Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

hapo ndio balaa lakini ukiwana maarifa na msikivu lazima utajilinda na COVID-19, Najua inawezekana Sana msiwe na hofu, mwanafunzi wa chuo atatumia ukubwa na maarifa yake kujilinda, MUNGU IBARIKI Tanzania, Ameeen
 
Mkuu kama wewe hujaugua shukuru Mungu,ni ajabu unataka kusikia wengine wameugua kadhaa.chunga usije kuwa mmona wao maana huna kinga yoyote.

watu hawana maambukizi kama vile ambavyo wewe huna.
Dah
Mkuu jamaa asipokuelewa basi tena
 
Kujua takwimu sio ndio kuishinda Corona bali ni kifuata taratibu na maelekezo ya serikali ili kuepukana na Corona.

Hivi takwimu hujui kama zinaleta hofu pia Mana watu watazidi kuogopa na kushindwa kuendesha shughuli za maendeleo ya familia na taifa,Mungu ibariki Tanzania
 
Ni kweli mana bila ya Mungu tusingeweza chochote, Mungu kasikia kilio chetu, kwa imani ya kila mtu tushukuru kwa aliyotufanyia Mungu
 
Back
Top Bottom