Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

Ila Kama Rais Kikwete anataka kuendelea na heshima katika jumuia ya kimataifa ni hapa huu ndiyo mtihani kwake na wakifa watu naninavyoona ICC deligation ya watu 20 na ushee hata pona!

Tangu mwaka 1990 hadi sasa huyo Kagame unayefagilia amesababisha mauaji ya watu milioni 7 ktk eneo la maziwa makuu. Hiyo ICC mnayodhani ndiyo mkombozi wenu inamtazama (pk) bila kuchukua hatua.

Nyie kusanyikeni ili kulinda kura muone!

Andamaneni baada ya matokeo kutangazwa muone!
 
Kwahiyo anataka na jk abadili katiba kama yeye kagame mjinga sana.

Kikwete aliapa kuilinda katiba ya nchi na ya ccm na aliahidi kuongoza kwa kufuata sheria.
Kaongoza uvunjwaji wa katiba ya chama chake wkt wa kumpitisha mgombea urais. Sasa ameanza tena kuingilia na kuvunja sheria halali za kimataifa za uchaguzi. Eti sio kazi ya wananchi kulinda kura.
Sijuitumuweke kwenye kundi gani huyu rais wetu kipenzi.
MIMI NASEMA PIGA KURA LINDA KURA.
 
Mkuu unajua watu hawaelewi kuwa Kagame ana interest sana na Tz kutokana na mambo yake kule DRC. Anafahamu kichapo alichopokea kupitia M23 kiliharibu sana mipango yake. Ni mmoja wa watu wa kuangalia sana maana anatamani Tanzania iingie katika machafuko ili mipango yake iende sawa. Hana interest na demokrasia ya aina yoyote

Watanzania wakumbuke alishatoa ahadi ata 'hit hard kwa JK'

Huyu jamaa ni hatari sana kwa ustawi wetu. Dua na sala zake ni kuiona Tz inaingia pabaya ili aweze kufanya atakayo!

Hasira zake ni pamoja na zile za kuambiwa akae pamoja na waasi.

Yaani hataki kuiona Tz katika amani . Tusimshangilie ni kiumbe hatari sana huyu. Kaua wapinzani wake hata wakiwa ughaibuni

Kwake tofauti kati ya damu na maji ni rangi tu.

Tufanye mambo yetu bila kuingiliwa na PK. Hatuhitaji ushauri wake kwa namna yoyote ile. Anatushauri nini ikiwa anaweza kutoa roho wenzake hata wakiwa wamemkimbia?

Kama ni demokrasia ni sisi watanzania tunaoamua kwa hatma yetu, Tufanye kwa ajili yetu naye afanye yake huko Rwanda

Kagame na miaka 17 ya kuua wenzake , neno demokrasia ni haramu hata kulitaja kutoka kinywani mwake.
We mwana ccmzoo.
Kagame ukimpa tz anaweza kutumia bandari ya dar peke yake kunyanyua uchumi wa tz nabmaisha ya watz.
Ccm na wana ccm mmefikia kikomo cha kufikiri. Mambo mengi mlikuwa mnafanya kwa kificho kwa miaka 50 lkn leo kila kitu peupe.
RIP ccm
 
Kwa Watanzania, anachoongea Kagame si demokrasia bali hasira za kuondolewa DRC kwa kichapo

Ni mmoja wa watu wanaosubiri machafuko Tanzania na huenda hata kuchochea kwa aina fulani

Tuwe waangalifu
JokaKuu

..CCM ktk kampeni hizi wana-behave kama vyama vya KIFASHISTI.

..kuna viashiria vingi kwamba JK na CCM hawako tayari kupokea matokeo yatayowapa ushindi UKAWA.

..sasa Kagame ameyaona hayo, ndiyo kamtupia "kidongo" JK kuwa itakapofika Oct 25/26 aonyeshe mfano kwa kuondoka kwa hiari yake ikulu.

NB:

..machafuko yakitokea nchi hii bila shaka yatakuwa yamesababishwa na CCM na NEC.

cc zumbemkuu Bukyanagandi, kidum
 
Last edited by a moderator:
Leo Chaggadema wanaongea Lugha moja na Dikteta Kagame.Kila siku mimi nasema "Chaggadema imejaa MAZUZU na ni Chama cha KIBOGUS kuwahi kutokea Tanzania.Watanzania makini wote tumekipuuza.Kimebaki na wala ngada na wanywa viroba na bange.Hivi Kagame naye ni mtu wa kumshabikia kabisa???!iStupid

Siamini macho yangu ninapoona mtu alienda shule haelewi alichoongea kagame. kweli ccm mko mbali sana na ukweli
 
Sikubaliani na namna JK anavofanya mambo mengi ndani na nje ya chama lakini nasema; Huyo Kagame afunge mdomo wake na akae kimya.
Keep busy with your country .. Wachana na Sisi You Psychic Vampire.
 
Kagame anaumia sana kuona mpaka sasa tuna amani , hakuna wanajeshi kitaani , watu wanavyama tofauti lakini si maadui ..JK anaondoka bila kijiongezea muda hili lina muuma sana kagame...
 
Sikubaliani na namna JK anavofanya mambo mengi ndani na nje ya chama lakini nasema; Huyo Kagame afunge mdomo wake na akae kimya.
Keep busy with your country .. Wachana na Sisi You Psychic Vampire.

..ndugu yangu, hata saa mbovu mara moja kwa siku huonyesha muda sahihi.

..Kagame pamoja na mapungufu yake ktk masuala ya demokrasia na haki za binadamu, hajakosea kum-challenge JK afuate matakwa ya katiba ya Tanzania, na asijaribu kuchezea matokeo ya uchaguzi.
 
Mkuu labda lugha iliyotumika hukuilewa pengine siyo lugha rafiki sana, hajagusia ni nani anashinda au kushindwa. Alichokisema ni kuwa uchaguzi huu utakuwa ni kipimo cha demokrasia.
Ni kweli , humu JF kuna watu wanafikiri alichomaanisha ni kwamba lazima Ukawa washinde na kwa sababu wanaona lazima washinde. Short of that haitakuwa demokrasia. Huu ni upuuzi, tatizo la JF sasa hivi kumejaa majobless wengi, watu wamemaliza vyuo Vikuu, kazi hamna, siku moja nimewakuta wako wanabishana tumpigie kura Lowasa akipata urais lazima atawafukuza wafanyakazi na sisi tutapata kazi. Nilicheka sana, nikagundua kumbe haya mafuriko kila mtu ana expectation zake
 
We mwana ccmzoo.
Kagame ukimpa tz anaweza kutumia bandari ya dar peke yake kunyanyua uchumi wa tz nabmaisha ya watz.
Ccm na wana ccm mmefikia kikomo cha kufikiri. Mambo mengi mlikuwa mnafanya kwa kificho kwa miaka 50 lkn leo kila kitu peupe.
RIP ccm

Akili za bavicha hizi, hamia rwanda basi ...
 
We mwana ccmzoo.
Kagame ukimpa tz anaweza kutumia bandari ya dar peke yake kunyanyua uchumi wa tz nabmaisha ya watz.
Ccm na wana ccm mmefikia kikomo cha kufikiri. Mambo mengi mlikuwa mnafanya kwa kificho kwa miaka 50 lkn leo kila kitu peupe.
RIP ccm

Unaakiri kweli wewe pamoja na pointi za jamaa unamjibu kwa uharo huu?
 
..ndugu yangu, hata saa mbovu mara moja kwa siku huonyesha muda sahihi.

..Kagame pamoja na mapungufu yake ktk masuala ya demokrasia na haki za binadamu, hajakosea kum-challenge JK afuate matakwa ya katiba ya Tanzania, na asijaribu kuchezea matokeo ya uchaguzi.

Joka kuu democrasia haina maana lazima upinzani ushinde ndio demokrasia, nimeangalia stats za tume tunaona wanawake ndio wapiga kura wengi... Chama tawala mikutano yao ndio wanaojaa , wakaenda mbali na kampeni ya mama ongea na mwanao..

Upande wa pili .. Upinzani ni kimaanisha ukawa unaona kundi la vijana wakikimbia barabarani na kuimba raisi raisi.. Mmejisahau kwamba hili si kundi kubwa la wapiga kura ... Mmesahau kuna kina mama na kina dada .. Mama ntilie ..
 
Nina hakika kagame angekuwa rais wa tanzania..

Kusingekuwa na umoja unajiita UKAWA

Kusingekuwa na Jamiiforums at list msingekuwa na uhuru wa ku post upuuzi na uzushi wenu kuhusu yeye popote..
 
Nimependa maneno ya Paul Kagame ameongea ukweli na siyeye tu bali ni jamii yote ya kimataifa wanasubiria huu uchaguzi kwa hamu maana sisi tumekuwa wakwanza kuwanyoshea wenzetu vidole utadhani sisi ni makaika!Haya sasa mpira huko kwetu kupiga penati je tutapaisha au tutalenga goli???

I don't think hayo ni maneno ya Rais Kagame
 
We mwana ccmzoo.
Kagame ukimpa tz anaweza kutumia bandari ya dar peke yake kunyanyua uchumi wa tz nabmaisha ya watz.
Ccm na wana ccm mmefikia kikomo cha kufikiri. Mambo mengi mlikuwa mnafanya kwa kificho kwa miaka 50 lkn leo kila kitu peupe.
RIP ccm
Hivi Watanzania tumekuwaje? Huyu bwana tunajua ana inda na Tz kwasababu ya kichapo cha M23 na uwepo wake kule DRC.

Tunajua ana inda na kauli ya JK na tunajua ni dereva wa CoW kwa nia ile ile
Hana jema analoweza kuongelea kuhusu nchi yetu

Hatusimami kwa U-CCM au UKAWA , tunaangalia masilahi mapana ya taifa.

Anaposema ata 'hit hard kwa JK' haa maana kwa JK kama mtu, ana maana kwa Tz.

Jirani mwema anapaswa kukaa kimya kwa wakati huu. Ndivyo tuliyokaa kimya chaguzi za nchi jirani.

Kenya walipopata matatizo tuliweza kuwaweka pamoja kwasababu kila mmoja alikuwa na trust nasi

Leo Museveni akiibuka na lake, Uhuru na lake, Nkurunzinza na lake juu ya Tz hatuoni tatizo?

Hivi PK amesema kwa nia njema kweli! angalieni anaweza kutupa uchafu ilimradi tuvurugane arudi DRC

Mambo yetu yanatuhusu wenyewe, PK aendelee na kubadili katiba atawale kama chief, hatuhusu

Hadi hapa amefanikiwa maana hatujadili hatma yetu tunamjadili PK ! who's PK kwetu?

Huyu PK anaweza kusema tukamsikiliza kweli!
 
umeshamuona jk anapigia kampeni mtu tangu zianze?,,,,kwa taarifa tu miaka ya nyuma mwenyekiti wa ccm ambaye ndo rais alikua anampigia kampeini mgombea wa ccm,mwakahuu ni tofauti...bado siku nne,umeona jk kapiga kampein wapi?....

Hukumsikia Dodoma wakati anazima MWENGE? au kwako Wewe Kampeni hadi avae yale mavuo yenye kijani
 
..CCM ktk kampeni hizi wana-behave kama vyama vya KIFASHISTI.

..kuna viashiria vingi kwamba JK na CCM hawako tayari kupokea matokeo yatayowapa ushindi UKAWA.

..sasa Kagame ameyaona hayo, ndiyo kamtupia "kidongo" JK kuwa itakapofika Oct 25/26 aonyeshe mfano kwa kuondoka kwa hiari yake ikulu.

NB:

..machafuko yakitokea nchi hii bila shaka yatakuwa yamesababishwa na CCM na NEC.

cc zumbemkuu Bukyanagandi, kidum

Asante mkuu joka kuu Mimi naona humu watu wanachanganya mambo kwa mujibu wa hayo maelezo ya PK hajasema km yeye sio dicteta Nilivyoelewa mimi nikwamba anakubali yy ndo zake kufyeka wapinzani wake na watawala wetu wamekuwa wakijifanya waalimu wa Democrasia sasa kwa uchaguzi unavyokwenda kuna uwezekano mkubwa wa CCM kuangukia PUA ndio hapo PK anata kuwaona wanaojifanya waalimu wa Democrasia watakavyokabidhi NCHI kwa wapinzani wao bila kurusha maguruneti....maana yake nikwamba yy PK anakomaa sababu Madaraka matam vipi kwa CCM?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom