King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,407
- 88,699
Safi jamaa yupo straight sio mnafiki.
Wakati yeye na timu yake wanabadilisha katiba ili aendelee msimu wa tatu, JK anaondoka baada ya misimu yake miwili kwisha kwahiyo he's no match JK!
Kwanza sina hakika kama hiyo taarifa ni ya kweli! Lakini kama ni kweli, hilo kwenzi lipo wapi? Yeye anataka kuona ikiwa JK atakuwa tofauti na yeye au Nkurunzinza-- mpaka hapa tulipo tayari JK ameshajitofautisha na Kagame na Nkruzinza coz' wakati Nkruziza tayari ameshang'ang'ania madaraka huku PK na timu yake wakiwa mbioni kubadili katiba ili PK achukue msimu wa tatu; tayari JK ameshaonesha dhahiri kwamba anaondoka baada ya muda wake kwisha!Haha hilo linaitwa ''kwenzi la uchogo'' na linauma kinoma. Kikwete yeye alikuwa najifanya mwanademokrasia sasa aonyeshe na awaachie wananchi tuamue nani ni rais wetu.
Kwani jk kabadili katiba kama kagame au nkurunzinza?Haha hilo linaitwa ''kwenzi la uchogo'' na linauma kinoma. Kikwete yeye alikuwa najifanya mwanademokrasia sasa aonyeshe na awaachie wananchi tuamue nani ni rais wetu.
Kagame huna cha kutuambia wewe,kwanza umepindisha katiba,JK SIYO KAMA WEWE,MAANA YEYE MUDA WAKE UMEISHA NA ANAONDOKA,SASA KAGAME WEWE UMEKATAA KUWAACHIA WENGINE NA UTAGOMBEA TENA,HUNA TOFAUTI NA HYABIRAMA
Kwahiyo ulitaka CCM imsimamishe Mbowe, au?Tena ni bora anayebadilisha katiba aendelee kuliko anayefanya uchaguzi feki wa kuingiza pandikizi lake litakalolinda uchafu wake. Huyu ni mbaya sana sana.
Kwani jk kabadili katiba kama kagame au nkurunzinza?
Mjinga ni wewe na huyo Kagame wako! Eti anabadilisha katiba kwa matakwa ya wananchi wake!!! Kwa wananchi gani ikiwa wapinzani anawapoteza?!Bwn ...Chige usitete ujinga hapa...Kagame anabadilisha katiba kwa matakwa ya Wananchi wake wenyewe....Huu ni wakati wa RAIS KIKWETE kuonyesha democrasia kwa vitendo ndani ya uchaguzi huu...
Tena ni bora anayebadilisha katiba aendelee kuliko anayefanya uchaguzi feki wa kuingiza pandikizi lake litakalolinda uchafu wake. Huyu ni mbaya sana sana.
Kwahiyo ulitaka CCM imsimamishe Mbowe, au?
Kagame huna cha kutuambia wewe,kwanza umepindisha katiba,JK SIYO KAMA WEWE,MAANA YEYE MUDA WAKE UMEISHA NA ANAONDOKA,SASA KAGAME WEWE UMEKATAA KUWAACHIA WENGINE NA UTAGOMBEA TENA,HUNA TOFAUTI NA HYABIRAMA