer care, majibu yote yapo pale, kuna live catting na Wataalam wa Payoneer, Kama una sesintive case Nenda live chatting waulize na watakusaidia, hatua ulofikia Si ya mtu anayeuliza namna ya kuagiza Card, So be carefully.

Ni rahisi tu kutumia Kama utapenda kujua kila kilichomo kwenye Payoneer kina maana gani.
 
Mkuu msaada kwenye kujaza form ili ni log in pale kwenye date of birth wamenambia niandike Latin character
Birth date yangu ni 9 June 1993
Msaada
Unazungumzia registration form ya Payoneer account!?
 
Habari Wakuu!
Binafsi ni mtu ambaye niliathiliwa na kutokubaliwa kwa PayPal Tanzania, kwa wale wenzangu na Mimi ambao tumekua tukiuza kazi zetu online, watakubaliana nami kuwa Clients wengi wanajisikia salama wakilipa kwa PayPal, Clients wengi hawataki kusikia Western Union, Moneygrams na hata Bank Transfer.

Ilipelekea wengi kupata shida namna kupokea malipo Yao, hapa jf Kuna thread kadhaa za members wakitoa malalamiko Yao.

Kwa wale wote waliokua wanakwazwa na kutokuwepo PayPal, sasa wanaweza kutumia Payoneer Master Card, uta apply Card yako toka America na ndani ya week 2 au 3 utatumiwa Master card ya Payoneer ambayo itakuwezesha Ku withdraw pesa yako kwenye ATM yoyote inayo support Master card Worldwide, pia unaweza Kuhamisha pesa yako toka Payoneer kwenda kwenye account yako ya bank!

Binafsi Mimi ndo naitumia, mpaka sasa nimesha withdraw pesa zaidi ya Mara 3.

Nakuwekea link hapo chini, huduma zote ikiwemo Card ni bure.

Una swali au chochote Karibu.

https://share.payoneer.com/nav/1IYl...XyTobBfQIlfYwJKEZGoAAd7S9xVGy2c5HvirbrcC8syA2
mimi nina maswali mengi na pia nataka kuregister nakupataje? dm me namba yako mkuu
 
mimi nina maswali mengi na pia nataka kuregister nakupataje? dm me namba yako mkuu
Mkuu, unaweza kuuliza chochote, kama hauko comfortable hapa njoo inbox.
 
Inawezekana kujaza fedha toka crdb akaunti kwenda payoneer..akaunti ya crdb pia nina mastercard
 
Leo ndio napokea hii card yangu ya payoneer. ...nilidhani uongo. Nijulisheni faida na hasara zake, pamoja na matumizi yako.
Et pale kweny address uliweka P.o box ..... Au ? Afu pale kweny zip or postal ulieka nini pia.
 
Hii kitu vipi. Iko poa? Bado inatumika?

-Kaveli-
Mimi mpaka sasa ndo njia yangu ya malipo, ninaitumia mwaka sasa. ..
Kuhusu hizo review inategemeana na aina ya mtu, wizi mwingi wa Kimataifa unaanzia kwenye email account yako, kama huwezi kuweka email account yako safe ni rahisi kuibiwa...

Watu wanajielewa wanatumia hizi online Banking kama njia salama ya Transfer pesa tu, yani kapiga mishe, pesa imeingia anaitoa na kuitupia kwa Local bank account yake, ama anataka kununua kitu anaweka pesa ananunua..

Taarifa za ki bank za Payoneer ni very sensitive kama zilivyo za Local Bank, kama una account Local bank watakwambia usiweke pamoja Card yako na password yako, na hao pia wanaku alert namna hiyo.

Changamoto ya Payoneer ni Customer Support yao, iko busy mbaya, wana njia 3, Messaging, Live chatting na email, ukiingia live chatting utakuta foleni itabidi usubiri, na uzuri unaona namba zinavyo count down mpaka zamu yako, hii ndo changamoto yao kubwa..

Mimi mpaka Jana tu nimemtumia Request Client mpya anitumie pesa kwa Payoneer, sijawahi kuibiwa toka nimeanza mpaka sasa...

All in all kuibiwa Payoneer ni uzembe wa mtumiaji mwenyewe!
 
Thanks mkuu kwa ufafanuzi murua.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom