Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,151
- 137,140
- Thread starter
- #41
Sasa hivi muhimu kwenu ni nini? Salary slip ya Rais au Lugumi?
Kwangu uwazi na uwajibikaji ndo yaliyo muhimu kuhusu viongozi wa umma.
Sasa hivi muhimu kwenu ni nini? Salary slip ya Rais au Lugumi?
Hukushukuru na kurdhika aliposema mshahara wake uliouhitaji kuujua bali ulitaka na posho, baadaye utataka ujue anazitumiaje.
Hakuna haja ya kuendelea kuwajibu watu wenye akili ya kusukumwa. Kwanini maswali yamekuwa yakiongezeka kila anapotoa jibu ikiwa na maana muuliza maswali anasubiri aambiwe cha kuuliza.
Fuatilia vizuri mkuu labda ww ndo umesahau..Haikuwa April fools naona umesahau mkuu
Chief The Boss, Hivi ni jinai kwa JPM kama binadamu kujitimizia mahitaji yake ya kimsingi mwenyewe?Magufuli ni mtu wa 'stunts'...
Mara kapiga simu kwenye TV..
mara apige simu tena ataleta pay slip
mara aende bank mwenyewe.....mradi kila siku ana 'new stunts'....
kila siku yupo kwenye headline...asipofukuza huyu kaibukia huku....
fikiria hivyo hivyo...jpm alishasema hamna atakaechomoka, unahisi kasahau...ngoaj utapewa updates. mwizi anakimbizwa kimya kimya...Rais Magufuli, wakati akiwa mapumzikoni huko Chato, iliripotiwa akinukuliwa kuwa akirudi Dar atatoa pay stubs za mshahara wake ili Watanzania anaowatumikia waujue.
Mpaka kufikia sasa, licha ya yeye kurudi Dar kwa zaidi ya wiki mbili sasa (niko tayari kusahihishwa maana siikumbuki vizuri tarehe aliyorudi), sijasikia wala kuona popote pale ambapo hivyo vitu alivyoahidi kuvitoa, kuwa kavitoa.
Naona hata watu walio wengi washasahau tena maana suala lenyewe hata halijadiliwi tena. Ni kama vile lishasahaulika....limekuwa upepo uliokwishapita.
Mimi hili suala siwezi kulisahau na msimamo wangu bado uko palepale. Watanzania walipa kodi wana haki ya msingi kabisa ya kujua pesa zao zinatumikaje.
Kwenye matumizi ya pesa za walipa kodi uwazi ni jambo la lazima.
Nasubiri kuziona hizo pay stubs za mshahara wa rais na asiishie hapo tu. Atuambie malipo yake yote yanayogharamiwa na walipa kodi.
Naamini yeye akifanya hivyo basi hata viongozi wengine wa umma nao wataufuata mfano wake.
fikiria hivyo hivyo...jpm alishasema hamna atakaechomoka, unahisi kasahau...ngoaj utapewa updates. mwizi anakimbizwa kimya kimya...
Rais wa nchi LAZIMA aonyeshe anapata net pay bei gani na anakatwa kodi bei gani!Nchi nyingi duniani viongozi wake hufanya hivi!By the way si alihaidi atatoa akifika tu Dar?Hivi mshahara wa Rais unawasaidia nini?
Onesheni mfano kwa kuweka wazi pay slips zenu kama si muhali.
Mwanamme kushikilia kuona pay slip ya mwanamme mwenzio ni majanga!
Hujiamini?
Sasa hivi muhimu kwenu ni nini? Salary slip ya Rais au Lugumi?
Yy mwenyewe anavuta pesa ndefu sana,tena afadhali hao akina Msechu wanakatwa PAYE,yy hakatwi hata sentikwani yeye wale wanaolipwa 40 millions zinamsaidia nini? aoneshe na yeye salary slip yake ili tujue kweli kakomaa na wavuta pesa ndefu.
Yy mwenyewe anavuta pesa ndefu sana,tena afadhali hao akina Msechu wanakatwa PAYE,yy hakatwi hata senti
Anavuta mpunga mrefu huyu kama net pay
Wewe unaweza kipi?Hicho ndicho unachokiweza!
Wewe unaweza kipi?
Mwanamme kushikilia kuona pay slip ya mwanamme mwenzio ni majanga!
Hujiamini?
pia kumbuka mwanaume kulilia mishahara ya wanaume wenzake kuwa ni mikubwa nako ni kukosa kujiamini usisahahu hilo.
Sawa. Ndiyo sababu serikali yote ipo kwenye daraja ambalo lina uzito kuliko Bunge ambalo wengine wataanza kutoka nje!Vyote vina umuhimu, japo uzito unatofautiana.
Pia kumbuka, mwanamme kusema kuwa ataipunguza hiyo mishahara mikubwa ni kujiamini.