Nyie watu propaganda za PK zimewaingia!! Halafu PK alivyo mjanja, akawekeza sana Kigali kwavile anafahamu majority ya wageni watarudia Kigali!! Matokeo yake kila utakayemwambia Rwanda bado sana, anakuuliza "ushafika Kigali wewe!" Juzi juzi tu hapa kulikuwa na mgao wa umeme huo balaa na wala bado mambo hayajatengemaa!!! Hii mess tuliyonayo TZ kwenye shule za kata Rwanda wanayo kwenye shule za msingi... yaani full matatizo!Ni bora ukakaa misimu mitatu hadi mitano huku ukiijenga nchi kuliko kukaa misimu miwili huku ukiifilisi nchi. Kikwete ametutia umaskini kila mahali. Si kwa safari za nje si kwandani kwenye kubadirisha mawaziri wakuu wa wilaya kama nguo za ndani. Sijaona chochote alicho tufanyia zaidi ya kuongeza deni la taifa kwa kujenga vimifereji vya bara bara. Unapewa msaada 1000 unatumia 300 kwenye miradi kisha unatumia 700 kwenye safari. Aisee ni bora tu week ijayo ifike mapema aondoke.