Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

JK anatambua tume si huru, na kwa maana nyingine iko zaidi kusikia wakubwa wanailekekeza nini kifanyike, hata hivyo huyu bwana anashindwa kufucha hisia zake hadi anatoa amri mchana kweupe............!! huyu ndo awe wa kwanza kupelekwa ICC hali ya nchi ikivurugika.
 
Kuna aina fulani ya blabla wenzetu wa nje wameshatuona tunayo. Hapo sasa
 

Ni watu kumi tu nchi nzima ya Rwanda ndio wanaopinga kagame kuendelea kutawala Rwanda kwa kipindi cha tatu!!!
http://www.nation.co.ke/news/africa...-report/-/1066/2827968/-/e9v9m2z/-/index.html
 

Tena anatamani kweli Tanzania ichafuke ili tuvitoe vikosi vyetu DRC.
 
Ni watu kumi tu nchi nzima ya Rwanda ndio wanaopinga kagame kuendelea kutawala Rwanda kwa kipindi cha tatu!!!
Only 10 Rwandans against Kagame's third term, say MPs - Africa | Daily Nation

Acha uongo haijapigwa kura ya maoni nchi nzima!!!!

Wabunge walikuwa wanakutana na watu kwenye mikutano yao.Hao watu walikuwa wameandaliwa na chama tawala si kila myarwanda alienda hiyo mikutano ya kusema nakubali au sikubali Kagame aendelee!!
Hakuna kura ya maoni yoyote iliyopigwa Rwanda
 
watanzania kueni makini sana na huyu anaejiita KakaKiiza ,mi nimemfuatilia kwa miaka mingi sana tangu hata hajafiwa na mke wake ,,,there is something fishy about this guy,,,,,i cant put a finger on it but i can sense it,,,,


this guy could be a plant,,,,,,,and is in our country to stir trouble
 
Last edited by a moderator:
Wakati yeye na timu yake wanabadilisha katiba ili aendelee msimu wa tatu, JK anaondoka baada ya misimu yake miwili kwisha kwahiyo he's no match JK!

JK anaweza kuwa anaondoka madarakani 'Physically' lakini akaendelea kutawala 'virtually'. Kaagiza magari kibao ya FFU, ni ya nini kama anaamini uchaguzi utakuwa wa huru na haki? Hizo pesa angenunulia vitanda vya kujifungulia akina mama pale Mwananyamala. Fikiri
 
Unajitekenya unacheka mwenyewe!Wewe unadhani mimi ni invisible au nikupe address uje tukutane live don't be stupid or don't show up your insane in public!buddy
 
Huyo ndio Paul Kagame..sio mnafiki..sio mtu wa kucheka cheka...
He is a straight forward man.
 
Ccm wajiandaeeee kisaikolojia kabisa! Maana tunawaangusha
 

"Kuhubiri kuhusu demokrasia ni jambo moja na kusimamia demokrasia ni jambo jingine!!Kama Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki tunafuatilia yale yanayoendelea Tanzania wakati ikielekea katika Uchaguzi wao Mkuu; hivyo tuna hamu ya kuona rafiki yetu na Mwenyekiti wetu anayesimamia jumuiya yetu akithibitisha kwetu namna demokrasia inavyotakiwa kusimamiwa kwa vitendo nchini Tanzania ili ajitofautishe nami ama na Nkurunzinza"...Kagame, Paul....Je unakubaliana na Paul Kagame kwa niaba ya Viongozi wenzake wa Afrika Mashariki? Unadhani Jakaya Kikwete anatakiwa kuwathibitishia namna demokrasia inavyotakiwa kutekelezwa kwa mambo gani?..Je kunaviashiri vyovyote vya demokrasia kuvunjwa chini ya Usimamizi wa Jakaya Kikwete?..Usiogope TIRIRIKA!!
 
Mjinga ni wewe na huyo Kagame wako! Eti anabadilisha katiba kwa matakwa ya wananchi wake!!! Kwa wananchi gani ikiwa wapinzani anawapoteza?!

Wewe ndo huelewi kweli kumbe hii kauli mbiu ya elimu elimu itanufaisha wengi.sasa hapo jk anataka kinganganizi ccm is ingoke aachie watanzania tuamue
 
Unajitekenya unacheka mwenyewe!Wewe unadhani mimi ni invisible au nikupe address uje tukutane live don't be stupid or don't show up your insane in public!buddy

wewe sio invisible,nikienda kwenye database yangu jina lako nalipata mara moja....tunamaliza kukamalisha upelelezi wa link yako na kagame kisha tukuloweke lokapu..
 
Alichokiongea poul kagame hakina tofauti sana na nilicho kiongea mimi katika post yangu isemayo ''je CCM itaonesha ukomavu wa kisiasa?"

Niliweka angalizo na nikatolea mifano ya nchi zinazo tuzunguka kuwa wao wanategemea kuwa Tanzania ndiyo safe home, kama nchini mwao yakitokea machafuko. Statement ya kagame ni statement ya kiume na kiuzazi pia, yeye anajua, Burundi kwa Nkurunziza yalitokea machafuko na nchi ilipinduliwa kijeshi, lakini kwa msaada wa Tanzania nchi ilirudi mikononi mwa Nkurunzinza.

Pia Rwanda pakichafuka, sehemu nzuri ya kujificha kwa amani ili kuwa safe ni Tanzania, i just call it safe home, tokea tunapata uhuru Tanzania imepata kuwa Safe home, NA MSAADA MKUBWA KWA NCHI ZA JIRANI, KUPOKEA NA KUWATUNZA WAKIMBIZI. Sasa mwaka huu 2015 pakichafuka raisi kikwete atakuwa na kesi ya kujibu icc kwasababu yeye ameikuta na amani aiachee nchi hii na amani kwa kutimiza democrasia.

Tanzania is a safe home, umoja wa mataifa, umoja wa nchi za ulaya, jumuia ya madola, marekani, america ya kaskazini, nchi za africa pamoja na majirani zetu kenya, uganda, rwanda, burundi, congo, malawi, south africa, zambia, wote wanatuangalia sisi pamoja na nchi nyingi wanao jifunzia amani na democrasia nchini kwetu wanatutegemea so kikwete keep going usiendeshwe na mihemko ya kisiasa wala usifanye upendeleo ukakipenelea chama chako.
 
Huyu ndio Kagame bwana, hana longolongo, bora anaeongeza muda kuliko anaeongoza akiwa nyumbani kwake wakati ikulu ameweka pandikizi lake linalopokea amri kutoka kwa familia nzima ya rais mstaafu.
 
wewe sio invisible,nikienda kwenye database yangu jina lako nalipata mara moja....tunamaliza kukamalisha upelelezi wa link yako na kagame kisha tukuloweke lokapu..

acha mkiwara ya kitoto wewee gamba.kuwa mpole udungwe sindano tarehe 25.
 
In other words, Kagane atafurahi damu ikimwagika TZ ili tufanane na Rwanda na Burundi. Issue sio JK, issue ni historia ya nchi. Kulichopo ni kuwa Kagame atafurahi nchi yetu ikiyumba ili tufanane nao. Lakini believe me, hilo halitatokea. Rais mpya ataapishwa na maisha yataendelea. Awe mama Mgwira, Lowassa au JPM, nchi haitayumba kama wanavyoitabiria. Alishindwa Mrema '95 atakuwa nani zaidi yake??
 
wewe sio invisible,nikienda kwenye database yangu jina lako nalipata mara moja....tunamaliza kukamalisha upelelezi wa link yako na kagame kisha tukuloweke lokapu..
Kumbe wewe ni mwehu!kwahiyo na Allen Snr aliyepandisha huu uzi 17 August nayeye katumwa na Rwanda??wewe mjinga sana ujitambui hata cheo cha upumbavu huna ni mjinga basi!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…