Pay stubs za mshahara wa Rais

Pay stubs za mshahara wa Rais

Uwazi na Uwajibikaji (Transparency and Accountability) bado ni tatizo kwa Tanzania na nchi zetu za Africa, wakati ukweli unabaki palepale kuwa nchi zinazoendeshwa kwa Uwazi na Uwajibikaji zinafanya vizuri kiuchumi na wananchi wao wana maendeleo kuliko nchi zisizoweka vipaumbele kwenye maeneo hayo.
Wamarekani wanaujua mshahara wa Obama?
 
Alichofanya Nyani Ngabu ni kukumbushia tu ahadi iliyotolewa itekelezwe, sioni ubaya wowote kwa ukumbusho huu.
 
mkuu watanzania waoga sana. wanaogopa kuuliza "pay stubs" kwa hofu ya kufukuzwa kazi au kufungwa@ngabu.
 
mwanaume kushtaki wanaume wenzio ktk media kisa mishahara ya wanaume wenzio ni kukosa kujiamini na atapunguza kwa kigezo kipi ikiwa tayari watu washasainishana barua za mikataba ya ongezeko la mishahara akipunguza kibabe lazima sheria ichukue mkondo wake hadi muda huu hana pa kuanzia ni kosa kuingilia mshahara wa mtu au kuuchezea fuatilia kwa umakini ule mchoro wa january makamba nyani anavyopata tabu kurukaruka ktk matawi ya mti kuna watu chini wanamungalia tu na drama zake utapata jibu ..........

Usisahau kuwa alishtaki kwako pia, au na wewe ni mwanamme?
 
Rais Magufuli, wakati akiwa mapumzikoni huko Chato, iliripotiwa akinukuliwa kuwa akirudi Dar atatoa pay stubs za mshahara wake ili Watanzania anaowatumikia waujue.

Mpaka kufikia sasa, licha ya yeye kurudi Dar kwa zaidi ya wiki mbili sasa (niko tayari kusahihishwa maana siikumbuki vizuri tarehe aliyorudi), sijasikia wala kuona popote pale ambapo hivyo vitu alivyoahidi kuvitoa, kuwa kavitoa.

Naona hata watu walio wengi washasahau tena maana suala lenyewe hata halijadiliwi tena. Ni kama vile lishasahaulika....limekuwa upepo uliokwishapita.

Mimi hili suala siwezi kulisahau na msimamo wangu bado uko palepale. Watanzania walipa kodi wana haki ya msingi kabisa ya kujua pesa zao zinatumikaje.

Kwenye matumizi ya pesa za walipa kodi uwazi ni jambo la lazima.

Nasubiri kuziona hizo pay stubs za mshahara wa rais na asiishie hapo tu. Atuambie malipo yake yote yanayogharamiwa na walipa kodi.

Naamini yeye akifanya hivyo basi hata viongozi wengine wa umma nao wataufuata mfano wake.


nasikia jana alikuwa crdb yawezekana ni kwa suala hili


just jocking😉😉😉😉😉😉😉
 
sikujua hata huko marekani kuna siasa za kuombana salary slip.
 
Eti alisema akifika dsm akumbushwe awaoneshe pay slip yake. Huenda bado hajarudi DSM. Au kama karudi tuwaombe aliowapigia simu kumkumbusha.
 
Tafuteni kazi ya kufanya mshahara wa rais mshaujua kama unataka salary slip nenda ikulu ukaulizie.

Acheni mambo ya kike kufatilia mambo ya watu.. Nyummbu wakubwa!
Wengine sie ni Punda. Ila nyumbu ni wewe na kizazi chako chote.
 
Magufuli ni mtu wa 'stunts'...

Mara kapiga simu kwenye TV..

mara apige simu tena ataleta pay slip

mara aende bank mwenyewe.....mradi kila siku ana 'new stunts'....

kila siku yupo kwenye headline...asipofukuza huyu kaibukia huku....


Nilimshupalia ataje na mali na madeni yake na akitoka afanye hivyo.

Pia aanzishe mchakato wa mabadiliko ya sheria ya Sekretarieti ya maadili ya umma maana kikubwa kurejesha rasimu ya wananchi haendi bila shinikizo kali
 
Magufuli ni mtu wa 'stunts'...

Mara kapiga simu kwenye TV..

mara apige simu tena ataleta pay slip

mara aende bank mwenyewe.....mradi kila siku ana 'new stunts'....

kila siku yupo kwenye headline...asipofukuza huyu kaibukia huku....

hahahahahahahaha
 
Back
Top Bottom