Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

Humu mtandaoni kuna watu ambao sio watanzania, wanapandikiza chuki kwa kujifanya wao ni wapinzani, kwa kuwa wanaweza kuandika kiswahili basi watanzania wanajua ni wenzao. Fanyeni ushenzi wenu lakini mtambue kuwa Dola iko macho na inafanya kazi.
The Intelligent,

Thanks for this! Binafsi kwa asili ninakuwaga na misimamo mikali sana dhidi ya PK! Sasa miaka michache ya nyuma mijadala kuhusu PK hapa jamvini ilikuwa haikauki na katika hiyo mijadala, kulikuwa na member mmoja ilikuwa ni lazima ani-mention kunikaribisha kwenye mjadala! In short, mimi na yeye tulikuwa tunaongea lugha moja against PK as "Tanzanians" lakini baadae nikamshitukia yule jamaa kwamba ni Mhutu anaye-pause as Tanzanian! Kwahiyo alikuwa anataka kuendeleza minyukano yao ya Hutu vs Tutsi na akawa anatumia advantage ya Watanzania wengi kuwa against PK hususani kipindi kile cha vita vya DRC! Tangu nimshitukie yule jamaa; siku hizi huwa sishiriki mijadala yake inayomuhusu Kagam coz' nilishagundua kwamba alikiwa ananitumia! Kwahiyo usemacho ni sahihi... humu wengine unaweza kudhani we're here as Tanzanians kumbe wanataka kufanikisha malengo ya huko kwao ya kuwa against or in favor of Kagame!
 
Wewe ndo huelewi kweli kumbe hii kauli mbiu ya elimu elimu itanufaisha wengi.sasa hapo jk anataka kinganganizi ccm is ingoke aachie watanzania tuamue
Am I supposed to respond to this?!
 
Kagame anapenda sana kucontrol nchi jirani...hii kumsapoti lowassa ni upuuzi mwingine tu..CCM taasisi kubwa kagame hawezi kua na ushawishi CCM na Tanzania hii...ampe lowassa uwaziri huko Rwanda kama anampenda sana...
Tanzania haitatawaliwa na remote toka Kigali
 
kagame ni mtu mdogo sana hawezi kutuumiza kichwa watanzania na kanchikake ambako kanalingana na mkoa wa tabora halafu mimi namlaum kikwete angeacha amemtia adabu kagame yani inatakiwa agongeshwe kipondo cha mbwa mwizi ingekua enzi za mkapa kagame angekua kishapokea kipondo mana alikua hataki matani ya kipuuzi huyu kagame anacho kitafuta atakipata ngoja aingie magufuli halafu amletee maigizo ya kijinga aone mana huyu magufuli nayeye hataki matani yakijinga kagame nimtu mdogo sana hawezi kutunyima usingizi watanzania.

vitisho vya nini? 2lia dawa ikuingie
 
Ni watu kumi tu nchi nzima ya Rwanda ndio wanaopinga kagame kuendelea kutawala Rwanda kwa kipindi cha tatu!!!
Only 10 Rwandans against Kagame's third term, say MPs - Africa | Daily Nation
This's too funny! Jesus Christ, the guy we believe is anointed, huku wengine wakiamini ni Mungu, lakini bado out of ONLY 12 disciples bado mmoja wapo akaja kumsaliti lakini PK, even out of 3.6 million, ONLY 10 people ndio wenye matatizo nae! This's so funny ingawaje kunaweza kuwa na arguments 1000 kidogo ya Kiafrika Afrika, moja wapo ikiwa kwamba "yule mmoja wa Jesus" ilipaswa kuwa vile ili maandiko yatimie!
 
Kagame ni mtu mdogo sana hawezi kutuumiza kichwa watanzania na kanchikake ambako kanalingana na mkoa wa tabora halafu mimi namlaum kikwete angeacha amemtia adabu kagame yani inatakiwa agongeshwe kipondo cha mbwa mwizi ingekua enzi za mkapa kagame angekua kishapokea kipondo mana alikua hataki matani ya kipuuzi huyu kagame anacho kitafuta atakipata ngoja aingie magufuli halafu amletee maigizo ya kijinga aone mana huyu magufuli nayeye hataki matani yakijinga kagame nimtu mdogo sana hawezi kutunyima usingizi watanzania.

umesema ukweli Mkuu tatizo nikwamba jk amekuja mpoke mno ila nakumbuka juzi juzi aligeuzia vibatari vyake vya jeshi Tanzania jk slivyofika boda pale rusumu alimpa masaa 12 kutoa lasivyo Tanzania ilisema ingetumia Barack ya ngara tuu lakini ingebidi kigal aitafute kwenye USO wa dunia...ni mjinga tuu ukiangalia manake nchi yenyewe IPI Kigali hata chakula hakuna kuanzia nyamirambo,,remera,,gisenyi kila mahali wanapumua kwa msosi wa Tanzania...Dogo mwenyewe kapokelewa na jakaya kugalo
 
Inashangaza kuona form six failure freeman Mbowe ndie mwenyekiti wa CHADEMA taifa kuwaongoza wasomi akina profesa baregu!



Naomba unipe uthibitisho kuwa hili taifa kuwa nyuma kimaendeleo ni matokeo ya viongozi kutokuwa na elimu.........hebu jitahidi kutafakari kiutu uzima mkuu na ndio maana katiba imeainisha wazi kuwa kiongozi hatambuliwa kwa elimu ya darasani......elimu ni kigezo cha ziada tu kwa kiongozi yeyote.......hadi hapa mahala tumefika changamoto sio viongozi wasio na elimu....kwa maana serikali imejaaa watu wenye elimu za viwango vya juu na ndio waharibifu kuliko yeyote hapa nchini.........kwangu naona elimu kama inatumika kucomplicate mambo tuh.......maana hakuna kinachokwenda zaidi ya kelele na ujuaji mwingi......haya majanga tuliyonayo hata kiongozi mwenye elimu ya shule ya msingi mwenye kujua kusoma na kuandika...... kidato cha nne au cha sita anaweza kuyatatua bila shida ni kwa kufuata miiko ya uongozi......kulinda maslahi ya wananchi.....kuitetea katiba na kuwa na misimamo mikali dhidi ya mabeberu wa ndani na nje ya nchi......mwisho kabisa kufuata ushauri mzuri unaitolewa na wataalamu wetu tulio nao.......na kwa kutambua Cost-effectiveness ya mipango kwa kuainisha tmatokeo na tija ya kuingiza hii mipango katika shughuli za kiserikali......nasikitika kijana mwenzangu unapokuwa unakosa upeo wa kuliona hili........rejea tafakari za wenye hekima watakupa muongozo......!
 
Kwa mtu yoyote mwenye akli hawezi kushabikia mambo ya Kagame, Kagame ni hatari kwa ustawi wa taifa letu, kuna mengi yamejificha nyuma ya huyu mtu, usishadadie kisa anamfavour mtusi mwenzake EL. Yapo mengi usiyoyaelewa, kinachokuponza ni uhaba wako wa information. kagame ni hatari tena hatari sana kwa nchi yetu.
Usitulishe sumu:llama:
 
Nimekuwa Nkimfuatilia Kagame Nimegundua Ni Mpumbavu Kabisa, Anasikilizia Kwa Hamu Tukose Aman, Na Wafuasi Wa Lowassa Wanashangilia Uo Ni Upumbavu Sana, Chunga Sana Kagame, Utajuta Mda Si Mrefu
 
Mnajidanganya.ICC inachukua mijitu kama mbowe inayohamasisha kukaa mita 200.kamuulize Ruto au arap Sang

Tatizo ni shule...
Watu hawajui kuwa hao so called upinzani ndio wana case za kutosha kule...
watashitakiwa kwa matamshi yao..
Naomba Azam iturushie na mgombea wao akiwa mita 200 jumapili...si kusakazia vijana na ku capitalize kwenye upumbavu wao akati wao wako makwao wanafuatilia uchaguzi kwa runinga
 
najaribu kugoogle Kagame aliisema wapi hiyo sipati jibu, by the way Kagame inafahamika wazi kwamba ni dictator, no way to compare him with Kikwete anayeondoka madarakani Kwa hiari baada ya mda wake kwisha

hata huyu c alijaribu kujiendelezea muda slaa akamuwahi???? hebu acheni uccm wenu wa kutudanganya..... cc ni Lowassa tuuuuuuuuu awe mkenya , mtz, mkongo, mrwandiz, mbirundi au nani we don't care what we want is ccm out of the way...... mnang'ang'ania nini????????
 
Usitulishe sumu:llama:

Wimbo: Nchi ya maziwa na asali, Tanzania - ila watu wake maskini Tanzaaania!

Hapa kazi tu! 2015, Maisha bora kwa kila mtanzania 2005, Tanzania Imara kiuchumi 1995!
 
"Preaching about Democracy is one thing but Practising it is another thing! As East African Countries members we are witnessing what's going on in Tanzania as they are heading to their General Election; So we are curiously looking forward seeing our best friend and the Presiding Chairman of our Community proving to us how Democracy is Practically adhered in Tanzania so as to differentiate himself from either me or Nkurunzinza!"

Kagame, Paul

SOURCE DW

kagame usijidanganye rwanda sio shwali ni tulivu tu
 
Democrasia ya Tz iko juu kuliko Rwanda.
Kule kuuleta fyoko unafichwa.
No wonder three term ishapitishwa
 
Mwanzo wa thread amesema source ni DW (Deutsche Welle) Shirika la Utangazaji la Ujerumani; na mimi nilikuwa nimeamini hivyo. Sasa anaulizwa source anasema ni yeye mwenyewe!! Tafadhali afafanue ili tuelewe ukweli wa thread yake.

We ulipouliza sourse ulijibiwa kutokana na ujinga wako na ulipoona ujinga wako kiasi ukapata jibu mara nyingine we soma tu sio lazima uandike
 
Kuna watu kizungu wako butu mno,wapi kagame kahatarisha aman ya TZ,yey kasema wanasubir kuona how democracy is practiced
 
Back
Top Bottom