roboka kafwekamo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 821
- 451
oOPs !!
Kuna mtu anayejiuzulu kula?hili li bashite mbona king'ang'anizi so ajiuzulu tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu fanya hima tupatie update ili tuongeze bundle
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona alisahau kandambili
Umesahau mkuu wa mkoa wa aliyefoji vyeti na baada ya kutuhumiwa instead of presenting vyeti vyake kaamua kukuambia like a typical cowardMkuu wa Mkoa wa Dar es salaam mchapa kazi
Mchapa kazi na mbunifu.
Anayethubutu na asiyeogopa MTU kwa jina wala wadhifa wake
Mtetezi wa kizazi kinachopotea kwa madawa ya kulevya
Mbunifu wa ajira kwa vijana
Shujaa asiye tetereka
Mkuu wa Mkoa mwenye anayetaka mabadiliko
Mkuu wa Mkoa aliyetukanwa sana
Mkuu wa Mkoa asiyekataa tamaa
Mkuu wa mkoa atakayepiga vita mpaka mwisho madawa ya kulevya
Mkuu wa mkoa aliyetajwa sana kuliko wote toka Uhuru.
Mkuu wa mkoa wa kwanza kijana Dar
Mkuu wa mkoa asiyeangalia wala kujali unatoka chama gani anachotaka ni uwajibikaji tu.
Mkuu wa mkoa anayeaminika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mkuu wa mkoa anayeandamwa hata na wabunge vita ya Madawa ya kulevya ktk mkoa wake
Mkuu wa Mkoa aliyeanzisha vita ya madawa ya kulevya Dar es salaam na sasa imeenea nchi mzima.
Mkuu wa mkoa aliyetoka familia masikini kabisa baba hajasoma kabisa na mama ni darasa la saba lakini amepata shahada moja na kuwatumikia wanainchi vile inavyopaswa.
Mkuu wa mkoa ambaye amesababisha baadhi ya watanzania kushikiwa akili na baadhi ya watu na hatimaye kuwafuata kila wasemalo na kuliamini.
Mpaka Leo 12 March 2017 hakuna aliyetuwekea ushahidi wa vyeti zaidi ya episode za Mch Gwajima tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe alifikisha unga kwa Kinje salama.
Mbona jibu ni rahisi saana..."Kwa sababu yao ni magumu kuliko ya wengine ambayo ni marahisi,kwa akili zao timamu wameamua kuyafuata hayo marahisi."Kuna watu mnawatafuta watu badala ya maisha yenu. Mbona mnahangaika sana na watu wakati yenu yamewashinda?
Hamna mashara wala visa mbele ya Pesa, tena unaona nimeipa herufi kubwa Pesa! We acha tu!Hahahaha acha visa [emoji23][emoji23]
Kwan uhakiki wa vyeti vya watumishi,ni nani aliyepeleka kuonesha vyeti?Nakumbuka walitangaziwa watumishi wapeleke vyeti vikahakikiwe,basi na Makonda atoe vyeti vihakikiweMkuu wa Mkoa wa Dar es salaam mchapa kazi
Mchapa kazi na mbunifu.
Anayethubutu na asiyeogopa MTU kwa jina wala wadhifa wake
Mtetezi wa kizazi kinachopotea kwa madawa ya kulevya
Mbunifu wa ajira kwa vijana
Shujaa asiye tetereka
Mkuu wa Mkoa mwenye anayetaka mabadiliko
Mkuu wa Mkoa aliyetukanwa sana
Mkuu wa Mkoa asiyekataa tamaa
Mkuu wa mkoa atakayepiga vita mpaka mwisho madawa ya kulevya
Mkuu wa mkoa aliyetajwa sana kuliko wote toka Uhuru.
Mkuu wa mkoa wa kwanza kijana Dar
Mkuu wa mkoa asiyeangalia wala kujali unatoka chama gani anachotaka ni uwajibikaji tu.
Mkuu wa mkoa anayeaminika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mkuu wa mkoa anayeandamwa hata na wabunge vita ya Madawa ya kulevya ktk mkoa wake
Mkuu wa Mkoa aliyeanzisha vita ya madawa ya kulevya Dar es salaam na sasa imeenea nchi mzima.
Mkuu wa mkoa aliyetoka familia masikini kabisa baba hajasoma kabisa na mama ni darasa la saba lakini amepata shahada moja na kuwatumikia wanainchi vile inavyopaswa.
Mkuu wa mkoa ambaye amesababisha baadhi ya watanzania kushikiwa akili na baadhi ya watu na hatimaye kuwafuata kila wasemalo na kuliamini.
Mpaka Leo 12 March 2017 hakuna aliyetuwekea ushahidi wa vyeti zaidi ya episode za Mch Gwajima tu.
Good, mwambie Rais wako Sasa ili akome kuangalia vyeti vya watumishi wote aangalie utendaji tuNchi hii haihitaji vyeti cha muhimu tunahitaji viongozi jasiri kama Makonda, mbona kabla ya vita vya madawa ya kulevya hatukusikia habari ya vyeti. Mheshimiwa wa Rais Magufuli mwache Mkuu wa Mkoa wa Dar aendelee kukusafishia Dar Es sallam iliyokuwa imekuwa jiji la kimafia. Jamani tulifika pabaya inakuwaje mfanyabiashara kama Manji anaitisha mkutano na waandishi wa habari na kutoa lugha za kifedhuli kwa serikali kwasababu ana pesa.
Watu wanadai Makonda ameharibu sifa Na brand zao je wanakumbuka mwaka 1983 katika vita dhidi ya ufisadi kuna watu waliwekwa ndani kwa muda mrefu kwa tuhuma nyingi.
Produced by Mange kimambiKajificha kwenye kivuli cha yanayo endelea dodoma,
Btw nasubir "acha maneno, toa vyeti rmx -Gwajima ft Efm,Mwanahalisi,wakereketwa"
Think tank za CCM hizoKama ww ni Me........ shame on u
Usipende kuamini kila usikiachoDr bashite maana nasikia katunukiwa phd
Jamaa karudi na ataendelea kukutawala
Nishawishi tu [emoji23][emoji23]Hamna mashara wala visa mbele ya Pesa, tena unaona nimeipa herufi kubwa Pesa! We acha tu!