Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,814
- 33,480
kila nikiona jina la bashite nakumbuka ile video clip ya Msanii Mkali wenu-kwamba ameenda nyumbani kwa Daudi kumpelekea Vyeti vyake akijatambulisha kuwa ni Mwalimu kutoka Koromije!
Jamani Daudi umekuwa Mkubwa!
Jamani Daudi umekuwa Mkubwa!