Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

lol! very stupid as always... so this is how you define democracy? at one point you need to ask your self why your "super democratic society" produces "super corrupt nation"

Umetokwa Na udenda bakuli, wewe kweli mpunzi kimecho kufanya upanic nin
 
huwezi ukalinganisha hali ya demokrasia rwanda na tanzania.rwanda nchi inaendeshwa na mtu mmoja akianguka mambo yana badilika.tanzania nchi inaendeshwa na wanasiasa wakiangushwa wanajitokeza wengine.tz utawala mbovu lakini kuna katabia kakubadilishana.RWANDA wanamuhofia lowassa wanajua akichukua hawatabip tena.mdomo wa kagame unastamina kwa serikali yetu ya sasa.haitothubutu ukawa wakikaa madarakani.
 
kagame anabadili katiba ili akae milele sisi tunabadilishana ingawa wanaoingia ni wabovu
 
kwanza kagame amekalia kuti kavu huku analikata.binadamu ukimya wao una kishindo.historia inaonesha watakichafua xho muda
 
Anachojaribu kuongelea mzee kagame ni kwamba demokrasia ktk mataifa yetu ya kiafrika ipo pale tu vhama tawala kinapokubalika na kuwa na uhakika wa kuchaguliwa..

Anachokiona yy ni kuwa ccm oktoba yaweza kwenda na maji na km itakuwa hivyo haoni km ccm watakuwa tayari kukubali na km watakubali basi demokrasia itaonekana tz..

Hivi ndivyo nilivyomwelewa
 
Kwanza namshangaa Kikwete anaposema Magufuli anafaa kuwa Rais. Hivi sio Rais huyu huyu Kikwete aliyeigawa wizara ya ujenzi kwa visingizio kwamba ni kubwa sana na ina mlemea Magufuli. Sasa mtu huyu kama wizara hiyo moja tu imegawanywa ili kuleta ufanisi.. Ataweza kuliongoza Taifa zima lenye Wizara Kedekede? Msitutanie jamani .!! Magufuli kazi yake ni ujenzi wa Daraja. Urais hawezi hata kidogo. Hana kauli ya kuliongoza taifa hili. Mchezo ya Kikwete inajulika wazi. Tuendeleeni.. tutasikia mengi.

Mheshimiwa usiogope, hii nchi hata wewe unaweza kuingoza. Ni rahisi sana kuitawala Tanzania.
 
Anang'ang'ania Kuwa Kijiti Lazima Amuachie Magufuli ndiyo maana wanamfuatilia kwa Ukaribu au Kiingereza kinakushinda!

Wewe ndio lugha inakupiga chenga. Kagame na Nkurunziza wanacheza na Katiba ili wabaki Ikulu. Kikwete anampigia kampeni mtu mwingine awe rais (sio kubadili katiba abaki Ikulu). Sasa Kagame anafananisha kitu gani? Hasira za kupigwa za uso huko DRC naona bado!
 
Jk ni janga la taifa Kagame umeongea ukweli kabisa
 
Anachojaribu kuongelea mzee kagame ni kwamba demokrasia ktk mataifa yetu ya kiafrika ipo pale tu vhama tawala kinapokubalika na kuwa na uhakika wa kuchaguliwa..

Anachokiona yy ni kuwa ccm oktoba yaweza kwenda na maji na km itakuwa hivyo haoni km ccm watakuwa tayari kukubali na km watakubali basi demokrasia itaonekana tz..

Hivi ndivyo nilivyomwelewa

Umeichambua vizuri kwa sababu Jamaa katumia maneno yenye vijembe watu wasielewa wamekimbilia katiba!
 
Sana sana anatafuta namna ya kujishawishi mwenyewe on his evil motives huko Rwanda za kuwa life president, what more democratic practical evidence anahitaji kwenye kipindi hiki cha campaign za uchaguzi ambapo vyama vya siasa vipo huru kujitangaza na kufanya mikutano yao bila ya vitisho, kuwataka wapiga kura wao wajitokeze na kila aina ya uhuru.

What he is confusing ni kwamba Rwanda is not a democracy nor Burundi those are just authoritarian regimes the election process is just to serve the constitution requirement. In that process other party campaign are not free if not just acts of performance to demonstrate democracy and very limited room to mobilizing support; with non existence positive air time or campaign rallies.

This guy would not know democracy even if its happening right next door to him, he has a different meaning to it, sasa hivi angekuwa keshafunga watu, wakati UKAWA are all over freely.
 
Nataka wote mfahamu kuwa kukua kwa demokrasia Tz ni mafanikio ya CCM pia chini ya JK

Kauli yako ni sawa na kusema, "kukuwa wa demokrasi South Africa miaka ya 90, ni mafanikio ya Serikali ya Kikaburu"

Kuna tofauti baina ya demokrasi na muamko unaotokana na udhalilishaji. Inakuwaje raisi wa nchi unawaita wananchi wako walevi wa pombe Kali. Pombe zinazotengenezwa na kiwanda ambacho hats serikali na yeye mwenyewe raisi ana hisa. Pombe ambazo, kodi ya mauzo yake serikali inakusanya. Kama yeye anakunywa Cognac ya chupa wananchi wake wanakunywa Konyagi ya viroba. Kama yeye anatumia Super Basmati rice, wananchi wake wanatumia VIP rice. Kama yeye anaendeshwa kwenye Land cruiser V8 au Mercedes Benz, wananchi wake wanapanda boda boda. Haina haja ya kuwakejeli. If anything, basi anazidi kuwatia hasira. He better choose his words wisely
 
Nimependa maneno ya Paul Kagame ameongea ukweli na siyeye tu bali ni jamii yote ya kimataifa wanasubiria huu uchaguzi kwa hamu maana sisi tumekuwa wakwanza kuwanyoshea wenzetu vidole utadhani sisi ni makaika!Haya sasa mpira huko kwetu kupiga penati je tutapaisha au tutalenga goli???
 

Attachments

  • 1445272051065.jpg
    1445272051065.jpg
    64.7 KB · Views: 8,953
Nimependa maneno ya Paul Kagame ameongea ukweli na siyeye tu bali ni jamii yote ya kimataifa wanasubiria huu uchaguzi kwa hamu maana sisi tumekuwa wakwanza kuwanyoshea wenzetu vidole utadhani sisi ni makaika!Haya sasa mpira huko kwetu kupiga penati je tutapaisha au tutalenga goli???

Haha hilo linaitwa ''kwenzi la uchogo'' na linauma kinoma. Kikwete yeye alikuwa najifanya mwanademokrasia sasa aonyeshe na awaachie wananchi tuamue nani ni rais wetu.
 
Haha hilo linaitwa ''kwenzi la uchogo'' na linauma kinoma. Kikwete yeye alikuwa najifanya mwanademokrasia sasa aonyeshe na awaachie wananchi tuamue nani ni rais wetu.

Ila Kama Rais Kikwete anataka kuendelea na heshima katika jumuia ya kimataifa ni hapa huu ndiyo mtihani kwake na wakifa watu naninavyoona ICC deligation ya watu 20 na ushee hata pona!
 
haha umelonga baba kagame. tuone jk Kama ataachia nchi upinzani.,bora wewe umegoma kuachia madaraka kiujumla
 
Back
Top Bottom