Shurani.ili nisikosee tena ile shm ya address najazaje?kwani zipo mbili.physical na addional address pale pa physical nilikuwa nikijaza na SLP inakataa wanasema zimekua zaidi ya ten charactersApply upya mkuu, Mimi baada ya week 2 Card ilikua Bongo tayari!
Mkuu hiyo SLP ni kifupi cha Sanduku la barua, na form ni ya Kiingereza, so badala SLP weka Po Box then number....Shurani.ili nisikosee tena ile shm ya address najazaje?kwani zipo mbili.physical na addional address pale pa physical nilikuwa nikijaza na SLP inakataa wanasema zimekua zaidi ya ten characters
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu! Lazima ujue utofauti Postal address na Resident address ama Site zingine hutumia Street Address...
🙂🙂🙂 mkuu andika P.O BOX badala ya S.L.P{sanduku la posta}Shurani.ili nisikosee tena ile shm ya address najazaje?kwani zipo mbili.physical na addional address pale pa physical nilikuwa nikijaza na SLP inakataa wanasema zimekua zaidi ya ten characters
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina swali. Sasa hivi tunasubiria kuelimika kuhusu currency traHabari Wakuu!
Binafsi ni mtu ambaye niliathiliwa na kutokubaliwa kwa PayPal Tanzania, kwa wale wenzangu na Mimi ambao tumekua tukiuza kazi zetu online, watakubaliana nami kuwa Clients wengi wanajisikia salama wakilipa kwa PayPal, Clients wengi hawataki kusikia Western Union, Moneygrams na hata Bank Transfer.
Ilipelekea wengi kupata shida namna kupokea malipo Yao, hapa jf Kuna thread kadhaa za members wakitoa malalamiko Yao.
Kwa wale wote waliokua wanakwazwa na kutokuwepo PayPal, sasa wanaweza kutumia Payoneer Master Card, uta apply Card yako toka America na ndani ya week 2 au 3 utatumiwa Master card ya Payoneer ambayo itakuwezesha Ku withdraw pesa yako kwenye ATM yoyote inayo support Master card Worldwide, pia unaweza Kuhamisha pesa yako toka Payoneer kwenda kwenye account yako ya bank!
Binafsi Mimi ndo naitumia, mpaka sasa nimesha withdraw pesa zaidi ya Mara 3.
Nakuwekea link hapo chini, huduma zote ikiwemo Card ni bure.
Una swali au chochote Karibu.
https://share.payoneer.com/nav/1IYl...XyTobBfQIlfYwJKEZGoAAd7S9xVGy2c5HvirbrcC8syA2
Nina swali. Sasa hivi runasubiri kuelimika kuhusu currency trading. Tukifanikiwa ni wazi tutaanza nasi kuuza na kununua hela mtandaini, mwisho wa siku nasi kudraw faida. Sasa hapo kudraw ndio changamoto maana tumeambiwa kwa nchi zetu bado ni tatizo na hawataki tujue kuhusu forex. Sasa nauliza kama kwa njia hii tutaweza kuitumia kuchukulia fedha zetu toka kwa brokers kupitia payoneer bila kupitia benki zetu? Nadhani kwa hustle zako utakuwa unajua chichote kuhusu forexHabari Wakuu!
Binafsi ni mtu ambaye niliathiliwa na kutokubaliwa kwa PayPal Tanzania, kwa wale wenzangu na Mimi ambao tumekua tukiuza kazi zetu online, watakubaliana nami kuwa Clients wengi wanajisikia salama wakilipa kwa PayPal, Clients wengi hawataki kusikia Western Union, Moneygrams na hata Bank Transfer.
Ilipelekea wengi kupata shida namna kupokea malipo Yao, hapa jf Kuna thread kadhaa za members wakitoa malalamiko Yao.
Kwa wale wote waliokua wanakwazwa na kutokuwepo PayPal, sasa wanaweza kutumia Payoneer Master Card, uta apply Card yako toka America na ndani ya week 2 au 3 utatumiwa Master card ya Payoneer ambayo itakuwezesha Ku withdraw pesa yako kwenye ATM yoyote inayo support Master card Worldwide, pia unaweza Kuhamisha pesa yako toka Payoneer kwenda kwenye account yako ya bank!
Binafsi Mimi ndo naitumia, mpaka sasa nimesha withdraw pesa zaidi ya Mara 3.
Nakuwekea link hapo chini, huduma zote ikiwemo Card ni bure.
Una swali au chochote Karibu.
https://share.payoneer.com/nav/1IYl...XyTobBfQIlfYwJKEZGoAAd7S9xVGy2c5HvirbrcC8syA2
Ata sijui kwanini bado wameachiwa kufanya hio biashara....Mkuu, nimepitia Payoneer Reviews kwenye hizo links... mmmh hii kitu ni kimeooooo!!!
Wanaiba hela za watu.
-Kaveli-
Ata sijui kwanini bado wameachiwa kufanya hio biashara....
Mi natumia paypal, kama mtu anataka kuntumia hela natumiwa via worldremit.
Sijaona mbadal wa paypal, hawa jamaa wapo vizuri, wanashughulikia malamiko vizuri. Ila wanatabu kuwapata kimawasiliano, mpaka nimegoogle namba yao lakini wapo vizuri.
Aisee ila 90% ya reviews ni Negative response, so be aware guys n do it at ur own risk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ata sijui kwanini bado wameachiwa kufanya hio biashara....
Mi natumia paypal, kama mtu anataka kuntumia hela natumiwa via worldremit.
Sijaona mbadal wa paypal, hawa jamaa wapo vizuri, wanashughulikia malamiko vizuri. Ila wanatabu kuwapata kimawasiliano, mpaka nimegoogle namba yao lakini wapo vizuri.
Yaah nimewachek hawa atleast wako vizuri, ila hao payoneer hapana asee!Mkuu, kwakweli watu wawe makini na hiyo Payoneer. Yes, 90% ya reviews ni NEGATIVE!
Mkuu chilubi ameshare kuhusu Worldremit.com ... nimepitia website yao, naona wako vizuri. Tena wana-link mpaka kwenye Mobile Money (TigoPesa, Mpesa, na EazyPesa) to receive money. Yani unapokea pesa from anywhere in the world directly to your mobile money account bila zengwe, au kwenda kuchukulia Bank (wana-link na Diamond Trust Bank kwa Tanzania) if you opt so. Hawa jamaa nimewakubali. Money Transfer - Send Money Online | WorldRemit
Halafu kwenye Reviews, rating ni superB... WorldRemit is rated "Excellent" with 9.4 / 10 on Trustpilot
-Kaveli-
Naombeni msaada kidogo eti hiyo worldremit inahusika na kutumaa pekee au hata kupokea?Mkuu chilubi , nimepitia website ya Worldremit.com... wapo vizuri. Na kwenye reviews ipo rated poa sana!
Kwa kweli kupokea pesa, worldremit ipo mzuka.
Alafu nieleweshe... SENDER ndiye anayepaswa ku-sign up ili aweze kutuma pesa eeh? RECEIVER yeye does NOT sign-up kwenye site. Nipo sahihi?
-Kaveli-
Naombeni msaada kidogo eti hiyo worldremit inahusika na kutumaa pekee au hata kupokea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Reputatiom ya PayPal hainipi kuwa na wasiwasi. Na refunds nimeshapokea mara kadhaa na zinarudi kwenye local account (Stanbic) bila tatizo lolote.Ata sijui kwanini bado wameachiwa kufanya hio biashara....
Mi natumia paypal, kama mtu anataka kuntumia hela natumiwa via worldremit.
Sijaona mbadal wa paypal, hawa jamaa wapo vizuri, wanashughulikia malamiko vizuri. Ila wanatabu kuwapata kimawasiliano, mpaka nimegoogle namba yao lakini wapo vizuri.
Inazungumziwa Payooner mkuu, Paypal haina doubts asee iko Poa sana, sema apo refund kurejea direct kwa Acc ya bank Labda via stanibic ila sijajaribu ila CRDB ni zengwe mpaka uhangaike kuifatiliaReputatiom ya PayPal hainipi kuwa na wasiwasi. Na refunds nimeshapokea mara kadhaa na zinarudi kwenye local account (Stanbic) bila tatizo lolote.
Changamoto inaweza kuwa kwa baadhi ya benki ambazo hazina ease of acces kuruhusu imtegration ya PayPal.
Safe and reputable.
Sent using Jamii Forums mobile app