Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

Hapo hakuna case..... sasa matumizi mabaya ya madaraka ndio case gani hiyo? nani ana mshitaki Makonda? kama case ni matumizi mabaya ya madaraka basi hakuna case hapo.
 
Akifka mahakaman na kuitwa kwa jina la Paul Makonda yeye aseme tu mimi naitwa Albet Bashite case closed
Huyo baba na mama mzazi mbona hawamjui Paul Makonda kwenye familia yao, hawamhusu. Mama mzazi aliwahi kusema kwenye runinga wanaona picha ya mtoto wao lakini jina si la mtoto wao! Mtoto wao akasema anaitwa Daudi Bashite, sasa atakayefikishwa mahakamani ni nani kati ya hawa wawili?
 
Wakia wanapeleka mahabusu wampge chuma ya kiuno apotee, then rpc aite press kuwa alitaka kutoroka, ktk harakati za kumdhbt wakampa shaba ya mguu na kwenda kufia mwananyamala.

Bashite hafai.
Matumizi mabaya ya ofisi ingredients Ni zipi?
1.
 
View attachment 2024674Mtoto wa mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita ya Kagera aitwaye Paul Makonda kupandishwa kizimbani tarehe 3 December

Baba Keegan huu ni wakati wake sahihi wa kujionea marafiki zake wa ukweli. Je, wasanii watakuwepo? Wasafi je? Babu Tale? Mkubwa Fella?

Le Mutuz Mobimba nyenyenyeeeeeee atakuwepo jamani? dah aiseeee
Na apande tuu...
 
Kuna msemo wa lugha ya Kiswahili wenye maneno, "Ukikaa karibu na waridi na wewe hunukia waridi".

Lakini kwa kujiongeza zaidi, kinyume cha msemo, ukiondoa neno "waridi" na kuweka kitu chenye kutoa harufu yenye kunuka, maana yake hubakia ileile.

Kwa utawala uliopita, alikaa karibu sana na waridi na akanukia hilo, ijapokuwa alikuwa akitenda ubaya ili kumfurahisha bosi wake. Sasa waridi lake halipo tena, yupo mikononi mwa wabaya wake na wengine wengi aliowahi kuwaumiza.

Atavuna alichopanda, kama ana mtu mzito aliyekaribu na familia ya Msoga ni wakati muhimu kwake wa kutafuta upatanisho.
 
Hilo gazeti lipo serious kweli? Kuna magazeti huwa siyaamini mojawapo hilo Raia Mwema...
Raia mwema limeuzwa kama Jenerali alivyoiza Rai na Habari corporation?

Ni lazima kuwajuwa kwanza wamiliki na wahariri wa haya magazeti yetu then hayawezi kukusumbuwa akili.

Kulikuwaga na Jambo leo la kina Juma Pinto la kuwalamba miguu serikari ya JK na Tanzanite la mgonjwa wa akili Musiba la kumsujudu na kumuabudu shetani wa Chato.

Kwahiyo cha msingi ni lazima ujuwe currently hilo gazeti je bado linamilikiwa na Jenerali Ulimwengu kwa 100%? Na je mhariri mkuu ni nani? Ndipo utapata majibu sahihi na kujiridhisha credibility ya gazeti husika.
 
Kuna msemo wa lugha ya Kiswahili wenye maneno, "Ukikaa karibu na waridi na wewe hunukia waridi".

Lakini kwa kujiongeza zaidi, kinyume cha msemo, ukiondoa neno "waridi" na kuweka kitu chenye kutoa harufu yenye kunuka, maana yake hubakia ileile.

Kwa utawala uliopita, alikaa karibu sana na waridi na akanukia hilo, ijapokuwa alikuwa akitenda ubaya ili kumfurahisha bosi wake. Sasa waridi lake halipo tena, yupo mikononi mwa wabaya wake na wengine wengi aliowahi kuwaumiza.

Atavuna alichopanda, kama ana mtu mzito aliyekaribu na familia ya Msoga ni wakati muhimu kwake wa kutafuta upatanisho.
Mbona Riziwani Kikwete ndio alikuwa mtu wake wa karibu?

Kitendo cha kumuorodhesha Riziwani kwenye orodha ya wauza unga huyu mjinga kamwe hawawezi kumsamehe, tena asubiri ile nongwa ya kiswahili haswa.
 
Hebu fafanua hiyo "tungo tata"----- Ni huyo mwanajeshi mstaafu ndiye anaitwa Daud Albert Bashite au huyo mtoto wa huyo mwanajeshi ndiye anaitwa Daud Albert Bashite!?
MODS wame edit..baba ayake alipigana vita vya kagera anaitwa albert bashite mtoto anaitwa daud
 
Mbona Riziwani Kikwete ndio alikuwa mtu wake wa karibu?

Kitendo cha kumuorodhesha Riziwani kwenye orodha ya wauza unga huyu mjinga kamwe hawawezi kumsamehe, tena asubiri ile nongwa ya kiswahili haswa.
Ni lazima akumbuke yale ya Babu Seya.
 
Huyo baba na mama mzazi mbona hawamjui Paul Makonda kwenye familia yao, hawamhusu. Mama mzazi aliwahi kusema kwenye runinga wanaona picha ya mtoto wao lakini jina si la mtoto wao! Mtoto wao akasema anaitwa Daudi Bashite, sasa atakayefikishwa mahakamani ni nani kati ya hawa wawili?
Aliyekuwa RC wa Dar,no matter anaitwa jina gani.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Khaaa!!!

Back
Top Bottom